Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kiu ya wazalendo wote Ni kuona CCMNaomba iandaliwe sms alafu itumwe kwa watu kila mtu atume kwa watu kumi tu kwaajili ya kuelezea sera za lissu kwanini awe Raisi na mzee baba asiwe Rais. Hiyo isambazwe.
Wazee wa Information Technology waingie kazini
Hivi ni kweli? Yaani Mtukufu rais aamrishwe juzi na Lisu kwamba kama vitambulisho sio lazima afute ile SHERIA, leo afute kweli!!!!. Yaani tutarajie hata ekari (kama sio hekta) 25000 nazo zitarudi sio! Au kijana umechezesha hii sio waraka wa kweli!!! Macho yangu sawa, bali ubongo unakataa kuamini kwa hulka ya mtukufu rais wetu. Mh....Naona Kama vile hii ni ndoto!!!
Kwamba SERA ZA CHADEMA ZINAANZA KUTEKELEZWA HATA KABLA YA RAIS WAKE HAJATINGA IKULU...[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Saaaaaaaafi sana Rais Mteule Mhe. Tundu Antipas Lissu!
Kuna chuo cha kuusomea uraisiLissu muongo tu, hana uwezo wa kuwa raisi
Hapa ndipo wanapata shida kumchafua.Lisu Hana kashfa yeyeto sio sawa na wagombea wengine
Hapa ndipo wanapata shida kumchafua.
Kama UPUUZI umeita Upuizi basi jamaa yako Jiwe keshaanza kuita MAJI kuwa 'MMA'UPUIZI MTUPU
Mbavu zangu eehh 😂😂😂😂😂Mzee wa lupaso baada ya kuuza nyumba za serikali ikiwemo kuwagawia hadi mahawara zao akaamua kumuweka mwizi mwenzake ili amlinde kwa kumpa lesseni feki ya udereva, abiria wamegutuka kumbe dereva ni kanjanja ajui chochote kuhusu gari la maendeleo.
Wanatamani wapate anagalau hata sababu moja ya kumchafua haioni wanabaki kumuita mlemavu wakati ulemavu wamempatia wao yaani Hawa watu hovyo kabisa!Hapa ndipo wanapata shida kumchafua.
Akiambiwa anasujudia atasema anatukanwa
Sijawahi piga kura maishani,but this time Mimi na familia yangu mapema asubui twalisambaratisha jiwe ukiwa unaipenda tza ungana nasi kulibomoa jiwe lisiumize watz wenzetu Tena.Ki ukweli bila unafiki Kura yangu sijawahi pigia CCM na kamwe sitakaa niwapigie Kura Lissu rais naefuata baada ya Magufuli kushindwa kututekelezea ahadi zake ikiwa na uvunjaji wa makusudi sheria na upuuzwaji wa katiba iliyompa cheo cha urais,,
Heri mlemavu wa mwili kuliko wao ulemavu wa akiliWanatamani wapate anagalau hata sababu moja ya kumchafua haioni wanabaki kumuita mlemavu wakati ulemavu wamempatia wao yaani Hawa watu hovyo kabisa!
Usikimbilie kutokwa mapovu na kuweweseka, kama kitu hujui uliza ujibiwe. Sasa wewe fala hujui kitu unakuja kidomodomo mbele kuita watu pimbi.
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyoLissu muongo tu, hana uwezo wa kuwa raisi
Mahera Ni msukuma?NEC ya Mahera mteule wa Magufuli inaonekana haijitambui na imechanganyikiwa🤣🤣
NEC Hawajui kuwa Wana-deal na Wakili MSOMI na nguli wa Sheria Tanzania.....!!!