Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Mchakato unaendelea. Tulieni, jina linarudi Hilo na Mambo yatakua sawa
 
Silinde ni msaliti na amekwenda na maji full stop.
SILINDE kachekesha ........huu ununuzi ni dalili kuwa ccm na chadema na upinzani kwa ujumla wote ulikuwa unawaumiza na kuwaudhi .....wameamua kumuambia Rais kwa herufi kubwa ....yaani watu wapige kura alafu watu wanahama tu .....kwa kununuliwa
 
Kwa ujeuri ule wa Mwakyembe, alitastahili kupata zile kura 6 za Steve Nyerere! Yaani baada ya kusikiliza clips zake jana, nikajiuliza what if Mwakyembe angekuwa na cv angalau kama ya Lipumba; nadhani angemtukana hata Magu!!

Halafu siasa nazo, dah! Sijui Lipumba na yeye alirogwa nini kwa cv kama ile kuingia kwenye siasa za hovyo!!
Toka amefiwa na mkewe hayupo sawa
 
Makonda hapendwi. Magufuli ajitenge na huyu jamaa. Makonda alikuwa anasababisha Magufuli achukiwe. Kitendo cha Magu kumtumbua Makonda kimemuongezea mvuto Magufuli kwa Watanzania.
 
Chadema wachukueni vijana wenu, walipotoka kidogo kwa kuunga juhudi. Mtoto akiunyea mkono suruhisho sio kuukata. Walikosea nawaombea msamaha sidhani kama watarudia. Kama mchakato wa uteuzi bado unaendelea naombeni muwarudishe kundini.
 
Kigamboni Kuna mchezo umefanyika so bure,harufu ya rushwa na kukomeshana.


CC inatakiwa kufanya uchunguzi kwa Hawa wanaoteuliwa ili kupata viongozi bora na wenye maslahi mapana zaid kwa wananchi.
Watu wamebanwa maslahi yao Sasa wanaamua kuleta urafiki na kutumia kilambinu kutaka kuwatoa waliowabana ili waeze kuendelea kupiga.
Kwa hiyo ndugulile ana hela kuliko bashite?? Ishi vizuri na watu ule mema ya wananchi.
 
Chadema wachukueni vijana wenu, walipotoka kidogo kwa kuunga juhudi. Mtoto akiunyea mkono suruhisho sio kuukata. Walikosea nawaombea msamaha sidhani kama watarudia. Kama mchakato wa uteuzi bado unaendelea naombeni muwarudishe kundini.
Waende vyama vingine hata TLP huko watapenya kirahisi
 
Wakuu Habari za asubuhi

Naomba nisiongee maneno mengi, lengo la Uzi ni kuwa na kumbukumbu hapa Jamii Forum ya Wabunge waliotoka Vyama vya Upinzani na kuamua kuingia CCM katika harakati za kuunga juhudi za Rais Magufuli

Kwa Mkuu yoyote mwenye taarifa popote alipo anaweza kutupasha nini kimejiri katika Jimbo na Kata ili tupate taswira ya kundi hili kubwa lililohama Vyama vyao na kuingia Chama cha Mapinduzi

Ni majimbo mengi na Kata nyingi zilijikuta zikishiriki Uchaguzi mdogo kutokana na vuguvugu la hama hama, mfano Siha, Arumeru Mashariki, Serengeti, Ukerewe n.k. Pia kuna viungozi wa maeneo kama Momba na Kilombero Waliunga mkono juhudi japo kwa kuchelewa

Karibuni wakuu
 
Kwa kasi aliyonayo Mh. Rais na kwa sababu nchi inataka kuelekea uchumi mkubwa wa kati yaani higher middle economy country, hii kazi ya kuchagua wagombea wasingeachiwa wajumbe peke yao maana wao wanaweza fanya kwa maslaahi yao au kwa ushabiki ni bora hawa wagombea ubunge wangeteuliwa tu kwa maslahi ya taifa.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa,Yani ccm wanataka kuleta mazoea ya zamani ya mbinu chafu na kuzidiana kete.
Hao wazee Kama kina Abasi mtemvu Zaid ya kuinufaisha familia hakuna lingine la kuifanyia nchi hii,ndo mama kazi yao ni kuwanyenyekea wajumbe na kuwapa chochote kitu ili wawapitishe.Bado wapo enzi za kuuza Mali ili ugombee ubunge kwa kua wanaamini ktk mbinu chafu za kuhonga wakalale bungeni tu
 
Hakuna kitu kama hicho hao CCM sio machizi mpaka wafanye upuuzi wa kumrudisha MAKONDA Kwa kifupi watanzania wote wamefurahi kupigwa Kwa bashite
Sema wewe tu ndio umefurahi. Usisemee watazania wote. Wasafi tunasikitika
 
Ccm Nyamagana mmejichanganya. Mmemrudisha Stanslaus ambae hamna Mwananchi anamtaka. Kamati kuu na nyie kama mtasupport huu upuuzi mkampitisha huyu mnunua ushindi, keep in mind jimbo linarudi Upinzani. Mtu kila mwananchi hamtaki ila kwenu kashinda! Mmejichanganya maboya nyie na tutawawajibisha.
 
SILINDE kachekesha ........huu ununuzi ni dalili kuwa ccm na chadema na upinzani kwa ujumla wote ulikuwa unawaumiza na kuwaudhi .....wameamua kumuambia Rais kwa herufi kubwa ....yaani watu wapige kura alafu watu wanahama tu .....kwa kununuliwa
Wakipata umaarufu wanajiona wao ndio kila kitu, asubiri kubebwa na kamati au kuteuliwa
 
Back
Top Bottom