Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Nitahakikisha sipati ajira ili nisilipe mkopo.
Kwa hili nakupinga mkuu! Sikubali hii riba kubwa, 15% ambayo itabidi aliye pewa alipe, ni mzigo mzito kwa Mtu anaye anza maisha.
Lakini ni vizuri kuitumia hiyo pressure siyo tu kulenga kulipa mkopo, lakini pia kujiendeleza.

Ukijua unafukuzwa na simba, utaongeza mwendo! Inawezekana simba asikukute, lakini pia anaweza kukusaidia kufika mapema!! Kwa hiyo At Calvary, kubali kulipa huo mkopo, iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri, lakini utumie kama pressure ya kujiendeleza kiuchumi na discipline ya matumizi! (Nje ya mada lakini somo la muhimu!)
 
Kwa hili nakupinga mkuu! Sikubali hii riba kubwa, 15% ambayo itabidi aliye pewa alipe, ni mzigo mzito kwa Mtu anaye anza maisha.
Lakini ni vizuri kuitumia hiyo pressure siyo tu kulenga kulipa mkopo, lakini pia kujiendeleza. Ukijua unafukuzwa na simba, utaongeza mwendo! Inawezekana simba asikukute, lakini pia anaweza kukusaidia kufika mapema!! Kwa hiyo At Calvary, kubali kulipa huo mkopo, iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri, lakini utumie kama pressure ya kujiendeleza kiuchumi na discipline ya matumizi! (Nje ya mada lakini somo la muhimu!)
Kama Lissu atapita kwenye uraisi

Siwezi kulipa.
 
LISU LEO UMEFURAHISHA WALIOWENGI, HONGERA SANA

Na, Robert Heriel

Siku ya Leo imeisha vizuri kwa waliowengi, hasa walioisikiliza Hotuba fupi ya Tundu Lisu. Ilikuwa Hotuba iliyobeba matumaini makubwa sana kwa kila mwenye akili.

Lisu amezungumzia mambo makuu yafuatayo;

1. Katiba Mpya
2. Maslahi ya Wafanyakazi
3. Elimu, kubadilisha falsafa katika elimu yetu..
Asante sana kwa uchambuzi mzuri natumaini Lissu na CDM watafanyia kazi ushauri huu. Watanzania tunahitaji kufunguka akili zetu na kulinda vyama vya upinzani kwani ni muhimu sana katika kubalance mambo la sivyo tutatawaliwa kimabavu.
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.

- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao.
Big point here Baba.

In General leo sasa umeongea kama Rais.

Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.
Wale waliongeliwa wamerejeshwa au ameona aibu
 
Kabisa Ni aibu Basi tuombe Mbowe awakilishe sera na ilani ya Chadema Kama mwenyekiti taifa huyu mgombea wake hataki kuiwakilisha kwa wananchi .Tunaomba Mbowe fanya hiyo kazi tafadhali
Mnamuogopa jamaaa hahahaaaa.

Yule ni injini kubwa! Ili mumshinde lazima mjipange au vinginevyo mtumie risasi!
 
Kwa bajeti ipi?
Hahahaaaaa. Mbona mnasemaga hii nchi ni tajiri!! Leo unauliza bajeti ipi!

Ukweli ni kuwa, zaidi ya asilimia 50 ya kodi inatumika kuwalisha mafisadi ya ccm.

Huo ufisadi utakatwa. Mkatafute mashamba ya kulima!
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu...
Kumbe uko vzr mkuu, ubarikiwe sana!
 
Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.

Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
Acha kuuliza maswali ya kitoto... Kwa miaka mitano hii awamu imeboost vipi suala la ajira? Mfano mwepesi ni walimu wa sanaa kwa miaka mitano wapo bench... Kwa taarifa zako ni awamu pekee ambayo hata sekta binafsi zimeshindwa kuajiri kwa level nzuri.
 
Back
Top Bottom