Katambi alitia nia SHINYANGAMakonda kala za shingo asubuhi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katambi alitia nia SHINYANGAMakonda kala za shingo asubuhi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan leo shangwe tyuuuuuuuuuh mitaani
Huko kwetu jenista kazoa kura zoteeeeeeeeeh, mwenzake et 2 tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pachimbike vipi wakati Tulia kashinda kwa kishindo.
Wale mastar walijua kuwa maarufu instagram ndo ushindi. Nasubiri matokeo ya Babu Tale.Kuna Watu wanadhani kuwa ' Maarufu ' katika Redio na Runinga basi ndiyo ' Tiketi ' ya kuwa Wabunge na sasa ' Wananyooshwa ' ile Kiukweli.
Jimbo la segere vipi huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanakata [emoji513] Dar iko huru lolLeo nakesha kabisa napiga castle light
Mkuu usijenge daraja kabla hujauona mto,amini usiamini huu sio mwisho wa Makonda anaweza hata kuteuliwa kwa na mkuu kuwa mbunge na akawa waziri au hata kurudishwa kwenye ukiranja wa mkoa,au mumesahau ya Andengenye
Na ndo mie macho yangu yapo hukoooh. Babu talleWale mastar walijua kuwa maarufu instagram ndo ushindi. Nasubiri matokeo ya Babu Tale.
Dr. Charles Tizeba ndiyo ' nitolee ' hapo Mkuu kwani Yeye na ' Mzee Mzima ' haziivi kabisa.
Watoto wa kiume wa Mwalimu Julius Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa Kwanza wa Tanzania, Makongoro na Madaraka, wamekataliwa kwa kura nyumbani kwao Butiama, Mara.
Watoto hao wa Mwalimu Nyerere, walikuwa wakiomba ridhaa ya kupitishwa, kugombea ubunge na wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo la Bunda, kupitia chama cha CCM.
Katika mkutano huo ulifanyika leo, matokeo yanaonyesha kwamba vijana hao wa Mwalimu, wamebwangwa vibaya.
Hadi naandika hapa, matokeo yameonyesha kuwa Makongoro na Madaraka wote wameshindwa kuingia hata 10 bora.
Sasa wanasubiri kudra za Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kama atakuwa na njia ya kurejea jina la mmoja wao au wote, kati ya matatu ili kupata mmoja atakayepeperjsha benders ya chama hicho tawala kwa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo.
Matokeo yanasomeka: Jumanne Sagini (kura 84), Frank Mahemba (80), Joseph Nyamboha (46), Manyerere Jackton (22), Makongoro Nyerere (3), Madaraka Nyerere (2).
Wagombea walikuwa 59, wapiga kura 555.
Akitangaza matokeo haya, msimamizi wa uchaguzi huo, Msafiri Mtemi amesema zoezi la kupiga kura lilifanyika kwa uwazi mkubwa na kuwataka wagombea wote kuheshimu matokeo.
Msimamizi huyo ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime, amesema uamuzi wa nani atakuwa mgombea utatangazwa na chama chao baada ya kufanyika kwa mchakato mwingine katika mgazi za wilaya, mkoa na hatimaye halmashauri kuu.
Makongoro ambaye amewahi kuwa mbunge wa Arusha kupitia chama cha NCCR - Mageuzi na baadaye kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati Madaraka ndiyo ameingia mara ya kwanza kujaribu bahati yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanakata [emoji513] Dar iko huru lol
Haya huyo mteuzi hamtaki na alisha mchoka akakosa 7bu ya kumtoa, ndo imepatikana fursa sasa, hatalaza damu, tupilia kuleeeeeeeehWatu wanacho furahia ni kuwa... WANANCHI WA DSM WAMEMKATAA MAKONDA.. HAYO YA KUTEULIWA VITI MAALUM HAITUHUSU. SALAAM ZIMEMFIKIA MTEUZI WAKE KUWA WANANCHI WA DSM HAWAMTAKI MAKONDA.
Kilichompa kura ndungulile ni mpinzani aliyewekwa nae, ndungulile hafai kuwa mbunge!
Huyo Mama kumshinda ni kazi Sana, hao ndio wenye ccm yao na muda wote yuko jikoni tu.Huko kwetu jenista kazoa kura zoteeeeeeeeeh, mwenzake et 2 tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuwa huijui Kigoma vizuri wewe.Kwani hao wazee waislam ndio wanaopiga kura peke yao? au wao ndio wasimamizi wa uchaguzi? Nini kimepelekea hadi kuingiza udini katika hili? au ni chuki zako tu kwa waislam?
Kasome vizuri historia ya nchi hii ujue mchango wao na jinsi walsivyokuwa na uchu wa madaraka ila wanapenda haki.