Aiseee hii ni shida sana, imani ni kitu cha kuogopwa sana.
Huyo Gwajima anawapelekesha kondoo wake kwa namna yoyote ile anayoitaka yeye na bado wanamuamini.

Kama aliweza kugoma kama sio yeye kwenye ile video chafu sembuse hili dogo tu.
 
Wadada wa kinondoni kwa mipasho? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Hatari. Hapa sisi wanaume tungesema tu flani hivi na hivi. Wewe umekuja unatoa [SUP]mipasho.....HATARI SANA SISTER.[/SUP]

 
Hata Kama Tunaichukia CCM Lakini Tukubali CCM Ni Mafundi Wa Kugonga Watu Spana, Yaani Dkt Mashinji Ni Wakulamba Kura 2 Tu? Huyu huyu Dkt Mashinji Aliyekua Katibu Mkuu CHADEMA? Kura Mbili Kweli? Wajumbe Mungu Anawaona [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
One mistake one goal, hiyo ipo sehemu zote zenye ushindani
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini Steven Masele ameshinda kura za maoni na kupata kura 152 kati ya kura 426 Jonathan Manyama akipata kura 65 zikizopigwa huku Gasper Kileo akipata kura 51.


Jimbo la Kishapu Suleiman Nchambi kura 544 Francis Kapale kura 54. Boniphace Butondo kura 40

Matokeo kura ya maoni CCM Jimbo la Solwa wilayani Shinyanga 1) Ahamed Salum kura 377 2) Azza Hilal Hamad kura 304 3) Jeremia John Jiriri kura 35. Jumla ya Kura zilizopigwa ni 823 na hakuna kura iliyoharibika
 
Hili ni ombi kwa kamati kuu ya CCM kwamba hawa wote walioongoza kwenye kura za maoni mkoani Dsm wanachagulika mwezi October hivyo wasikatwe Tafadhali.

Mwezi October ni wazi kabisa majimbo yote yanavhukuliwa na CCM.

CCM hoyeeeee........!

Maendeleo hayana vyama!
 
Masikini Paulina, na ule mkopo wa 70m anarudishaje jamani?
Dah huyu Chambili anahangaikia ubunge hadi huruma, last time alivaa hadi dera lakini watu wakamfyekelea mbaliii.
 
Sendeka 305
Kiria 47
Millya 15
Toima 11




Waliotoka Chadema Chamoto Wanakiona Huko


Hii ndiyo kitu itafanya Tuchukue Nchi mwaka 2025

Wapinzani wengi hawatahama watajua wanaenda Katwa huko
Ng'ombe mkatwa mkia mwingine out
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…