ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Bagamoyo vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakifanya huo ujinga Mathayo anaenda ACTHapa lazima kura ya turufu kutoka kwa.mwenyekiti itumike
Watoto wa Cleopa David Msuya huwa hawahami chama, wao ni CCM.Wakifanya huo ujinga Mathayo anaenda ACT
Kwa hiyo, Nkurunzinza kafufukia TZ jimbo la Biharamulo? Amefuata nini TZ?Biharamulo
1. Dr Sebuyoya Nkurunzinza - 194
2. Ezra Chiwelesa- 113
3. King - 46
4. Ziyuni - 40
5. Kipeja - 35
6. Kasusura - 31
7. Sikitu - 17
8. Shangwe - 16
Annaclare alikuwa DED same akaona UDED hautoshi akaona ubunge ndio deal.Baba yake, marehemu William Shija alikuwa mbunge na waziri enzi hizo.
Huyu Tabasamu si alikuwa CHADEMA huyuHamis Tabasam Hoyeeeeeeeeeeeeeeee
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua kugombea nafasi za Ubunge na uwakilishi ni 10,367. Waliokamilisha kujaza fomu na kurejesha ni 10,321.
Watanzania wataelekeza zaidi macho na masikio yao maeneo yenye upinzani mkali kama Kigamboni, Arusha mjini, Simanjiro, Kyela, Mbeya mjini, Mwibara, Misungwi, Same Mashariki, Tunduma, Tarime Vijijini na Ubungo ni baadhi ya maeneo yanayoangaliwa kwa jicho la tatu.
------ UPDATE: MATOKEO YA KURA ZA MAONI -----
1. DAR ES SALAAM
Kinondoni
Abbas Tarimba - 171
Idd Azann kura - 77
George Wanyama - 32
Maulidi Mtulia - 11
Kigamboni - Kura 399
Dkt. Faustine Ndugulile - 190
Paul Makonda - 122
Ansar Kachwamba - 39
Kawe - Kura 475
Furaha Jacob - 101
Angela Kiziga - 85
Askofu Josephat Gwajima - 79
Benjamin Sitta - 61
Ilala
Mussa Azzan Zungu - 148
Sophia Edward Mjema - 105
Mendrad Mpangala - 7
Kibamba
Ubungo - Kura 375
Prof. Kitila Mkumbo - 172
Bi.Mwantum Mgonja - 73
Segerea
Bonnah Kamoli - 365
Asaa Simba - 41
Shaabani Oromi - 20
Ukonga
Temeke - Kura 367
Abbas Mtemvu - 203
Doris Kilave - 182
Abdallah Mtolea - 22.
2. SINGIDA
Iramba Magharibi
Mwigulu Nchemba - 677
Jumba Katala - 14
Singida Mjini
Musa Ramadhan Sima - 158
Charles Kisuke - 124
Hassan Mazala - 92
Singida Kaskazini
Iramba Mashariki
Iramba Magharibi
Manyoni Magharibi
Manyoni Mashariki
Singida Mashariki
Miraji Mtaturu - 434
Thomas Mgonto - 101
Emmanuel Ihonde - 17
Singida Magharibi
3. TABORA
Bukene
Igalula
Igunga
Kaliua
Manonga
Nzega Mjini - Kura 376
Bashe 367
Ruangisa 1
Mashili 6
Wengine 2
Nzega Vijijini
Dkt. Hamisi Kigwangalla - 415
John Dotto Kisure - 264
Gabriel Ishole - 8
Sikonge
Joseph Kakunda - 364
Said Maulid Lyoba - 71 3
James Mwanakatwe - 61
Tabora Mjini
Emmanuel Mwakasaka - 384
Aden Rage - 235
Gulam Dewji - 47
Ulyankulu
Urambo
Uyui
4. PWANI
Kisarawe
1.Hassan Bangusilo- 1
2.Fransis Gosbert -1
3.Mohamed Masenga-1
4.Ally Goha -2
5.Zemba Mumbi -2
6.Zainabu Zowange-2
7.Chaulembo -3
8.Seleman Jafo - 588
Chalinze
Ridhiwan Kikwete - 369
Ramadhan Maneno - 273
Said Zikatimu - 223
Bagamoyo
Kibaha Mjini
Kibaha Vijijini
Hamoud Jumaa - 332
Michael Makamo - 33
Hussein Juma -31
Mafia -261
Omari Kipanga - 111
Mbaraka Dau - 95
Mkuranga
Abdallah Ulega - 1138
Ramadhan Mlao - 50
Ally Mawe - 7
Kibiti
Rufiji
Mohamed Mchengerwa - 273
Dkt. Rashid Said - 120
Likeye Keye - 63
5. IRINGA
Isimani
Lukuvi - 453
Kiyoyo - 16
Mwilinge - 5
Kidunye - 5
Iringa Mjini
Jesca Msambatavangu - 190
Nguvu Chengula - 75
Ibrahim Ngwada - 44
Kalenga
Kilolo - Kura 868
Justine Nyamoga - 209
Bryan Kikoti - 180
Prof. Peter Msolla - 68
Mafinga Mjini
Cosato Chumi - 135
Dr. Bazil Tweve - 122
Mufindi Kaskazini
Mufindi Kusini
6. TANGA
Tanga Mjini - 873
Ummy Mwalimu - 783
Omary Ayoub - 41
Juma Shaban Kimwaga - kura 33
Bumbuli
January Makamba - 680
Abdulkadir Kaniki - 21
Muhajir Madiwa - 12
Mlalo
Pangani
Jumaa Awesso - 281
Kilindi
Mkinga
Handeni Vijijini
Muheza
Balozi Rajab Adad - 577
Hamis Mwinjuma (Mwana FA) - 296
Bomboka Hassan - 49
Korogwe Mjini
Mary Chatanda - 113
Dkt. Alfred Kimea - 55
Mathew Mganga - 19
Korogwe Vijijini
Timotheo Mnzava - 569
Raymond Mndolwa - 96
Abinus Mlelwa - 54
Lushoto
Handeni Mjini
7. GEITA
Geita Mjini
Costantine Kanyasu - 284
Manjale Magambo - 182
Malugu Stefano - 40
Geita Vijijini
Joseph Musukuma - 319
Patrick Malogoi - 90
Vitus Chang'oro -26
Busanda
Kulwa Biteko - 665
Laulencia Bukwimba - 94
Abdala Hussein - 20
Nyang'hwale
Hussen Nasoro Kasu - 355
John William Kabiki - 30
Frank Henry Magili - 2-
Bukombe
Doto Biteko - 555
Mihayo Paul - 2
Mkama Mashinagu - 0
Chato
Dkt Medard Kalemani - 553
Dkt Francis - 27
Ibengwe - 22
8. MBEYA
Mbeya Mjini - Kura 924
Tulia Ackson - 843
Mabula - 16
Mwakipesele - 11
Mbeya Vijijini
Busokelo
Lupa
Mbarali
Rungwe
Kyela
Ally Mlagila Jumbe (Kinanasi) 502
Hanta Albert Mwakifuna 288
Dkt. Harison George Mwakyembe 252
SONGWE
Ileje
Wilman Ndile - 172
Godfrey Msongwe - 106
Joel Kaminyoge - 74
Bahati Msomba - 63
Janeth Mbene - 39
Mbozi
Momba
Songwe
Vwawa
Japhet Hasunga - 552
Erick Minga - 129
Tunduma
Aden Mwakyonde - 250
Davidi Silinde - 118
Daines Sichwale - 20
9. MANYARA
Babati Mjini
Ester Mahawe - 91
Kisyeri Chambiri -77
Pauline Gekul- 61
Babati Vijijini
Hanang’
Kiteto
Mbulu Mjini
Mbulu Vijijini
Simanjiro
Christopher Ole Sendeka - 309
Daniel Lenganasa amepata - 16
James Ole Millya - 15
10. KILIMANJARO
Hai - 485
Saashisha Mafuwe - 124
Fuya Kimbita - 85
Aboubakari Ndosa - 48
Siha
Dkt. Godwin Mollel - 148
Aggrey Mwanry - 147
Tumsifu Kweka - 53
Moshi Mjini - Kura 370
Ibrahim Shayo - 140
Priscus Tarimo - 137
Beno Malisa - 23
Mwanga
Anania Thadayo - 176
Profesa Jumanne Maghembe - 130
Shabib Mruma - 56
Same Magharibi
Moshi Vijijini
Vunjo - Kura 567
Enock Koola - 187
Dk. Charles Kimei - 178
Crispin Meela - 47
Rombo
Profesa Adolf Mkenda - 286
Anthony Mseke - 87
Colman Samora Kanje - 31
11. MOROGORO
Gairo
Shabiby - 532
Dkt.Mmasa Joel - 8
Shehewa Chiduo - 6
Kilombero
Abubakar Asenga - 368
Vitus Lupagila - 54
Bhimji Rocky - 22
Peter Lijualikali - 5
Kilosa
Prof. Palamagamba Kabudi - 714
Kaunda Haji Saidi kura - 101
Dkt. Chilongola F. Musa - 51
Mikumi
Jonas Nkya - 249
Denis Rondo - 103
Ameer Mbaraka - 82
Mlimba
Morogoro Kusini
Hamisi Taletale - 318
Omari Mghumba - 242
Morogoro Kusini Mashariki
Morogoro Mjini - Kura 638
Abdul-Aziz Abood - 524
Merkiory Manset - 17
Ally Yahaya Simba - 15
Idhah Omary Abdalah (Alsaedy) - 10
Mvomero
Amosi Makala - 321
Selemani Sadiq - 231
Jonas Van Zeland - 12
Ulanga Magharibi/ Malinyi
Ulanga Mashariki
12. MTWARA
Mtwara Mjini
Judith Nguli - 126
Hassan Mtenga - 94
Mussa Chimae
Mtwara Vijijini - kura 847
Hawa Ghasia 440
Seleman Mwamba 191
Olivernus Paul 139
Nanyamba
Abdallah Dadi Chikota - 676.
Rukia Mchika - 25
Fadhili Likwata - 7
Nanyumbu
Ndanda
Oscar Anthony Ng'itu - 250
Faraja Nandala - 154
Cecil Mwambe - 33
Newala Mjini - Kura 526
George Mkuchika - 319
Rashidi Mtima - 121
Karimu Lichela - 42
Newala Vijijini
Tandahimba - 1252
Dkt. Twahili Salumu - 324
Katani Katani - 308
Mponda Hamidu - 235
Masasi
Lulindi
13. LINDI
Kilwa Kusini
Kilwa Kaskazini
Lindi Mjini - Kura428
Hamida Abdallah - 197
Liwale - Kura 482
Faith Mitambo - 363
Zuberi Kuchauka - 71
Halifa Kujakila
Mtama
Nape Nnauye - 496
Nahonyo Cuthbert 177
Chiwinga Aushuatino - 42
Mchinga
Mama Salma Kikwete - 92
Ahmad Said Mderu - 68
Riziki Lulida - 62
Nachingwea
Ruangwa
Majaliwa Kassim Majaliwa - Alikuwa peke yake
14. KATAVI
Katavi
Issack Kamwelwe - 155
Maganga Kampala - 48
Jastine Mdamila - 3
Kavuu
Pudensiana Kikwembe - 178
jofrey Mizengo Pinda - 74
Emmanuel Zumba - 52
Mpanda Kati
Sebastian Simon Kapufi - 379
Evarist Mnyere - 38
Theonas Kinyonto
Mpanda Mjini
Mpanda Vijijini
Nsimbo
15. NJOMBE
Njombe Kaskazini
Njombe Kusini
Deodatus Mwanyika - 136
Alfred Luvanda - 67
Anord Mtewele - 60
Edward Mwalongo - 28
Makambako
Deo Sanga - 421
Robert Msigwa - 29
Mhandishi Sostenes Ngogo - 20
Wanging'ombe
Enock Kiswaga - 175
Eng. Gerson Lwenge - 159
Makete
Festo Sanga 116
Profesa Norman Sigala 89
Egnatio Mtawa 86
Ludewa
Lupembe 421
Edwin Swale - 138
Jorum Hongoli - 61
16. DODOMA
Bahi
Chemba
Chilomwa - 709
Deo Ndejembi - 422
Joel Mwaka aliyepata - 99
Vincent Chomola - 63
Dodoma Mjini - 1189
Anthony Mavunde - 904
Musa Luhamo - 111
Robert Ntyami - 29
Kibakwe
George Simbachawene - 667
Kwame Mwaga - 152
Augustine Gailanga -19
Kondoa Mjini
Ally Makoa - 137
Omary Kimbisa - 71
Edwin Sanda - 24
Kondoa Vijijini
Dkt.Ashatu Kijaji - 703
Hassani Lubuva - 238 n
Issa Orry - 36
Kongwa - Kura 889
Job Ndugai - 850
Dkt. Samora Mshanga - 20
Isaya - Mngulumi - 19
Mpwapwa
Mtera
Livingstone Lusinde - 571
Dkt. Michael Msende - 120
Mwanga Chibago - 37
17. MWANZA
Buchosa - Kura 751
Dkt. Charles Tizeba - 354
Erick Shigongo - 354
Ilemela - Kura 685
Dkt. Angeline Mabula - 502
Israel Mtambalike - 112
Kwimba
Mansoor Shanif Jamal - 297
Yusuph Bujiku - 76
Cosmas Bulala - 37
Magu
Misungwi
Alexander Mnyeti - 406
Charles Kitwanga - 259
Nyamagana
Stanslaus Mabula 319
John Nzwalile 54
Nzilanyingi John Francisco 46
Sengerema
Hamisi Tabasamu - 335
William Ngeleja - 120
Sumve
Ukerewe
Joseph Mkundi - 171
Longino Kasiri - 108
Babilas Mjola - 95
18. RUVUMA
Songea Mjini
Nyasa
Tunduru Kaskazini
Tunduru Kusini
Peramiho
Jenister Mhagama - 845
Madaba
Joseph Mhagama - 319
Grolious Luoga - 16
Patrick Nombo - 8
Namtumbo
Mbinga Mjini
Sixtus Mapunda - 246
Jonas Mbunda - 194
Narsis Ndunguru - 161
Mbinga Vijijini
Benaya Kapinga - 247
Gaudence Kayombo - 196
John Ndunguru - 194
19. RUKWA
Sumbawanga Mjini
Nkansi Kaskazini
Nkansi Kusini
Kwela
Kalambo
20. KAGERA
Biharamulo
Bukoba Mjini - 326
Almasoud Kalumuna -116
Muhajir Kachwamba - 36
Dkt. Anatory Amani - 17
Alex Muganyizi - 17
Bukoba Vijijini
Karagwe
Innocent Bashungwa - 587
Joseph Kahama - 48
Vedasto Gotfrida - 7
Kyerwa
Muleba Kaskazini
Charles Mwijage - 387
Edward Mujungu - 135
Adonisia Bitegeko - 30
Muleba Kusini
Ngara
Nkenge
Florent Kyombo - 102
Asumpta Mshama - 93
Dkt. Diodorous Kamala - 24
21. MARA
Bunda Mjini
Robart Maboto -140
Stephen Wasira - 115
Zuru Nanji - 63
Bunda Vijijini
Boniface Getere - 161
Musika Musafiri - 140
Webiro Kisuri - 12
Mangera Marwa - 11
Butiama
Jumanne Sagini - 84.
Frank Mahemba - 80
Joseph Nyamboha - 44
Rashid Gea - 34
Makongoro Nyerere - 5
Madaraka Nyerere - 2
Musoma Mjini
Verdastus Mathayo - 220
Juma Mokili - 122
Musoma Vijijini
Profesa Sosipeter Muhongo - 391
Joseph Nyamarege - 50
Maganga Paschal - 35
Rorya
Serengeti
Tarime Vijijini
Mwita Waitara - 291
James Bwire - 135
Eliakim Maswi - 128
Tarime Mjini
Jackson Kangoye - 126
Michael Kembaki - 68
Gerald Martine - 20
22. SHINYANGA
Kahama Mjini
Jumanne Kishimba - 234
Benjamini Ngaiwa - 181
James Lembeli - 54
Kishapu - Kura 882
Suleiman Nchambi - 544
Kishiwa Francis Kapale - 54
Boniphace Butondo - 40
Msalala
Idd Kassim - 327
Ezekiel Maige - 118
Khatib Mgeja - 75
Shinyanga Mjini
Stephen Masele - 152
Jonathan Manyama - 65
Gasper Kileo - 51
Shinyanga Vijijini
Ahmed Salum - 377
Azza Hilal Hamad - 304
Jeremia John Jiriri - 35
Solwa - Kura 823
Ahamed Salum - 377
Azza Hilal Hamad - 304
Jeremia John Jiriri - 35
Ushetu
23. SIMIYU
Bariadi
Andrew Chenge - 442
Mhandisi Andrew Mathew - 339
Busega
Itilima
Kisesa
Luhaga Mpina - 316
Musa Mbuga - 152
Itandula Gambamala - 9
Maswa Mashariki
Maswa Magharibi
Stanslaus Nyongo - 309
Peter Bunyongili - 209
Meatu
24. KIGOMA
Buyungu
Aloyce Kamamba - 50
Msakila KABENDE - 47
Emmanuel - Gwegenyeza - 44
Kasulu Mjini
Prof. Joyce Ndalichako - 405
Daniel Nsanzugwanko - 80
Kasulu Vijijini
Augustine Holle Vuma - 266
Agripina Zaitun Buyogera - 97
Samweli Filbert Kadogo - 70
Kigoma Kaskazini
Kigoma Kusini/Uvinza
Hasna Mwilima - 273
Nashon Bidyanguze - 143
January Kizito - 117
David Kafulila - 64
Kigoma Mjini
Manyovu
Muhambwe
Atashata Nditiye - 250
Jamali Abdalah - 96
Dickson Bidebel - 50
25. ARUSHA
Arusha Mjini
Mrisho Gambo - 333
Philemon Mollel - 68
Albert Msando - 19
Karatu
Arumeru Magharibi
Arumeru Mashariki
Dkt. John D Pallangyo - 536
Dkt. Daniel M Pallangyo - 63
Joshua Nassari - 26.
Longido
Dkt. Stephen Kiruswa - 529
Lomayani Logile - 68
Sabore Ole Moloimet - 45
Monduli - 589
Fredrick Lowassa - 244
Julius Kalanga - 162
Wilson Lengima - 149
Ngorongoro
Huyo Dr. Sebuyoya mbona Mrundi kabisa? Atakuwa alikuja ma mwenyekiti huyu!Kwa hiyo, Nkurunzinza kafufukia TZ jimbo la Biharamulo? Amefuata nini TZ?
Safari hii atavunja mwiko!Watoto wa Cleopa David Msuya huwa hawahami chama, wao ni CCM.
1-Mwaka 2015 sugu alishinda kwa kura 97k dhidi ya 46k za Shitambala. Raia hawakua na imani na Shitambala baada ya Kusaliti kule Mbeya vijijini. kwa hizo asilimia 100 ulizompa sugu unadhani ushawishi wa Tulia ni mdogo kuliko wa Shitambala 2015?. Kama uko objective mkuu basi huwezi kusema Sugu atateleza huu Mwaka,
2-Dr Tulia ana mtaji mkubwa ambao umeshaonekana kwenye kura za maoni. Mwaka 2015 CCM haikua kitu kimoja maana kulikua na timu Kajuna na timu Shitambala. Mwaka huu CCM ni moja. Sasa unaanzaje kusema Sugu atateleza?. naomba unipe sababu za msingi hapo.
Hahaah musiba chizi kweli!Kangi Lugola Ninja wamemkalia kooni. Ngoma droo
View attachment 1513120
Doto alikuwa waziri wa madini,anatetea Jimbo.na ndugu yake kulwa pia ni mtumishi wa kawaida.Duh kwahiyo Dotto alikua kijiweni au??
Najaribu kupika kwamba mtu mpaka kuwa na uwezo wa kukamilisha mahitaji yako na kufinance kampeni ya dogo. Aliona potential kubwa sana
Wee nadhani ni miongoni mwa walionielewa zaidiWakimpitisha sawa ila hama haiba na hana mtaji wa wapiga kura. Jimbo la kawe lipo hadi mabwepande hadi huko salasala na madale huko ndani msigani na kazaroho...huko mwenye mtaji wa hawa wapiga kura ni gwajima! Wanamkua vizuri huko na ana wafuasi tele...kama watampitisha mwingine ni maamuzi yao ila wajue tofauti na hapo mdee wa kumtoa kawe ni gwajima.
Ni kijana kazaliwa Chato, inategemea na sera zake ata kama hajulikaniAnae mfahamu au kuifahamu historia ya mshindi wa kura za maoni Kawe antufahamishe tuanze muweka kwenye mizani na Mdee
Hapa tunazungumzia uchaguzi wa 2020, tarehe 29/10/2020 tunaweza tukawa tunacheka au kulia hapa.
Aligombea ila kapigwa ngumi ya bua hajasmja Hadi sasaJamani vipi Kangi Lugola hajagombea?
Kwani wewe ndiyo utampigia kura pekee yako? Wacha uchaguzi ufike watu watoe yao ya moyoniWaitara atashinda kihalali kabisa