Salamu. Naomba sasa tupate wasifu wa watia nia ambao sasa wameshinda kuteuliwa kwenye majimbo katika hatua za kwanza kura za maoni.

Kwanza napongeza kwasababu sura nyingi ni mpya lakini tunaomba kuwajua sasa.
Mfano
Jimbo la
Segerea
Ukonga
Kinondoni
Kawe
Mbagala
Na mengine wasifu wao.

Pili turufu kubwa sasa itakayowachefua toka majimboni ni hawa walio shindwa wakaletewa wengine ambao hawajashinda. Na ona kama watu watapiga kura za hasira.
 
Binafsi natabiri maamuzi magumu yatafanywa na gwajima ndio mgombea wa sisiemu kwa kawe ktk kiti cha ubunge. Ni lazima kuangalia anavyokubalika kwa wapiga kura wa jimbo sima sio pale kawe ndani ya sisiemu. Wakofanya mzaha mdee anachukua jimbo mapema tu.
 
Mtihani ni mtihani yaani mawaziri wote wamefaulu isipokuwa mmoja tu tena yule mbobezi mwenye degree nne

Ngoja tusubiri kamati kuu.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu alishafeli kitambo ndani na nje ya chama, ni rushwa, magumashi na mbeleko ndio vilivyo muweka hapo alipokuwa, ila kwa kura hizi za hadharani hata mara mia ikirudiwa hatoboi
 
ero kamano ainya, okajaluo asedak kabwani miaka ya 90. Awinjo dholuo te mabher kabisa to okanyar wuoyo mabher. Nimemiss sana nyama choma ya kondoo na ugali wa udaga asubuhi na mapema. Hahahahahaha, Waluo ni wakarimu sana.
Omera ring piopio
 
Ushaanza kuwa kichaa mara tu baada ya kura za maoni, sijui itakuwaje baada ya October kumshuhudia mh Lissu akila kiapo
 
Tusubiri tuone je kama alieshia nafasi ya pili ndio atapitishwa au ni huyo huyo alienda kura ya maoni.
 
Ikiwa nimeshinda kura ya maoni ,CCM ikanikataa nahamia upinzani kwa lengo la kuwaongezea nguvu,dhuluma ya namna hii haikubaliki
 
Kudadadeeeki, mshaanza kutetemeka na hapo bado mepera mpera wenyewe ndiyo kwaanza unaanza.
 
TUKO NA CHADEMA YETU
 
Katambi katambishwa sio? Safi sana sana
 
Ila Mbogamboga kwenye hili la kuwachinjia baharini wale waunga juhudi wametisha sana..japo sijafurahishwa sana na Mollel kule Siha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…