Yanga ni timu inayo 'enjoy' sana kucheza katika space. Ni timu inayofurahia sana aina ya soka la 'kutembeza ball'. Ile falsafa ya coach Ramović ya 'Gusa achia twende kwao' haikuanza kwake, bali imekuwa falsafa ambayo naweza kusema ni ya Rais wa club, Eng.Hersi Said. Rais wa Yanga ni aina ya...