...otherwise expect bloodbath zaidi unless election will be free and fair.
Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
 
Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
Kauli tu ,haitoshi Bali ionekane kwa vitendo ikitendeka.
 
Hao wendawazimu wajibu hizi hoja za Lissu kwanza. Mmedhibiti ufisadi wakati mtu mmoja na familia yake ndio wanafanya ufisadi sasa! Haiingii akilini. Au ndio ule mwendelezo wa ufisadi wa kugawana majumba ya serikali na mahawara!
 
Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
Hizo porojo za free and fair election wataoziamini ni wendawazimu pekee, wale wanaochorewa mlango ubaoni wapite. Sitaki kuamini na wewe ni mmoja wao. Bado damu ya Akwilina haijasahaulika, dhulma za uchaguzi zilimnyang'anya Uhai wake.
 
8. Pensheni kwa wazee wote kuanzia umri fulani utakaowekwa na Serikali yenyewe.
Sera ya Wazee iliandaliwa Awamu ya Tatu mpaka kwa mara ya kwanza hata Idara ya Wazee ya Wizara ilianzishwa na watendaji kuajiriwa lakini hadi leo haijatekelezwa Wala kuzungumzwa.
Mwaka 2012 Serikali ya Awamu ya Nne kwenye Fomu ya Sensa ya Taifa iliweka kipengele cha Wazee wa umri fulani ili wingi wao ujulikane na kuangalia uwezo wa kuwalipa pensheni wote. Namba ilijulikana na kulipa ilionekana inawezekana kulingana na kiwango kitakachokubalika. Kwa sababu Serikali mbili za nyuma zilikuwa zimelifanyia kazi kubwa suala hili, ilitegemewa Awamu ya Tano ya wanyonge, italipa suala hili kipaumbele katika utekelezaji lakini bahati mbaya sana miaka 5 sasa imekwisha wala hata kuzungumzia tu halikuzungumziwa kabisa ingawa Idara ya Wazee imeendelea kuwepo.
Kutokana na takwimu za Wazee zilizopatikana kutokana na Sensa ya mwaka 2012, Zanzibar ilianza kutekeleza Sera ya Wazee kwa kuanza kuwalipa pensheni Wazee wote wa umri uliopendekezwa bila kujali ujana wao walifanya nini wala walikuwa na cheo gani. Walianza kulipwa kila mmoja Sh. 20,000 kwa mwezi mpaka leo wako mwaka wa nne wakilipwa Sh. 60,000 kwa mwezi si pesa nyingi lakini zinawasaidia sana kupata mahitaji muhimu ya kila siku.
Huku bara hasa Awamu hii inayodai kuwa inawasaidia wanyonge ukweli hizo ni propaganda tu za kisiasa na nyingi ya Wizara, Idara, Taasisi za Serikali na Mashirika ya Umma havinufaishi wananchi bali vipo kuwapa ajira watu fulanifulani hasa wanasiasa. Hilo ni kundi moja tu lililosahaulika lakini liko la watoto wa mitaani, walemavu na wengine.
9. Kuhusu wizi wa kura, CCM kitu wanachama wake wamejifunza na kubobea katika miaka mingi ya kuongoza nchi hii na Chaguzi za kila miaka 5 ni wizi wa kura mpaka umefanya Watanzania tujulikane ndani ya nchi na nje kwa sifa ya kuwa wezi na wavivu ndo maana hatuajiriki hapa nchini hata nje. Sote wengi wetu tulikuwa wanachama wa CCM zama hizo kila tulikokwenda duniani tuliheshimika kwa kuwa waaminifu na wachapa kazi siyo leo hata maneno ya "Hapa Kazi Tu" hayana maana yoyote hata kisayansi. Tatizo au ugumu qa kuthibiti wizi wa kura ni kwamba unafanywa na syndicate iliyoandaliwa na wabobezi na kwa malipo kwa watekelezaji au kwa ahadi au kwa vitisho vya kupoteza walivyonavyo (ajira kwa mfano).
Kwa hiyo namna ya kulinda kura ni kuwa na Mawakala mahili wasiyonunulika tumeona wabunge wananunuliwa na wakala anathamani kubwa zaidi na day kunaweza kuwa kubwa pia. Pili wapiga kura washauriwe kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa Chama mbadala ili hata zikiibiwa nyingi namna gani zinazobaki bado zilete ushindi maana kufuatana na Katiba yetu ushindi unapatikana kwa simple majority.
 
Nimeangalia na kusikiliza kampeni za magu huko iringa, wakuu kusema ukweli magu hayupo vizuri huwenda anamatatizo na kina polepole na wanaomzunguka aidha wanaogopa kumweleza ukweli au nao ndio wale wanataka mabadiliko lkn wanajua kuwa kenge hasikii mpaka atoke damu masikioni.

Kwanza anaeleza eti katika kipindi chake ametengeneza ajira milioni sita sasa wkt natega sikio kupata ufafanuzi kujua hizo ajira, mungu wng nilitamani amalize haraka akapumzike huyu Mzee.

Mara akaanza oooh, vibarua wanaojenga kwenye bara bara ni ajira, mamantilie wanaopika ubwabwa ni ajira mara wanaofyeka Nyasi barabarani eti sio ajira ile , wauza ulanzi wa iringa pia ni ajira nikasa loooh, mungu amsaidie huyu mgombea

Najua ccm wangi wanajua mtumbwi unaenda kuzama na wengi wanaona heri upinzani kuliko magu
 
Kuna watu mna kiu ya kunywa damu?. Unazungumzia bloodbath gani kwa Tanzania ambayo siku zote ni kisiwa cha amani.
Rais Magufuli ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu ameahidi uchaguzi Mkuu utakuwa free and fair, hizi kauli za bloodbath za nini?.
P
Soma Kitabu amekiacha mzee Mkapa wewe mtia nia wakushindwa....jinsi nchi ya amani watu waliuwa kama kuku Zenje...kama kuna watu wana thirst ya kunywa damu ni wewe na kikundi chenu....mekunywa blood ya Alphoce,Sanane,mukalamba na damu ya Lissu sasa hamoni aibu.Kwanza wewe hakuna kitu ambacho najilaumu mimi binafsi prior kukuheshimu kama very prolific journalist kumbe ulikua nauchu na tamaa ya madaraka ili upige ambush ubunge kirahisi tuu..asante mashetani wenzio kukupiga kibuti.your green brains isn't for journalism nor politics.

WA JUMBE SIO WATU WAZURI !!!!!
 
Vitu vitakavyompa ushindi Lissu ni matatizo yafuatayo:
1. Vyuma kukaza.
2. Ukosefu wa ajira.
3. Kodi kubwa.
4. Bei ya bidhaa kama sukari.
5. Maji
6. Watu wasiojulikana
7. Dhuruma


Oktoba 28 kura zote kwa Lissu.
 
Wewe siyo machinga wala mama Ntilie wala mwanachama wa CCM maana nafikiri hata darasa la 7 ulifika maana ulichoandika hapa kinasomeka na hiyo hesabu ya malipo ya ushuru kwa siku umepatia lakini nani amekuteua kuwa msemaji wa hao wajasiliamali? Kama vatambulisho vinafaida na vinasaidia kwa nini vitungiwe Sheria au viwe lazima kuwa navyo au kwa nini wafanyakazi wa Serikali watumbuliwe kwa kushindwa kuuza vitambulisho walivyopangiwa au kwa nini visiwe na jina na picha ya mnunuaji au kwa nini malipo ya Sh. 20,000 hayakatiwi Risiti? Ukinunua kitu dai Risiti, ukiuza kitu toa Risiti, Magufuli.
 
Lissu anachangamsha genge tu ! Uzuri ni kwamba baada ya 28 oct mtapoteana sana humu!.
Embu jaribu basi kuwa kama great thinker utetee hoja yako, yaani katika hayo maswala aliyoyaongelea lissu inamaana kwako pia ni changamsha genge, embu jaribu basi kuwajibia wenzako hizo hoja ambazo mpaka leo zimeshindwa kujibiwa, labda wewe ndio utakuwa jibu la yote hayo na utarudisha imani kwa ccm yako
 
Ikulu ? Labda ya Ikungi
 
Ikulu gani atakayoingia, ile inayojengwa na Magufuli pale Chamwino ambayoyeye anaona ni manedelo ya vitu au ile ikulu ya mtaa wa Ufipa?
 
Hayo ya shu
 
 
Jambo hili naomba leo niliseme kwa mara ya pili kwa faida ya Taifa letu na hasa Watanzania wanaoishi maisha ya kawaida(wenye vipato vya chini na kati) na ambao ndio wengi katika nchi yetu na ambao ndio waathirika wakubwa wa sheria hizi kandamizi.

Ni hivi ndugu zangu, wakati huu wa kampeni,ni muhimu kuwakumbusha Watanzania mifano ya sheria kandamizi zilizopitishwa na wabunge wa CCM kwa mtindo wao wa kusema "ndioooo" bila kujali madhara ya sheria wanazopitisha mradi tu wafanye kile serikali ya chama chao inachokitaka.

Nasema hivi kwasababu, kuna hatari ya watu kusahau mwenendo wa wabunge wa CCM wawapo Bungeni na wakadanganyika na umaarufu wa baadhi ya majina ya wagombea ubunge wa CCM wakati watu hawa wakiwa Bungeni, huwa hawana tofauti na wenzao linapokuja swala la kupitisha sheria zinazoletwa na serikali ya chama chao Bungeni.

Hoja yangu hapa ni kuwa, mbunge wa CCM hata awe ni tajiri au maarufu kiasi gani, huwa hawana ubavu wa kupinga miswaada inayoletwa na serikali ya chama chao Bungeni, bali hushiriki kuipitisha kwa style ya kusema ndioooo!

Hivyo, namuomba Tundu Lissu atumie mifano ya sheria kandamizi zilizopitishwa na wabunge wa CCM kama vile sheria ya kuongeza makato ya Bodi ya Mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15, Sheria ya Fao la Kujitoa, sheria ya Kikokotoo iliyowekwa pending mpaka mwakani(2021) kujenga hoja za kuwashawishi wananchi wawakatae wabunge wa CCM kwani ndio wanaopitisha sheria hizi zinazoumiza wananchi.

Kwa mfano, Lissu anaweza pia kutumia mfano wa Sheria ya Mafuta na Gesi iliyopitishwa kwa hati ya dharura mwaka 2015 kama sikosei wakati wa Bunge la Mama Makinda, kujenga hoja kwa wananchi kwanini wasiwachague wagombea ubunge wa CCM atapokuwa katika kampeni zake mikoa ya kusini.

Si Lissu tu, hata wagombea ubunge wote wa vyama vya upinzani watumie mifano ya sheria hizi kandamizi kujenga hoja na kuwashawishi wananchi wawakate wagombea ubunge wa CCM kote nchini kwani ndio wanatuponza kwa kupitisha hizi sheria kandamizi.

Tunapomuhusisha Magufuli na sheria hizi, tusiache kuwahusisha na wagombea ubunge wa CCM kwani ndio humuwezesha kupitisha sheria za aina hii Bungeni.
 
Molemo tunaomba hoja hii ufikishe kwa Lissu na kwenye chama kwa ujumla ili iwe ni agenda kwenye mikutano ya kampeni ya wagombea wa CHADEMA kama lilivyo swala la kutoongeza mishahara ya wafanyakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…