Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Kwa bajeti itakayopitishwa na Bunge

Hivi Magufuli hela anayotapanya kwenye ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, na kusafirisha twiga toka Serengeti kupeleka Chato, bajeti yake huwa inatoka wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu hiyo pesa ataipata wapi? Magufuli anakusanya Kodi.

Lissu anadanganya eti ataangalia jinsi ya kuwalipa fidia waliofukuzwa kwa vyeti feki,nilitegemea mwanasheria angesema atawapeleka mahakamani kwa kupokea mishahara haramu na kughushi.
 
Bars bara Mnapita Umeme mnatumia Maji kibwena amani telee unataka hela mfukoni Fanya kaziiii ufaidike ukiwa kitandani unachati.
Ndugu kuwa mkweli mm ni mtumishi barabara napita ila nilipo maji ya shida, najitahidi kufanya kazi kweli kweli ili weledi uonekani lakini malipo ni kidogo anayo nilipa, sasa je ni vizuri nifanye kazi kwa uafanisi mdogo ili nikimbie kuona kama nitaingiza miambili kama unavyosema?
 
Ivi Unafikiri Steve Nyerere Angekuwa Mgombea Wa CHADEMA akaandikia kuyaongea Haya Nageshindwa Hahaha Tunachotaka sisi Atuambia Strategy ambazo atatumia kutimiza hayo Maana Hakuna Alichotumbia Atakifanya Kwa mfumi UPI kasema tu Bima ya Afya kwa kila Mtanzania how hamna plan Mnaongea Tu inatakiwa Mtushawish mtanya nini Tofauti na Magufuri mnayoyaongea ni cheap politics

2015 Magufuli hakuwa anafafanua chochote zaidi ya kupiga pushup na kusema, serikali ya Magufuli itakuwa ya hapa kazi tu. Kisha akawa anakazia akiwa rais kuna watu watalimia meno. Lisu weka mashambulizi hapo ccm wanaanza kupaki basi. Ufafanuzi utauona akiwa ikulu fullstop.
 
BAAAB kubwa ilikuwa ni FAO LA KUJITOA

TUndu Lisu atarudisha Fao la kujitoa kwa wafanyakazi woute wa Sekta binafsi na Umma...Hureee....

Sekta binafsi ina wafanyakazi wengi sana, wameumizwa sana na kukosa FAO LA KUJITOA. Kura zote KWa LISUU

Hata Mafao ya uzee wanazungusha wee miezi 3 mpaka 6
 
Hakuna hata kimoja alichoongea ambacho Kiko kwenye ilani ya Chadema iliyopitishwa na chama anaongea vitu vya kutunga kichwani kwake

Mgombea Uraisi anatakiwa kuwakilisha ilani ya chama chake sio vitu vya kujitungia

Nendeni muone Magufuli alivyowakiwasha ilani ya CCM Leo kwenye uzinduzi

Chadema huu mtindo wenu wa wagombea kujitungia vitu watakavyofanya bila kutumia ilani tumewachoka
Magufuli alitunga sera yake ya kugawa milioni 50 kila kijiji akakwama badala yake akajenga uwanja wa kimataifa Chato.
 
Kapangili nini zaidi ya Kutaja bila kufafanua ni jinsi gani Atawakwamua Watanzania anahisi wako kwenye dimbi la umaskini

Onyesha popote Magufuli alipofafanua uchaguzi wa 2015 mpaka akatangazwa mshindi na tume isiyo huru ya uchaguzi. Unataka afafanue ili ccm muibe mbinu mjifanye ndio mmetekeleza.
 
Sera nzuri bt Lissu alizingua kwenye sakata la madini, miaka yote unapga kelele tunaibiwa then jambo linashughulikiwa unarudi kutetea upande wa wezi.
 
Naona mnaanza kubaki basi taratibu. Ngoja mashambulizi yazidi kushika kasi lazima mtapoteana. Halafu inatakiwa apate masaa mawili kwenye TV ahojiwe na kujibu maswali kwa ufasaha. Huko kwenye mjadala kwenye TV tunajua Magufuli hatathubutu.
Hiyo ni sheria au kanuni namba ngapi ya Uchaguzi?
 
BAAAB kubwa ilikuwa ni FAO LA KUJITOA

TUndu Lisu atarudisha Fao la kujitoa kwa wafanyakazi woute wa Sekta binafsi na Umma...Hureee....

Sekta binafsi ina wafanyakazi wengi sana, wameumizwa sana na kukosa FAO LA KUJITOA. Kura zote KWa LISUU

Hata Mafao ya uzee wanazungusha wee miezi 3 mpaka 6
 
Yote aliyoongea hakuna hata moja lililoko ndani ya sera na ilani ya Chadema huyu Lisu hajui hata kuwa mgombea Uraisi maana yake nini

Waandishi wa habari ombeni sera na ilani ya Chadema mlinganishe na anavyoongea Lisu . Lisu anaongea vitu anavyoota hewani kinachomjia hewani ndicho anasema nitafanya!!! Very sad

Chadema mlazimisheni anadi sera na ilani za Chadema zilizopitishwa na chama aache kutunga vitu hewani

Aheshimu maamuzi ya Chadema asijitungie vyake msipomlazimisha hatajali Ni very arrogant .Sasa sera na ilani mlipitisha za Nini Kama mgombea Uraisi hazinadi? Mlipitisha Kama pambo au?

Lisu anaongea Kama mgombea binafsi Sio wa chama.Mgombea wa chama lazima anadi ilani na sera za chama Sio ndoto zake !!!

Lisu Leo Tena kashindwa kuwasilisha sera na ilani ya Chadema siku ya pili ya uzinduzi

Huyu hakujiandaa kwa Uraisi kupitia chama yupo yupo tu
🤣🤣🤣 mataga mmeanza kuhara damu.

Ehee leo Chuchu sijui Zuchu kasemaje hapo kwenye mkutano wenu?
 
Back
Top Bottom