Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Waache wakapoteee huko kwenye teuzi.
Kisiasa ndo washapotea awarudi tena ,cheki kina kafulila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waache wakapoteee huko kwenye teuzi.
Hahaaaaaa kwani Mzee Mgaya anasemaje kuhusiana na hawa Mercenaries😄😄Dr Mollel chaliiii!
Hebu kuwa na adabu weee mzeehHaya matokeo tunayo toka asubuhi please tupumzishe
Watu wengine katoka kuhemewa huko anakurupuka tu.
Alikuwa na akili kipindi hichoHivi cuf ilimwaminije huyu?
Yaani mi nimeshaanza kula nyama tayari...... SHETANI hatakiwi kupata hata kura moja
Zilizopigwa 549 ila ukijumlisha hizo za wagombea watatu jumla inakuwa 555 kwa hiyo hizo 6 zilizozidi ni za maruhani?Babeeeeeeeeeh soma hiyooooooooohView attachment 1511846
Kura za huruma kwani jaji ni madam rita wa bss ?Ndugulile anaweza pata kura za huruma sababu katumbuliwa na juzi kafiwa na baba yake hivyo wanachama wanaweza muonea huruma wakampitisha.
Nimeona mwingine kabisaMkuu macho na masikio yangu yapo Siha kwa sasa, natumai moleli atarudi kwao kuchunga ng'ombe na ndugu yetu Mwandri kupewa idhini ya kulitetea jimbo
Mwanri nae kapigwa chiniMkuu macho na masikio yangu yapo Siha kwa sasa, natumai moleli atarudi kwao kuchunga ng'ombe na ndugu yetu Mwandri kupewa idhini ya kulitetea jimbo
ushaamua kucheza mpira kwa vidoleJamani niwakumbushe kuna kuongoza kura za maoni na kuna kupitishwa kugombea. Hivi ni vitu viwili tofauti, tusifurahi leo tukaja kushangazwa siku ya kupitishwa na kamati kuu.
Bado, wako wanahesabu sahvi!Mkuuuu ulikuwa sahihi soma hiyoooooooooohView attachment 1511854
Mungu ameshasaidia.Chennel 10 wako live Kigamboni.
Faustine Ndugulile anaweza kutetea nafasi yake. Mungu msaidie
Haikutakiwa tuvunje "mkataba" mkuu. Yaani mle viinua migongo viwili na tuwarudishe tena jengoni. Tunawanajisi na kuwatupa. Now hawafai msikitini hawafai kanisani.Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!