ANATAKIWA AKATWE YEYE HADI MSHINDI WA TATU KWA SABABU WOTE WANA KASHFA ZA RUSHWA NA MAADILI ( WALIANZA KAMPENI MAPEMA NA WALIITWA NA VIKAO VYA NIDHANI WILAYANI ! YEYE ALIKUWA ANAMWAGA FEDHA LIVE NA KWA FUJO KATIKA MCHAKATO MZIMA. NAMBA MBILI WAKE JANA ALIKAMATWA ANAGAWA VITENGE VYA CCM NA PESA YA MASHONO 30,00)/=

NAMBA 3 NI ALIYEKUWA DIWANI WA KIPUNGUNI; ALIKUWA NA KESI YA KUHUJUMU FEDHA ZA MRADI WA MAJI NA DISPENSARI NA KESI ILIKUWA HALMASHAURI NA TAKUKURU KWA MUDA MREFU.

HAPA KUPITISHWA HAWA WATU NI KUFURAHIA RUSHWA NA VITENDO VYA UHUJUMU.

UKONGA HATUTAKI MBUNGE MWANAUME YENA; HILI SUALA LITAKUJA KUIGHALIMU CCM KAMA 2015. NA KIPINDI KINACHOFUATA SIDHANI KAMA WAPINZANI WATAUNGA MKONO JUHUDU
 
Mara umesahau kuweka jimbo la Mwibara la Kangi Lugola.
 
Hakuna uchaguzi unaokuwa na mtelezo bali ni mbinu ya kufanya kampeini na kukubalika kwa mgombea.

Sugu nakuhakikishia kuwa kwa sasa hana mpinzani wa kumnyima usingizi kabisa.
 
Duh kwahiyo Dotto alikua kijiweni au??

Najaribu kupika kwamba mtu mpaka kuwa na uwezo wa kukamilisha mahitaji yako na kufinance kampeni ya dogo. Aliona potential kubwa sana
Doto alikuwa waziri wa madini,anatetea Jimbo.na ndugu yake kulwa pia ni mtumishi wa kawaida.
 
Wee nadhani ni miongoni mwa walionielewa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…