Anae mfahamu au kuifahamu historia ya mshindi wa kura za maoni Kawe antufahamishe tuanze muweka kwenye mizani na Mdee
 
Pia mimi nina wasiwasi Mkubwa ikiwa washindi hawa watatangazwa
Sugu
Mdee
Heche
Lema
Msigwa
Kwa Mdee na Heche wananchi wakikomaa lazima watangazwe, ila Mbeya na Arusha kwa namna yoyote wamejipanga kuyachukua wenye nchi yao.
 
Mtihani ni mtihani yaani mawaziri wote wamefaulu isipokuwa mmoja tu tena yule mbobezi mwenye degree nne

Ngoja tusubiri kamati kuu.

Maendeleo hayana vyama!
Hata babu tale kampiga chini naibu waziri wa kilimo mghumba
 
Kwa Mdee na Heche wananchi wakikomaa lazima watangazwe, ila Mbeya na Arusha kwa namna yoyote wamejipanga kuyachukua wenye nchi yao.
Kwa uwezo wa wabunge hao kamwe hawana mpinzani zaidi ya mbavu kutumika kuwaondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…