Ivi Unafikiri Steve Nyerere Angekuwa Mgombea Wa CHADEMA akaandikia kuyaongea Haya Nageshindwa Hahaha Tunachotaka sisi Atuambia Strategy ambazo atatumia kutimiza hayo Maana Hakuna Alichotumbia Atakifanya Kwa mfumi UPI kasema tu Bima ya Afya kwa kila Mtanzania how hamna plan Mnaongea Tu inatakiwa Mtushawish mtanya nini Tofauti na Magufuri mnayoyaongea ni cheap politics
Inawezekana ni mzito wa kuelewa, amesema atapunguza kodi ambazo kwa kiasi kikubwa zinachangia kuua biashara pamoja na viwanda na akatoa mfano kuwa Uganda haina bandari lakini watanzania wanakwenda kununua bidhaa huko badala ya uganda kuja kununua Tanzania hivyo atapunguza kodi ili kukuza viwanda na biashara ya ndani pamoja na biashara ya nje kutokana na economy of scale.
Pia amesisitiza uchumi wa sekta binasi badala ya state economy ambayo ilifeli wakati wa Nyerere sasa tunarudi huko ndiyo maana maisha yamekuwa magumu hii awamu ya tano sababu ya kudhoofisha sekta binafsi ambayo ndiyo engine ya kuleta maendeleo katika nchi yoyote, hivyo pesa zitatokana na sekta binasfi ambayo itapewa kipaumbele kwa kuwepo na mfumo rafiki wa kodi.