Kumekuwepo na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai kuwa Kiongozi wa Baraza la Urais la Mpito la Haiti, Edgard Leblanc Fils, hivi karibuni amezua gumzo wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), baada ya kunywa maji kwa kutumia jagi na kaucha kutumia glass kama ilivyo kawaida
Kwa kutumia njia ya ufuatiliji wa google reverse image search imeanisha kuwa video hiyo ni tukio la mwaka 2024 ambalo lolitokea wakati wa mkuu wa UNGA
Video hiyo ilimuonyesha Edgard Leblanc Fils, ambaye wakati huo alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Urais la Mpito la Haiti, akihutubia Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) mjini New York, Marekani, tarehe 26 Septemba 2024.
Katika tukio hilo, Leblanc Fils alionekana kunywa...