FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,548
Another bunch of scumbag[emoji45]Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini
Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad...