tayar ameshakua potrayed as someone anaetaka kuuza nchi na ukiskiliza hotuba zake hua anakazia sana mahusiano na nchi zingine, watanzania ni watu ambao ni social na wajamaa, ni tafaut na nchi zingine! ukisema swala la kuweka watu kutoka nje tz tayar ni doa kwa sababu ya ule ujamaa tulionao, so he is already out of the game na sidhan kama watu watamwelewa tena kwa jinsi anavokua potrayed jumlisha na ule mkasa wa madini, inshort he is already out of the game mda mrefu
ukiangalia spunda na lissu, utaona kabisa hata ile mada ya kusema ataleta ubwabwa inaonekana ina mashiko zaidi ya kelele za lissu, ameshaharibu mchezo na ni mda muafaka wa kusema bye kwa chadema