kabla

Einav Kabla (Hebrew: עינב קאבלה‎, born 27 September 1979) is an Israeli lawyer and politician. She served as a member of the Knesset for the Blue and White alliance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siri ya Mafanikio: Kwanini unapaswa kusoma Biashara Zilizokufa (Cadaver) kabla ya Kuanzisha biashara yako!

    Wakuu salama! Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, tuunganishe doti? Kwa nini Lema ameongea hayo siku Tano kabla ya hukumu ya Lissu?

    Je Lema amepangwa atuandae kisaikolojia? Kwa nini ameongea Baadhi ya mambo yaahakamani siku Tano kabla ya hukumu ya Tundu lisu? Mfano eti kuna mbunge wa ujerumani alisema ni chadema na Diaspora ndio chanzo cha mauaji. Hapa lema ni kama anaunga mkono wauaji na kulaumu waandamanaji. Hapa ni kama...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kuchukua kabla hauja Gusa button ya kuhama mji kwenda kutafuta mafanikio sehemu nyingine.

    Jumapili karmu Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago: 1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa 2. Andaa...
  4. JamiiForums Tanzania Ajali za mara kwa mara barabara ya Kimara–Kibaha, Serikali iweke Speed Cameras na kudhibiti mienendo ya malori na mabasi kabla maisha zaidi hayajapote

    Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha. Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
  5. JamiiForums Tanzania Ama kweli IDF ni kiboko cha Magaidi huko Mashariki ya Kati: Wamuua Gaidi Mohammad Al-Bayoukh kwa kumpa taarifa kabla!!!!

    Vyanzo kutoka Gaza vinasema kuwa Mohammad Al-Bayoukh, ambaye aliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya Israel huko Khan Younis siku mbili zilizopita, alipokea simu kutoka kwa afisa wa shirika la usalama la Israel, Shin Bet, akimwamuru apande juu ya paa la shule inayotoa hifadhi kwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padre Kitima: Kanisa lilionya kutofanya uchaguzi kabla ya kurekebisha kasoro za uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema viongozi wa Kanisa hilo walitoa tahadhari mapema kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu hatari ya kutorekebisha kasoro za uchaguzi, akieleza kuwa walionya kuwa hali hiyo ingeweza kusababisha maafa nchini...
  7. JamiiForums Tanzania KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

    Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu. Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lisu kuamua kujidhuru na kujiangamiza mwenyewe kwa njaa kabla ya hukumu yake, ni kutafuata umaarufu na public sympathy isiyo na tija

    Kwasababu kwa kawaida, mtu mwenye changamoto ya afya ya akili ndie pekee huwaza, huamua na kutenda mambo au vitu vinavyo mdhuru, vinavyo muumiza, vinavyo muathiri na pengine vyenye uwezekano mkubwa wa kumuangamiza yeye mwenyewe. Je, mtetezi huyo wa haki za binadamu wa mchongo, anakusudia...
  9. JamiiForums Tanzania Unahitaji kufa kabla hujafa, ili uweze kuishi.

    Binafsi Nime undergo many circles of change, ila naona kabisa bado. Kuna time, inabidi u let go of the old version ili a new you awe born. Yaani kuna time, inabidi u empty out all the things uko attached to, ili uweze kuanza upya. Hauwezi kubadilika kama nervous system yako bado inamuwaza...
  10. JamiiForums Tanzania TANZANIA BAADA YA SAMIA: JE, NI WAKATI WA KUJADILI SERIKALI YA MPITO NA UCHAGUZI KABLA YA 2030?

    Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
  11. JamiiForums Tanzania Kama unaendana na hizi sifa wahi hii nafasi kabla wenzako hawajaichukua

    Mimi ni sijui kijana au mzee nina umri wa miaka 29. Natafuta mwanamke ambaye atakuwa rafiki yangu na kama nitamwona ana vigezo basi awe mke wangu. Awe mzuri sana,awe na shape, awe na uelewa mkubwa wa mambo na elimu pia. Mimi nipo vizuri na sifa zangu hizi hapa. 1. Dereva boda boda mashughuri...
  12. JamiiForums Tanzania Kama kuna vipimo basi awahiwe kabla hali haijawa mbaya

    Kama kuna Rushwa Serikalini ni Viongozi wa Dini ndio wameshindwa kuthibiti Rushwa kwa kushindwa kuwaombea waumini wao waache Rushwa” - MAKONDA My Take Nchi hii ipo kinyume sana katika uongozi, watu wanaongea pumba ndio wanapewa majukwaa makubwa.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wakristo wameweka mkazi kusali kabla ya kulala na wakiamka asubuhi?

    Kwa nini Kusali iwe kabla ya kulala usiku na unapoamka asubuhi? Usingizi wa usiku unatisha ? Ni kama vile binadamu wanaogopa wakilala wanaweza wasiamke, watakufa usingizini usiku!🤣 Sijui wanaofanya kazi usiku nao huwa wanaomba kumshukuru mungu kwa kuwafikisha asubuhi wakimaliza shift yao !
  14. JamiiForums Tanzania Yote anayosema Mange niliyasema kabla Hukoo nimetulia

    Mwigulu kufukuzwa inakuja Nchimbi nyumba yake kuzingirwa Report ya Samia kusema wapinzani wameshirikiana na Nchimbi kufanya maandamano nayo nilisema na nyuzi zimo, Mwisho kabisa nimeuliza swali kimkakati je yaweza hapo mbeleni Rais akaumwa akasema ninakaa pembeni ?? Nimekaa kimya week kadhaa...
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Hali ya Gaza kabla na baada ya Vita

    Moja kwa moja...... Mji wa Gaza ulikuwa mzuri sana , makosa na ujinga wa Hamas kuingia mkenge kufanya shambulio la kikatili kukazaa Unyama mkubwa zaidi katika zama hizi chini ya IDF 1. 2. 3. 4. #UziUnaendelea
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya teknolojia tuliamini gold ndio ulinzi wa pesa ila kwa sasa jifunzeni cryptocurrency

    Hii dunia sio mwamwedi ngamia kuishi congo au nguruwe kuishi jangwani. Maisha ya dunia yana badilika na kubadilika kila siku. Leo ulijua kuna mobile money wakati enzi za zamani ulikuwa unatuma pesa kwa kutumia basi. Hata barua posta ziliogopa email na leo njia ambazo kwa sasa dhahabu au...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msije kushangaa dogo mpigaji Mgogo kuwa Raisi kabla ya 2030

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa sasa ni Mhe. Deogratius John Ndejembi Kwa Mama alivyofanya mauaji yeyote n bora kuliko yeye lakini huyu dogo ni tayari billionea kabla ya hata umakamu sasa anaweza kuwa Raisi na usalama wa taifa na jeshi lipo tu linaendeleza uchawa
  18. JamiiForums Tanzania Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara ya mbolea Tanzania: faida ipo, lakini usianze kabla ya kujua haya!

    Unajua unaweza kuwa na mtaji mkubwa wa biashara ya mbolea, lakini ukashindwa kupata faida kwa sababu ya makosa machache tu? Tanzania ni nchi inayotegemea sana kilimo, hivyo biashara ya mbolea inaweza kuwa fursa nzuri ya kujipatia kipato. Lakini kabla hujafungua duka la mbolea, kuna mambo muhimu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kununua Spark Plug sahihi: Usibahatishe ! Fundi na Ai wanaweza kukosea, tumia katalogi hii ya DENSO.

    Makampuni ya spark plugs yapo mengi, lakini kwa uchache wa resources nilizoweza kupata, nimefanikiwa kuipata DENSO Spark Plug Catalog PDF na nimeona niishirikishe hapa kwa manufaa ya wengine. Katalogi ya DENSO ina columns mbalimbali zinazokusaidia kutambua spark plug sahihi kulingana na aina ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…