jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Haendi mahali. Yuko na wananchi.anarudi zake belgium[emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haendi mahali. Yuko na wananchi.anarudi zake belgium[emoji2][emoji2]
Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani....otherwise expect bloodbath zaidi unless election will be free and fair.
Kauli tu ,haitoshi Bali ionekane kwa vitendo ikitendeka.Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
Hizo porojo za free and fair election wataoziamini ni wendawazimu pekee, wale wanaochorewa mlango ubaoni wapite. Sitaki kuamini na wewe ni mmoja wao. Bado damu ya Akwilina haijasahaulika, dhulma za uchaguzi zilimnyang'anya Uhai wake.Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
Umeisahau na ile mnayojenga pale chattle.Hizi hoja au takataka. Labda ikulu ya ufipa pale,sio chamwino.
8. Pensheni kwa wazee wote kuanzia umri fulani utakaowekwa na Serikali yenyewe.Lissu ni kama vile ameshashinda uchaguzi huu kwa hoja zake 7 ambazo zimepata nguvu na kuaminiwa na jamii. Na hii inajidhihirisha maeñeo mbalimbali ambayo amepita kufanya kampeni.
Lissu ni kama vile mhubiri wa injili, kila eneo analopita shetani anapoteza nguvu na neno linabaki mioyoni mwa watu. Maeneo ambayo bado hajapita ndio yamebaki kuzungumzia habari za CCM, lakini yatakapofikiwa na habari njema ya injili ya wokovu na ubatizo wa maji mengi na wao wataachana na CCM.
Hoja 7 ambazo Lissu zimemwongezea nguvu toka kwa makundi mbalimbali ambazo CCM wamekosa majibu yake
1. Vitambulisho vya wajasiliamali;
Ni hoja ambayo imepokelwa vizuri na watamzania, kila kona.CCm wameshindwa kujibu hadi sasa, wamebaki tu kudema dema kwenye majibu yao kwamba magufuri anawapenda wamachinga, Mara vitambulisho sio lazima ,wakati wamevitungia na sheria tayari. Lissu shikilia hapo hapo kwa mpaka waeleze ni lini wamachinga walioomba wauziwe vitambulisho visivyo na picha wala jina
2. Maslahi ya watumishi, nyongeza ya mshahara.
Hoja ambayo haijajibiwa hadi Leo, na ccm wamekosa majibu wakaeleweka kwa wananchi. . Nyongeza ya mshahara ni takwa la kisheria na sio takwa la mtu . Alisikika Mara moja akisema hajapandisha mshahara ila edhibiti mfumuko wa bei, na akapata majibu yake toka kwa Lissu kwamba bei ya sukari ya 2015 na Leo 2020 ipo sawa, ? "Wananchi hapana" Lissu " anatuambia nini. Baba shikilia hapo hapo wameshalegea na hawana majibu
3. Suala la pension na kiinua mgongo kwa wastaafu
Watu wengi walikuwa gizani na suala lakini baada ya kulitolea maelezo sasa nalo limepata hamasa miongoni kwa watanzania kwamba kuanzia mwakani wastaafu hawatapata pension zao zote baadala yake watapata nusu. Hilo limeonekana kuwa chuki kwa makundi hayo na CCM wameshindwa kutolea majibu ya kueleweka . Lissu shikilia hapo hapo wamesha nyooka tayari
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato na hifadhi ya wanyama
Hoja hapa sio ujenzi ,hoja inayoonekana hapa ni namna mradi unavyotekelezwa kwa ufisadi mkubwa wa kupeana tenda na Ndugu yake Mayanga . Mpaka Leo hoja hiyo Magufuli na CCM yake wameshindwa kuitolea majibu, kwa nini aingilie mchakato wa tender na kuagiza apewe ndugu yake na watu sasa huku wanasema ni kama mtu ameamua kupitishia di kwa ndugu yake. Amenipigia pasi kwa mbele ,na suala la hifadhi pia ndio hawana majibu kabisa .Baba Lissu shikilia hapo hapo wamesha nyong'onyea tayari
5. Suala la ununuzi wa ndege
Hii hoja ilianza kwa kasi mwanzoni kunadiwa na ccm lakini baada ya Lissu kuanza kushughurika Nayo wameshakimbia. Lissu amezungumzia masuala ya Faida na mchakato wa ununuzi wa midege hiyo imegubikwa na ufisadi mkubwa na kwamba anayejua ni Magufuri na mjomba wake Dotto James. CCM mpaka Leo wamepoteana na ajenda ya ndege sio ajenda yao tena kwenye kampeni zao.Lissu wabananishe hapo hapo kwenye kona washindwe pa kutokea.
6: Ukosefu wa Ajira kwa makundi mbalimbali
Eneo hili limepata uungwaji mkono mkubwa toka kwa makundi mbali mbali ya vijana. Tangu 2015 ajira zimetolewa kwa walimu wa sayansi na kada za afya. Kada nyingine hazijaguswa kabisa . Hoja yake hapa magufuri imebaki kuwa ni watu wajiajiri wakati yeye mtoto wake Jesca amemwajiri wizara ya mambo ya nje, mwingine amempa RAS iringa .hao walishindwa kujiajiri hadi awaajiri. Watoto wa wanyonge ndio wanaohimizwa kujiajiri. Hapo napo Lissu shikilia hapo hapo pana tija na kundi kubwa la wahanga
7: Waathirika wa vyeti feki
Hii ni hoja ambayo imepata kusemwa na Lissu, kwamba hao walio wa ajiri ni wao ccm na kinachozungumzwa hapa ni watu kufukuzwa kama mbwa bila kupewa mafao yao, ambayo wamechangia kwa miaka mingi halijulikani lilipo enda. Hao ni watanzania wenzetu na sio wakenya wala wamalawi, wamelitumikia na kutufundishia watoto wetu kwa miaka mingi hadi wengine wamekuwa maprofesa. Michango yao ipo wapi kama hawajapewa, Magufuri na ccm yao iliyojaa roho ya kuumiza watu waseme wamepeleka michango yao ya pension waliyokuwa wanachangia kwenye mifuko ya hifadhi
8: Magufuri amesambaza wasio julikana kila kona
Hii inasababisha watu ukiikosoa tu serikali unakamatwa soon.
Wasio julikana inafanya watu tunashindwa kunya wala kukojoa usiku
Nashauri Lissu sasa kwa kuwa kwenye miji yote na vijijini amefanikiwa kuiteka sasa ajikite katika kuwaaminisha watanzania ni namna gani walinde kula zao. CCM wamebaki na mbinu moja tu ya kuwategemea wakurugenzi na NEC, ili wawavushe hapo walipo kwenye tope kwenda nchi kavu. Katika hotuba zake sasa ajikite kuwahimiza wananchi kulinda kura zao, hii ngoma imeshaisha . Wakurugenzi na hawa watendaji kata ambao wamepewa maelekezo marafuku kuwatangaza wapinzani kwenye maeneo yao ndio imekuwa mwiba na Wapinzani wasipo jipanga vizuri mwishoni wataumizwa na hao watu.
Ushauri wangu Lissu sasa ajikite katika kulinda kura. Watendaji wa kata si wa kuchekewa na kuendelea kuachwa kwani kwanza ni watu wa chini mno, lakini ni watu ambao wameshapokea vitisho, hivyo inabidi kazi ya ziada ifanyike. Umati kwa umati Huo Huo wanaojaa kwenye mikutano yao wahimizwe pia wawepo hivyohivyo kwenye kulinda kulinda kura zao kwenye vituo vya kata na ofisi za wakurugenzi. Kwa umati ule wa mwanza wakifanikiwa kukaa kwenye kata na ofisi za wakurugenzi kazi itakuwa imeisha.
Kama una hoja nyingine ambayo unaona bado Lissu bado hajaizungumzia ambayo inaweza kuteka mioyo ya watu iweke hapa ,lakini pia unaweza kupendekeza mbinu sahihi ya kulinda kura
Chaaaaao, tuonane 28 oktoba
Soma Kitabu amekiacha mzee Mkapa wewe mtia nia wakushindwa....jinsi nchi ya amani watu waliuwa kama kuku Zenje...kama kuna watu wana thirst ya kunywa damu ni wewe na kikundi chenu....mekunywa blood ya Alphoce,Sanane,mukalamba na damu ya Lissu sasa hamoni aibu.Kwanza wewe hakuna kitu ambacho najilaumu mimi binafsi prior kukuheshimu kama very prolific journalist kumbe ulikua nauchu na tamaa ya madaraka ili upige ambush ubunge kirahisi tuu..asante mashetani wenzio kukupiga kibuti.your green brains isn't for journalism nor politics.Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
Lissu haweziKama jpm ameweza kuwa rais, yeyote aweza kuwa rais, sio lissu tu hata hashimu rungwe
Wewe siyo machinga wala mama Ntilie wala mwanachama wa CCM maana nafikiri hata darasa la 7 ulifika maana ulichoandika hapa kinasomeka na hiyo hesabu ya malipo ya ushuru kwa siku umepatia lakini nani amekuteua kuwa msemaji wa hao wajasiliamali? Kama vatambulisho vinafaida na vinasaidia kwa nini vitungiwe Sheria au viwe lazima kuwa navyo au kwa nini wafanyakazi wa Serikali watumbuliwe kwa kushindwa kuuza vitambulisho walivyopangiwa au kwa nini visiwe na jina na picha ya mnunuaji au kwa nini malipo ya Sh. 20,000 hayakatiwi Risiti? Ukinunua kitu dai Risiti, ukiuza kitu toa Risiti, Magufuli.Najikita kwenye hoja ya VITAMBULISHO
Ngoja nijikite kwenye "UONGO" na UZUSHI wa kwanza juu ya vitambulisho vya wajasiriamali. Ni hivi - ni vizuri watu msiwe wasahaurifu wa mambo yaliyokuwa yakitukuta sisi wajasiriamali. Ni nani asiyejua adha, manyanyaso na usumbufu tuliokuwa tukipewa na mgambo na viongozi mbalimbali katika sehemu zetu za kazi kama huko kwenye masoko, kwenye site mbalimbali au huko mabarabarani tulikokuwa tukipanga vitu, bidhaa au biashara zetu. Kweli mmeshasau mateso hayo ya kuporwa au kumwagiwa bidhaa zetu na hata wakati mwingine kukamatwa na kupelekwa mbele ya PILATO na kuhukumiwa faini za ajabu ajabu ajabu na hata VIFUNGO? Kweli mmesahau kiasi ambacho mnasimama na kusikiliza UONGO NA UZUSHI wa Lissu eti VITAMBULISHO VYETU hivi ni sawa na KODI YA KICHWA? Uongo gani huu?
Haya hilo moja. Je mmesahau USHURU tuliokuwa tukitozwa huko sokoni au barabarani au kwenye vibanda vyetu humu mitaani kwetu? Je mmesahau ule USHURU wa shilingi 500/= hadi 1000/= au 1500/= kwa siku moja kwa kupanga na kuuza vifungu vichache vya nyanya au vitumbua au vitunguu au USHURU wa kiasi hicho kwa kutembeza suruali 5 au 10 za mitumba au kwa viguo 10 vya watoto, MMESAHAU au mnadanganywa na kupotoshwa kwa UONGO na UZUSHI huu wa Lissu!?
Ngoja nimalize kwa kuwapa hesabu ndogo tu ili kuonyesha unafuu wa hizo shilingi 20000/= kwetu sisi wajasiriamali. Shilingi 20000/= ni tozo KWA SIKU 365 AU MWAKA MMOJA! Maana yake ni kwamba tunahitajika kulipa USHURU wa SHILINGI 54/= yaani shilingi HAMSINI NA NNE kwa siku badala ya zile shilingi 500/= au 1000/= au 1500/=. Ni unafuu ulioje! Halafu anaibuka mtu mmoja asiyejua na kufahamu UKWELI kwa vile alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu kiasi cha kusikiliza kila UPOTOFU aambiawo na wapambe wake. Jamani shilingi 54/= kwa siku ndiyo KODI YA KICHWA YA LISSU. Hii ni AJABU NA KWELI. Twende na uongo huu wa kwanza hayo MAUONGO mengine yatafuata au siyo!?
Embu jaribu basi kuwa kama great thinker utetee hoja yako, yaani katika hayo maswala aliyoyaongelea lissu inamaana kwako pia ni changamsha genge, embu jaribu basi kuwajibia wenzako hizo hoja ambazo mpaka leo zimeshindwa kujibiwa, labda wewe ndio utakuwa jibu la yote hayo na utarudisha imani kwa ccm yakoLissu anachangamsha genge tu ! Uzuri ni kwamba baada ya 28 oct mtapoteana sana humu!.
Lissu ni kama vile ameshashinda uchaguzi huu kwa hoja zake 7 ambazo zimepata nguvu na kuaminiwa na jamii. Na hii inajidhihirisha maeñeo mbalimbali ambayo amepita kufanya kampeni.
Lissu ni kama vile mhubiri wa injili, kila eneo analopita shetani anapoteza nguvu na neno linabaki mioyoni mwa watu. Maeneo ambayo bado hajapita ndio yamebaki kuzungumzia habari za CCM, lakini yatakapofikiwa na habari njema ya injili ya wokovu na ubatizo wa maji mengi na wao wataachana na CCM.
Hoja 7 ambazo Lissu zimemwongezea nguvu toka kwa makundi mbalimbali ambazo CCM wamekosa majibu yake
1. Vitambulisho vya wajasiliamali
Ni hoja ambayo imepokelwa vizuri na watamzania, kila kona.CCm wameshindwa kujibu hadi sasa, wamebaki tu kudema dema kwenye majibu yao kwamba magufuri anawapenda wamachinga, Mara vitambulisho sio lazima ,wakati wamevitungia na sheria tayari. Lissu shikilia hapo hapo kwa mpaka waeleze ni lini wamachinga walioomba wauziwe vitambulisho visivyo na picha wala jina
2. Maslahi ya watumishi, nyongeza ya mshahara
Hoja ambayo haijajibiwa hadi Leo, na ccm wamekosa majibu wakaeleweka kwa wananchi. . Nyongeza ya mshahara ni takwa la kisheria na sio takwa la mtu . Alisikika Mara moja akisema hajapandisha mshahara ila edhibiti mfumuko wa bei, na akapata majibu yake toka kwa Lissu kwamba bei ya sukari ya 2015 na Leo 2020 ipo sawa, ? "Wananchi hapana" Lissu " anatuambia nini. Baba shikilia hapo hapo wameshalegea na hawana majibu
3. Suala la pension na kiinua mgongo kwa wastaafu
Watu wengi walikuwa gizani na suala lakini baada ya kulitolea maelezo sasa nalo limepata hamasa miongoni kwa watanzania kwamba kuanzia mwakani wastaafu hawatapata pension zao zote baadala yake watapata nusu. Hilo limeonekana kuwa chuki kwa makundi hayo na CCM wameshindwa kutolea majibu ya kueleweka . Lissu shikilia hapo hapo wamesha nyooka tayari
4. Ujenzi wa uwanja wa ndege Chato na hifadhi ya wanyama
Hoja hapa sio ujenzi ,hoja inayoonekana hapa ni namna mradi unavyotekelezwa kwa ufisadi mkubwa wa kupeana tenda na Ndugu yake Mayanga . Mpaka Leo hoja hiyo Magufuli na CCM yake wameshindwa kuitolea majibu, kwa nini aingilie mchakato wa tender na kuagiza apewe ndugu yake na watu sasa huku wanasema ni kama mtu ameamua kupitishia di kwa ndugu yake. Amenipigia pasi kwa mbele ,na suala la hifadhi pia ndio hawana majibu kabisa .Baba Lissu shikilia hapo hapo wamesha nyong'onyea tayari
5. Suala la ununuzi wa ndege
Hii hoja ilianza kwa kasi mwanzoni kunadiwa na ccm lakini baada ya Lissu kuanza kushughurika Nayo wameshakimbia. Lissu amezungumzia masuala ya Faida na mchakato wa ununuzi wa midege hiyo imegubikwa na ufisadi mkubwa na kwamba anayejua ni Magufuri na mjomba wake Dotto James. CCM mpaka Leo wamepoteana na ajenda ya ndege sio ajenda yao tena kwenye kampeni zao. Lissu wabananishe hapo hapo kwenye kona washindwe pa kutokea.
6: Ukosefu wa Ajira kwa makundi mbalimbali
Eneo hili limepata uungwaji mkono mkubwa toka kwa makundi mbali mbali ya vijana. Tangu 2015 ajira zimetolewa kwa walimu wa sayansi na kada za afya. Kada nyingine hazijaguswa kabisa . Hoja yake hapa magufuri imebaki kuwa ni watu wajiajiri wakati yeye mtoto wake Jesca amemwajiri wizara ya mambo ya nje, mwingine amempa RAS iringa .hao walishindwa kujiajiri hadi awaajiri. Watoto wa wanyonge ndio wanaohimizwa kujiajiri. Hapo napo Lissu shikilia hapo hapo pana tija na kundi kubwa la wahanga
7: Waathirika wa vyeti feki
Hii ni hoja ambayo imepata kusemwa na Lissu, kwamba hao walio wa ajiri ni wao ccm na kinachozungumzwa hapa ni watu kufukuzwa kama mbwa bila kupewa mafao yao, ambayo wamechangia kwa miaka mingi halijulikani lilipo enda. Hao ni watanzania wenzetu na sio wakenya wala wamalawi, wamelitumikia na kutufundishia watoto wetu kwa miaka mingi hadi wengine wamekuwa maprofesa. Michango yao ipo wapi kama hawajapewa, Magufuri na ccm yao iliyojaa roho ya kuumiza watu waseme wamepeleka michango yao ya pension waliyokuwa wanachangia kwenye mifuko ya hifadhi
8: Magufuli amesambaza wasiojulikana kila kona
Hii inasababisha watu ukiikosoa tu serikali unakamatwa soon. Wasio julikana inafanya watu tunashindwa kunya wala kukojoa usiku
Nashauri Lissu sasa kwa kuwa kwenye miji yote na vijijini amefanikiwa kuiteka sasa ajikite katika kuwaaminisha watanzania ni namna gani walinde kula zao. CCM wamebaki na mbinu moja tu ya kuwategemea wakurugenzi na NEC, ili wawavushe hapo walipo kwenye tope kwenda nchi kavu. Katika hotuba zake sasa ajikite kuwahimiza wananchi kulinda kura zao, hii ngoma imeshaisha . Wakurugenzi na hawa watendaji kata ambao wamepewa maelekezo marafuku kuwatangaza wapinzani kwenye maeneo yao ndio imekuwa mwiba na Wapinzani wasipo jipanga vizuri mwishoni wataumizwa na hao watu.
Ushauri wangu Lissu sasa ajikite katika kulinda kura. Watendaji wa kata si wa kuchekewa na kuendelea kuachwa kwani kwanza ni watu wa chini mno, lakini ni watu ambao wameshapokea vitisho, hivyo inabidi kazi ya ziada ifanyike. Umati kwa umati Huo Huo wanaojaa kwenye mikutano yao wahimizwe pia wawepo hivyohivyo kwenye kulinda kulinda kura zao kwenye vituo vya kata na ofisi za wakurugenzi. Kwa umati ule wa mwanza wakifanikiwa kukaa kwenye kata na ofisi za wakurugenzi kazi itakuwa imeisha.
Kama una hoja nyingine ambayo unaona bado Lissu bado hajaizungumzia ambayo inaweza kuteka mioyo ya watu iweke hapa ,lakini pia unaweza kupendekeza mbinu sahihi ya kulinda kura
Chaaaaao, tuonane 28 oktoba
Ikulu gani atakayoingia, ile inayojengwa na Magufuli pale Chamwino ambayoyeye anaona ni manedelo ya vitu au ile ikulu ya mtaa wa Ufipa?Lissu ni kama vile ameshashinda uchaguzi huu kwa hoja zake 7 ambazo zimepata nguvu na kuaminiwa na jamii. Na hii inajidhihirisha maeñeo mbalimbali ambayo amepita kufanya kampeni.

Hayo ya shuWewe siyo machinga wala mama Ntilie wala mwanachama wa CCM maana nafikiri hata darasa la 7 ulifika maana ulichoandika hapa kinasomeka na hiyo hesabu ya malipo ya ushuru kwa siku umepatia lakini nani amekuteua kuwa msemaji wa hao wajasiliamali? Kama vatambulisho vinafaida na vinasaidia kwa nini vitungiwe Sheria au viwe lazima kuwa navyo au kwa nini wafanyakazi wa Serikali watumbuliwe kwa kushindwa kuuza vitambulisho walivyopangiwa au kwa nini visiwe na jina na picha ya mnunuaji au kwa nini malipo ya Sh. 20,000 hayakatiwi Risiti? Ukinunua kitu dai Risiti, ukiuza kitu toa Risiti, Magufuli.
Haya ya kiwango cha elimu yangu na kama ni machinga au siyo TUYAACHE! Ni muhimu sana kutungia sheria mambo mazuri, hili la vitambulisho ni jambo BORA SANA kwa wamachinga. Ni wapi uliona kibali au ID ya shs.20000/- inakupa KIBALI cha kufanya biashara yako NCHI NZIMA!? Ni nini zaidi ya hiki? Ulazima wa kuwa nacho unatokana na namna watendaji kwenye ngazi za Halmashauri walivyo kuwa wanavipinga kwani vimepunguza sana makusanyo yao na pia "ULAJI" wao kupitia mgambo wao na mahakama za ajabu ajabu.Wewe siyo machinga wala mama Ntilie wala mwanachama wa CCM maana nafikiri hata darasa la 7 ulifika maana ulichoandika hapa kinasomeka na hiyo hesabu ya malipo ya ushuru kwa siku umepatia lakini nani amekuteua kuwa msemaji wa hao wajasiliamali? Kama vatambulisho vinafaida na vinasaidia kwa nini vitungiwe Sheria au viwe lazima kuwa navyo au kwa nini wafanyakazi wa Serikali watumbuliwe kwa kushindwa kuuza vitambulisho walivyopangiwa au kwa nini visiwe na jina na picha ya mnunuaji au kwa nini malipo ya Sh. 20,000 hayakatiwi Risiti? Ukinunua kitu dai Risiti, ukiuza kitu toa Risiti, Magufuli.
Mwanzo wa kitu kizuri ni mapungufu, lakini kadri mnavyo kwenda MNABORESHA. Leo hukipati bila kulipia kupitia CONTROL NUMBER ya Serikali. With time mimi naamini hata hizo picha zitabandikwa kwenye hizo ID; kwani kwa sasa rekodi za mwenye ID ikiwa ni pamoja na picha yake vinabaki Ofisi za Serikali ya Mtaa wako na pia kwenye KATA. Nimeona niandike kwa kirefu kidogo kama njia ya kutoa elimu kwako na wengine AU SIYO?