Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Naomba iandaliwe sms alafu itumwe kwa watu kila mtu atume kwa watu kumi tu kwaajili ya kuelezea sera za lissu kwanini awe Raisi na mzee baba asiwe Rais. Hiyo isambazwe.
Wazee wa Information Technology waingie kazini
Kiu ya wazalendo wote Ni kuona CCM
Ina PUMZIKA KWA AMANI itakua Ni furaha ilioje
Ni wazo zuri
 
Naona Kama vile hii ni ndoto!!!
Kwamba SERA ZA CHADEMA ZINAANZA KUTEKELEZWA HATA KABLA YA RAIS WAKE HAJATINGA IKULU...[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
Saaaaaaaafi sana Rais Mteule Mhe. Tundu Antipas Lissu!
Hivi ni kweli? Yaani Mtukufu rais aamrishwe juzi na Lisu kwamba kama vitambulisho sio lazima afute ile SHERIA, leo afute kweli!!!!. Yaani tutarajie hata ekari (kama sio hekta) 25000 nazo zitarudi sio! Au kijana umechezesha hii sio waraka wa kweli!!! Macho yangu sawa, bali ubongo unakataa kuamini kwa hulka ya mtukufu rais wetu. Mh....
 
Baada ya kumtilia figisu asifanye kampeni kwa chopper, mkaenda kukodi chopper yenu kwa 1.5b sasa daktari ameshauri mgombea asiitumie. Bado hamjauona tu mkono wa Mungu juu ya Tundu Lissu?
 
Mzee wa lupaso baada ya kuuza nyumba za serikali ikiwemo kuwagawia hadi mahawara zao akaamua kumuweka mwizi mwenzake ili amlinde kwa kumpa lesseni feki ya udereva, abiria wamegutuka kumbe dereva ni kanjanja ajui chochote kuhusu gari la maendeleo.
 

Attachments

  • FB_IMG_1600852742662.jpg
    FB_IMG_1600852742662.jpg
    27.7 KB · Views: 1
Ki ukweli bila unafiki Kura yangu sijawahi pigia CCM na kamwe sitakaa niwapigie Kura Lissu rais naefuata baada ya Magufuli kushindwa kututekelezea ahadi zake ikiwa na uvunjaji wa makusudi sheria na upuuzwaji wa katiba iliyompa cheo cha urais,,
 
Mzee wa lupaso baada ya kuuza nyumba za serikali ikiwemo kuwagawia hadi mahawara zao akaamua kumuweka mwizi mwenzake ili amlinde kwa kumpa lesseni feki ya udereva, abiria wamegutuka kumbe dereva ni kanjanja ajui chochote kuhusu gari la maendeleo.
Mbavu zangu eehh 😂😂😂😂😂
 
Ki ukweli bila unafiki Kura yangu sijawahi pigia CCM na kamwe sitakaa niwapigie Kura Lissu rais naefuata baada ya Magufuli kushindwa kututekelezea ahadi zake ikiwa na uvunjaji wa makusudi sheria na upuuzwaji wa katiba iliyompa cheo cha urais,,
Sijawahi piga kura maishani,but this time Mimi na familia yangu mapema asubui twalisambaratisha jiwe ukiwa unaipenda tza ungana nasi kulibomoa jiwe lisiumize watz wenzetu Tena.
Iokoee tanzania kwa kuikataa ccm.
October 28 piga moja tu ya utosi ili kulipa kisasi Cha maumivu ya miaka 5 tusipofanya hivyo tutageuzwa kuni this time.
 

Attachments

  • FB_IMG_1600852742662.jpg
    FB_IMG_1600852742662.jpg
    27.7 KB · Views: 1
Wanatamani wapate anagalau hata sababu moja ya kumchafua haioni wanabaki kumuita mlemavu wakati ulemavu wamempatia wao yaani Hawa watu hovyo kabisa!
Heri mlemavu wa mwili kuliko wao ulemavu wa akili
 
Usikimbilie kutokwa mapovu na kuweweseka, kama kitu hujui uliza ujibiwe. Sasa wewe fala hujui kitu unakuja kidomodomo mbele kuita watu pimbi.

Narudia tena wewe ni PIMBI tu.
Hakuna. Unalojua zaidi ya kutetea hoja za kipimbi zisizo na mashiko...!!
Kama unajua vitu jibu hoja za Mhe. Lissu ikiwemo hii ya VITAMBULISHO VYA MACHINGA! Jiulize Kwanini Magufuli kavifutilia mbali baada ya Lissu kuhoji uhalali wake???
 
Lissu muongo tu, hana uwezo wa kuwa raisi
Mtu ambaye hawezi kufanya mkutano wa hadhara na kushinda kutwa anasumbua wananchi kwenye miji na vijiwe vyao anaambiwa anafanya campaign ya kisayansi.. UVCCM mnajua kupeana moyo
 
Back
Top Bottom