Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini

Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad...
Another bunch of scumbag[emoji45]
 
Tatizo lipo hapo! Ukiona kwanza kwamba, mkopo ulikusaidia, kupata elimu, na urejeshaji wako utasaidia wengine kupata elimu. Ukaona ni kero, na ukatambua dawa ya kuondokana na hiyo kero ni kulipa, itakujengea discipline. Ukiwa na nidhamu siyo tu kwamba itakusaidia kulipa deni, itakusaidia kujiendeleza kimaisha, kuwekeza na kadhalika! Ila hiyo mentalit ya kuwepa majukumu, utakufa masikini, na utaacha urithi huo huo duniani!
Sawa nimekuelewa kaka.
 
Chama pendwa kilipofikia!
Egmtp-WWoAE_XGt.jpg
 
Bawacha hebu teambieni Lissu akifuta vitambulisho vya wamachinga atakuja na mfumo gani? Mnataka kusema kuwa wamChinga hawatolipa chochote? Hahahaha

Hakuna mmachinga anaweza kumpa kura Lissu kwa kufuta vitambulisho vyao.....kuvifuta ni kutaka wanyanyasike kama zamani ....yani sasa hivi wanavyo tamba kwenye nchi yao leo uwashawishi eti kufuta vitambulisho halafu ? Hii haiwezi kukubaliwa na machinga yeyote yule hahaha
Tatizo nadhani dhana ya machinga haieleweki hata kwa serikali yenyewe.

Kwa kifupi machinga ni kama walivyo vifaranga miongoni mwa kuku, yaani unawalea ili kwa baadae wawe kuku uweze kunufaika nao kwa mayai/nyama.

Kwa hiyo machinga ni mfanyabiashara mdogo ambaye analelewa miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa ili naye akue na baada ya muda fulani awe mfanyabiashara alipe kodi, aajiri nk.

Kwa maana hiyo utaona huyu hapaswi kulipa hizo kodi, kwa kufanya hivyo ni sawa na kumtagisha/kumchinja kifaranga ili upate mayai/nyama wakati ungemlea baadae ungepata nyama/mayai/vifaranga vingine.

Tofauti na wanavyofanywa sasa kuwa machinga ni destination yao, ingepaswa kuwa ni kipindi cha mpito kuelekea kuwa mfanyabiashara ili alipe kodi na pia kutengeneza ajira kwa wengine.

Unamkuta mtu ni machinga miaka 10+, hakui wala haongezi tija na ndio maana wanakuwa wengi na kugeuka kero.
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka...
Mdogo mdogo watamuelewa yaani anazungumzia uhalisia kupanga ni kuchagua Mungu atupe Uhai Neema chini ya Lisu yaja
 
Very true! Utasikia wengine wakisema tumewekewa flyovers, mradi uliowashinda previous presidaas! Mara kaikemea corona so hana mpibzani, etc. Elimu ya uraia inahitajika vibaya sn .
Kwa kweli investment pekee bora kwa taifa hili ni hii elimu ya magumashi ya vyeti... Ikiwa axed atleast twaweza jongea kivulini
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Naam wamwongezee muda
 
Mikakati ya kufanya haya ni hipi? Hata mimi haya naweza kuahidi!

Yani watu wapewe mkopo halafu wasirejeshe hahahaha
Kama huna ajira ama source yoyote ya income utarejeshaje kwa mfano? Mpaka leo mmeshindwa kutuambia hilo ongezeko lilikuwa la kazi gani na bado hakuna equivalent kwenye upatikanaji wa mikopo yenyewe.... Pili unaongelea utekelezaji? Unachekesha kweli[emoji1787][emoji1787] ile midege na bado mnaahidi mingine mmetupa hata kurasa moja ya utekelezaji?
 
Kweli kabisa. Watanzania wanataka mazingira bora ili wachape kazi kwa moyo mmoja. Siyo unachafuka chalk,kuandaa materials mwisho wa mwezi unaishia laki nne tena mfululizo miaka mitano hata mia haijapanda.
Ulaya siku ya mapumziko ya kazi Mzungu anakasirika mbongo sasa mapumziko siku moja ataongeza mbili anaumwa
 
Back
Top Bottom