Mkuu macho na masikio yangu yapo Siha kwa sasa, natumai moleli atarudi kwao kuchunga ng'ombe na ndugu yetu Mwandri kupewa idhini ya kulitetea jimbo
Nimeona mwingine kabisa
 
Mkuu macho na masikio yangu yapo Siha kwa sasa, natumai moleli atarudi kwao kuchunga ng'ombe na ndugu yetu Mwandri kupewa idhini ya kulitetea jimbo
Mwanri nae kapigwa chini
 
Jamani niwakumbushe kuna kuongoza kura za maoni na kuna kupitishwa kugombea. Hivi ni vitu viwili tofauti, tusifurahi leo tukaja kushangazwa siku ya kupitishwa na kamati kuu.
ushaamua kucheza mpira kwa vidole
 
Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?

Maendeleo hayana vyama!
Haikutakiwa tuvunje "mkataba" mkuu. Yaani mle viinua migongo viwili na tuwarudishe tena jengoni. Tunawanajisi na kuwatupa. Now hawafai msikitini hawafai kanisani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…