Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Kweli kabisa, Fao la kujitoa Ni mwiba kwa CCM. Polepole hawezi kujibu.

Pia Lisu aongezee na kupunguza Kodi Vifaa vya ujenzi.

Kupunguza Bei cement nondo na mabati ili wananchi wajenge Nyumba Bora.
 
Mlizuia sauti nyingi zenye mtizamo tofauti na yenu hata mkazuia chama kulichopata kura zaidi ya milioni sita 2015 kuwashukuru, mkajipa mamlaka ya kusikilizwa nyie tu vyombo vya habari vikatundikwa msalabani kwa sheria ya habari mkaminya mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa iliyopo kwa mjibu sheria mkawafungulia kesi nyingi viongozi wetu mkijua hatakubalika kwa umma. Mkawavua ubunge wabunge wetu, mkawanunua wabunge na madiwani.

Mnadhimu wetu ambaye ndio mgombea wetu akashambuliwa na wanaoitwa “wasiojulikana” Mungu wetu wa mbinguni akakataaa leo TUNDU ANTIPAS LISSU YU UHAI NA NDO RAIS WETU WA MITANO KWANZA mlimvua ubunge mkamnyima stahiki zake za matibabu kamanda karudi ana ari zaidi ya janah. Uchaguzi huu kwetu ni jambo jema kurejesha uhuru wetu, kurejesha haki na maendeleo kwa wetu

#niyeye2020october28tutawezena #SasaBasi
ba51d744-322e-41f9-8253-b73fb5c15e8b.jpg
 
Mitano tena ni bora zaidi, tunataka barabara, afya na elimu bora sio blah blah blah
 
Ukimsikiliza Lissu. Ukiendelea kumsikiliza Lissu ni wazi utaona kwamba Lowassa 2015 hakuwa mgombea bali alikuwa mzugaji. Huyu jamaa wa sasa ana akili iliozidi, the man is genius. Katika press release yake ya leo Arusha aisee huyu ndio mgombea tuliokuwa tunamwitaji. Mimi ni CCM damu damu but namkubali Lissu na anavyosaidia kunyosha mambo.

We need HAKI katika hii nchi na kubwa zaidi mazingira bora ya kupata chakula mezani. Private sector imekufa. Uchumi umekufa. wahenga wanasema kuuwa uchumi uchukua siku moja au mbili ila kuijenga uchukua zaidi ya miaka 10 mpaka 20. Marekani tokea 2008 uchumi wao ulivyoyumba mpaka sasa bado wanarecover recover.

Sasa huyu Jamaa kauwa uchumi kabisa please hata tukimpa miaka 5 tena hatoweza kuurekebisha. Only, solution is kuanza upya
 
Ukimsikiliza Lisu. Ukiendelea kumsikiliza Lisu ni wazi utaona kwamba Lowassa 2015 hakuwa mgombea bali alikuwa mzugaji. Huyu jamaa wa sasa ana akili iliozidi, the man is genius. Katika press release yake ya leo Arusha aisee huyu ndio mgombea tuliokuwa tunamwitaji. Mimi ni CCM damu damu but namkubali Lisu na anavyosaidia kunyosha mambo. We need HAKI katika hii nchi na kubwa zaidi mazingira bora ya kupata chakula mezani. Private sector imekufa. Uchumi umekufa. wahenga wanasema kuuwa uchumi uchukua siku moja au mbili ila kuijenga uchukua zaidi ya miaka 10 mpaka 20. Marekani tokea 2008 uchumi wao ulivyoyumba mpaka sasa bado wanarecover recover. Sasa huyu Jamaa kauwa uchumi kabisa plz hata tukimpa miaka 5 tena hatoweza kuurekebisha. Only, solution is kuanza upya
CDM 2015 hawakuwa na mgombea walikuwa na wakala wa kura za urais(Lowasa)
 
Lowassa alikuwa hajui kuongea kabisa, tulimpa kura kwasababu tu ya zile nywele zake nyeupe, kama theluji ya mlima kilimanjaro.

Ila kwa Lissu, ndio akili zetu zimeturudia, ni mgombea mwalimu anaetufundisha mengi, kuanzia historia mpaka sheria...

Kura yangu ameshaipata, Mungu anijalie uzima tu.
 
Ukimsikiliza Lisu. Ukiendelea kumsikiliza Lisu ni wazi utaona kwamba Lowassa 2015 hakuwa mgombea bali alikuwa mzugaji. Huyu jamaa wa sasa ana akili iliozidi, the man is genius. Katika press release yake ya leo Arusha aisee huyu ndio mgombea tuliokuwa tunamwitaji. Mimi ni CCM damu damu but namkubali Lisu na anavyosaidia kunyosha mambo. We need HAKI katika hii nchi na kubwa zaidi mazingira bora ya kupata chakula mezani. Private sector imekufa. Uchumi umekufa. wahenga wanasema kuuwa uchumi uchukua siku moja au mbili ila kuijenga uchukua zaidi ya miaka 10 mpaka 20. Marekani tokea 2008 uchumi wao ulivyoyumba mpaka sasa bado wanarecover recover. Sasa huyu Jamaa kauwa uchumi kabisa plz hata tukimpa miaka 5 tena hatoweza kuurekebisha. Only, solution is kuanza upya
Mm nawashangaa sana wanaomfananisha TL na AL
 
Lowassa alikuwa hawezi kusimama jukwaani kwa dakika 10 bila kuanguka. Alikuwa anatumia jina tu la zamani. Anasimama jukwaani na kunyoosha mkono basi. Kuwalinganisha Lissu na Lowassa ni kulinganisha vitu 2 tofauti kabisa.
 
Ukimsikiliza Lisu. Ukiendelea kumsikiliza Lisu ni wazi utaona kwamba Lowassa 2015 hakuwa mgombea bali alikuwa mzugaji. Huyu jamaa wa sasa ana akili iliozidi, the man is genius. Katika press release yake ya leo Arusha aisee huyu ndio mgombea tuliokuwa tunamwitaji. Mimi ni CCM damu damu but namkubali Lisu na anavyosaidia kunyosha mambo. We need HAKI katika hii nchi na kubwa zaidi mazingira bora ya kupata chakula mezani. Private sector imekufa...
Mwepesi kwa maneno yako, ila mlivunja mpaka katiba yenu kwa kumweka mtu asiye mwanachama kuwa mgombea Urais kwa fungu alilolitoa.

Ninyi saccos, mtu akiweka fungu mezani anaweza wanunua wote mpaka na kale kabanda kenu ka Ufipa. Mnataka nchi, si mtaipiga bei kwa mabeberu wenu wa Ubelgiji na kuwapa rasilimali zetu. Watanzania, tumewashtukia nyie.
 
Lowassa alikuwa hawezi kusimama jukwaani kwa dakika 10 bila kuanguka. Alikuwa anatumia jina tu la zamani. Anasimama jukwaani na kunyoosha mkono basi. Kuwalinganisha Lissu na Lowassa ni kulinganisha vitu 2 tofauti kabisa.
Kama hafai mbona mwenye chama alimwamini kugombea?. Kura alizopata lowasa, Lissu hata nusu hata pata.
 
Back
Top Bottom