Lissu hiyo pesa ataipata wapi? Magufuli anakusanya Kodi.Kwa bajeti itakayopitishwa na Bunge
Hivi Magufuli hela anayotapanya kwenye ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja wa ndege Chato, na kusafirisha twiga toka Serengeti kupeleka Chato, bajeti yake huwa inatoka wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu anadanganya eti ataangalia jinsi ya kuwalipa fidia waliofukuzwa kwa vyeti feki,nilitegemea mwanasheria angesema atawapeleka mahakamani kwa kupokea mishahara haramu na kughushi.