Haha 😂 😂 hatuchaguliwi Rais mwaka huu, huyu anaesema hakuleta tetemeko la ardhi na tusipochagua CCM haleti maendeleo. NEC na TISS mjiandae na nguvu ya wananchi.
 
Haha [emoji23] [emoji23] hatuchaguliwi Rais mwaka huu, huyu anaesema hakuleta tetemeko la ardhi na tusipochagua CCM haleti maendeleo. NEC na TISS mjiandae na nguvu ya wananchi.
Kwani Tunisia hapakuwa na vyombo vya usalama? Ni suala la muda tu, wanaona wananchi ni wajinga kuwapangisha mafoleni kupiga kura then vyombo vya usalama vinawachagulia Rais..
 
Kipindi kama hiki ndo ungeipenda TISS ya mzee Mahiga na Dk Kitime waliokuwa wakifanya mission za chini kwa chini Raisi anapewa taarifa nwishoni kabisa hata kama jambo linamuhusu.

Yaani saivi TISS wanatakiwa kuwa wameshaweka ulinzi nyumbani kwa Lissu na walinzi wengine wa kutembea nae maana saivi Lissu ni alama ya usalama na utulivu kwa taifa. Lolote litakalotokea kwake ni threat to national security.

Kwaheri CCM, Karibu Chadema 2020-2025. Karibu Tundu Antiphas Lissu uweke katiba mpya, mfumo mpya wa utawala Tanzania na taasisi imara za kusimamia mendeleo na utawala bora Tanzania!
 
Uchawi tu
 
Mnajifariji. Kura zipi hizo za kulindwa?
 
Hawa watoto Wa miaka mitano mnawasumbua sana hawajui lolote,msiwatoe madarasani ili waongeze vichwa,bado wako chekechea msiianze kuwafundisha ufisadi wakiwa na umri huo..
Ligombea lao maccm, badala ya kuelezea sera zake limebaki kuomba lipewe vitoto vidogo viwe wake zake.

Pole sana Mama Janeth kwa hili janga la karne
 
Waanze kufungasha vifurushi vyao mapema,kidogokidogo muda bado ungalipo.Kwani wakizidi kuchelewa watakumbuka muda umeshawaacha.Niushauri tu lakini.
 
Debe tupu wenzio wanajiharishia mpaka wanajitafutisha vijisababu wamdhibiti wanasahau hata kanuni walizoziandika wenyewe kuhusu maadili ya uchaguzi!
Pole sana! Inaonesha umeanza kufuatilia siasa juzi baada ya Lisu kurusi kutoka ubelgiji
 
Huwezi kumuelewa Pasco!

Lkini utamuelewa tu matokeo yakitangazwa
 
Fao la kujitoa nalo ni sindano kali kwa ccm. Limesababisha umaskini kwa vijana waliokuwa na ndoto za kujiajiri. In fact ni ujambazi wa kung'ang'ania hela za mtu kwa lazima wakati mwenye hela anataabika.
Hii hoja ya FAO la kujitoa haipewi coverage kubwa Ila ni hoja nzito Sana. FAO la kujitoa linamhusu kila mwajiriwa hivyo linapaswa liwekwe vzr ili kila Mwajiriwa aelewe linamuathiri vipi.
 
Mkuu kama vilevile mapenzi yako yapo kwa Gwanjboy aka kondoo f.ucker kule Kawe usituchoshe ..let a leader from majority to govern this country .Yule pandikizi lenu bila chama then na proper vetting baada ya uchaguzi likasema "tumwachie mungu tuu kila mtu anajuwa nilishinda"mwisho likarudi pangoni huko ....Huyu Mr Lissu ni simba aliye jeruhiwa na risasi 16 hakuna cha mungu tumuachie amesema pia Mabeberu wote wapo full tank kwa backup ...otherwise expect bloodbath zaidi Mkapa-Zanzibar unless election will be free and fair.
 
Mkuu kama vilevile mapenzi yako yapo kwa Gwanjboy aka kondoo f.ucker kule Kawe usituchoshe ..let a leader from majority to govern this country .Yule pandikizi lenu bila chama then na proper vetting baada ya uchaguzi likasema "tumwachie mungu tuu kila mtu anajuwa nilishinda"mwisho likarudi pangoni huko.

Huyu Mr Lissu ni simba aliye jeruhiwa na risasi 16 hakuna cha mungu tumuachie amesema pia Mabeberu wote wapo full tank kwa backup ...otherwise expect bloodbath zaidi Mkapa-Zanzibar unless election will be free and fair.
 
Pole sana! Inaonesha umeanza kufuatilia siasa juzi baada ya Lisu kurusi kutoka ubelgiji
Tunaziangalia mnazoziita siasa za kissyansi,Ila wengine tunaona zimegeuka siasa mbeleko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…