Kesi nyingi Ni biashara Kati ya waendesha mashtaka na mahakimu. Thus waliojaa jela wengi ni masikini wasio na pesa. Kumkuta tajiri jela ameingia anga la wanasiasa
 
Lazima watakuja waje wakubaliane na ushauri wako huu.
 
Elimu yako itanisaidia kuelewa najibizana na mtu wa aina gani humu. Maana wewe si kilaza tu, ni punguani wa lumumba
Nilijua tu chadema mwisho wa siku utakimbilia kutoa kejeli na matusi halafu ndio mnataka mpewe nchi na ufedhuri wenu.
 
NEC, polepole, bashiru waneamua kumpigia kampeni Lissu kiujanja.

Maana Jina lissu likitajwa tuu.. ni kampeni tosha

Mahera anatakiwa kulipia kodi bango lake la kumnadi Lissu ..
 
Katika JOHN MAGUFULI tunaimani .
Walioko na wanaogombea CCM ni wasaka tonge tu wala hawana uchungu na WANANCHI na ndio maana wametuletea Sheria za ajabu sana za MAFAO wakati wenyewe washachukua chao ni UBINAFSI WA HALI YA JUU SANA. WOTE MBWA TUU.
 
Tundu anayosapoti ya watanzania 70% na dunia nzima 90%.
Hatateteleka kamwe
 
πŸ‘‡
NEC wasipojiangalia na kujipanga vyema kwa hoja, wakikaa vibaya badala ya kumhoji inawezekana wakahojiwa wao.
Kumhoji huyu mtu inabidi ujiandae haswa. Mi nakumbuka Kuna hakimu mmoja singida alikimbia baada ya kuona wakili anasimamia kesi ni lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…