Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Comrade acha unaa ...hizo ni sera za CHADEMA nasi tuna sera zetu tu ingawa atusemi tutazifanyaje..mfano milioni 50 kila kijiji.Ivi Unafikiri Steve Nyerere Angekuwa Mgombea Wa CHADEMA akaandikia kuyaongea Haya Nageshindwa Hahaha Tunachotaka sisi Atuambia Strategy ambazo atatumia kutimiza hayo Maana Hakuna Alichotumbia Atakifanya Kwa mfumi UPI kasema tu Bima ya Afya kwa kila Mtanzania how hamna plan Mnaongea Tu inatakiwa Mtushawish mtanya nini Tofauti na Magufuri mnayoyaongea ni cheap politics