Kama kichwa cha hapo imeandika, mimi sijawahi kudumu na mwanamke zaidi ya miezi sita nitaeleza kwa visa vya wanawake watatu.
Wa kwanza nilidumu nae kwa mwezi mmoja, wakaenda kwao likizo baada ya hapo mahusiano yakaisha akawa ana dharau hata nikimwita mara anisimamishe njiani. Kama siku moja...