Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Ilani ya chama ndio Mkataba Kati ya mpiga kura na mgombea ,Hashim Rungwe na Lisu tupeni ilani za vyama vyenu sio porojo

Hashim Rungwe amekuwa akizunguka na sufuria za wali na kuongea vitu visivyo kwenye Ilani ya chama chake pia Lisu naye amekuwa akipiga porojo

Tunaomba ilani zenu za vyama
 
Jamani Lissu hajui maana ya sera.Anadhani sera ni yale ambayo hayakufanywa na chama tawala.CHADEM A ndiyo mnadidimia hivyo.
 
Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako.

1: Maendeleo ya watu
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compensation watafidiwa

2: Atakuza uchumi na shughuli za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka utitiri wa kodi 15 hadi 1 tu, ambayo ni 10%ya bidhaa ulizoagiza.

3. Kitambulisho cha machinga kutolewa bure

4: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko - ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara.

5. Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.

6. Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati

4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika

Bado anatema cheche.
AMEELEZA MAMBO AMBAYO SISI WAFANYAKAZI TUNATENDEWA NA SERIKALI YA CCM
 
Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako.

1: Maendeleo ya watu
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compensation watafidiwa

2: Atakuza uchumi na shughuli za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka utitiri wa kodi 15 hadi 1 tu, ambayo ni 10%ya bidhaa ulizoagiza.

3. Kitambulisho cha machinga kutolewa bure

4: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko - ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara.

5. Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.

6. Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati

4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika

Bado anatema cheche.
Hiki ndicho ambacho umma wa Watanzania walikihitaji kukisikia. Haya ndiyo makosa makubwa ambayo chama tawala kimewatendea wapigakura, kiasi kwamba hawana tena na imani tena na uharamia wa CCM kwa miaka mingine mitano ijayo.
 
Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini

Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad

Chadema mlazimisheni anadi sera na ilani za Chadema zilizopitishwa na chama aache kutunga vitu hewani

Aheshimu maamuzi ya Chadema asijitungie vyake msipomlazimisha hatajali Ni very arrogant .Sasa sera na ilani mlipitisha za Nini Kama mgombea Uraisi hazinadi? Mlipitisha Kama pambo au?

Lisu anaongea Kama mgombea binafsi Sio wa chama.Mgombea wa chama lazima anadi ilani na sera za chama Sio ndoto zake !!!

Lisu Leo Tena kashindwa kuwasilisha sera na ilani ya Chadema siku ya pili ya uzinduzi

Huyu hakujiandaa kwa Uraisi kupitia chama yupo yupo tu
AMEONGEA MAOVU YA SERIKALI YA CCM
 
Lissu asisahau kuonyesha mapungufu ya utawala wa sasa na kuwakumbusha wananchi maumivu yao.

Lazima ayaseme mapungufu ya Magufuli, wasiotaka ayaseme hao wanataka kumfichia aibu mgombea wao!

Lissu, mwaga sera lakini kosoa pia, usimuache Magufuli aende hivihivi na makandokando yake!

Piga spana kwelikweli
 
Hazimo kwenye sera na ilani ya Chadema nitapendaje vitu vya mtu kujitungia .Vingekuwa ndani ya sera na ilani Sina shida ninachokataa kwa nguvu zote Lisu aache kujitungia vitu vyake hewani anadi sera na ilani ya Chadema
Ilani ya chadema inasemaje?
 
Masikini Mataga leo mmekua wapooole kama kuku wenye mdondo [emoji1787][emoji1787][emoji2]

Bawacha hebu teambieni Lissu akifuta vitambulisho vya wamachinga atakuja na mfumo gani? Mnataka kusema kuwa wamChinga hawatolipa chochote? Hahahaha

Hakuna mmachinga anaweza kumpa kura Lissu kwa kufuta vitambulisho vyao.....kuvifuta ni kutaka wanyanyasike kama zamani ....yani sasa hivi wanavyo tamba kwenye nchi yao leo uwashawishi eti kufuta vitambulisho halafu ? Hii haiwezi kukubaliwa na machinga yeyote yule hahaha
 
Bawacha hebu teambieni Lissu akifuta vitambulisho vya wamachinga atakuja na mfumo gani? Mnataka kusema kuwa wamChinga hawatolipa chochote? Hahahaha

Hakuna mmachinga anaweza kumpa kura Lissu kwa kufuta vitambulisho vyao, kuvifuta ni kutaka wanyanyasike kama zamani, yani sasa hivi wanavyo tamba kwenye nchi yao leo uwashawishi eti kufuta vitambulisho halafu? Hii haiwezi kukubaliwa na machinga yeyote yule hahaha
Sasa wamachinga walipe kodi ya nini? Watauza bure tu.
 
Kwel we n zumbukuku
tayar ameshakua potrayed as someone anaetaka kuuza nchi na ukiskiliza hotuba zake hua anakazia sana mahusiano na nchi zingine, watanzania ni watu ambao ni social na wajamaa, ni tafaut na nchi zingine! ukisema swala la kuweka watu kutoka nje tz tayar ni doa kwa sababu ya ule ujamaa tulionao, so he is already out of the game na sidhan kama watu watamwelewa tena kwa jinsi anavokua potrayed jumlisha na ule mkasa wa madini, inshort he is already out of the game mda mrefu

ukiangalia spunda na lissu, utaona kabisa hata ile mada ya kusema ataleta ubwabwa inaonekana ina mashiko zaidi ya kelele za lissu, ameshaharibu mchezo na ni mda muafaka wa kusema bye kwa chadema
 
Membe anakuja na sera za kuwafirisi wanaccm wote waliojirundikia mali hata kama waliandika majina house boy watafukua mpaka wajue, pia atazirejesha nyumba zote za Serikali zilizouzwa, atafanya uchunguzi kwenye miradi yote mikubwa ikiwemo ununuzi wa Ndege, SGR, bwawa la umeme nk.
Hapo hata yeye Membe mwenyewe atajikamata.
 
Back
Top Bottom