YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Hakuna hata kimoja alichoongea ambacho Kiko kwenye ilani ya Chadema iliyopitishwa na chama anaongea vitu vya kutunga kichwani kwakeKwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako.
1: Maendeleo ya watu
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compensation watafidiwa
2: Atakuza uchumi na shughuli za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka utitiri wa kodi 1 hadi 1 tu, ambayo ni 10%ya bidhaa ulizoagiza.
3. Kitambulisho cha machinga kutolewa bure
4: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko - ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara.
5. Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.
6. Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati
4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika
Bado anatema cheche.
Mgombea Uraisi anatakiwa kuwakilisha ilani ya chama chake sio vitu vya kujitungia
Nendeni muone Magufuli alivyowakiwasha ilani ya CCM Leo kwenye uzinduzi
Chadema huu mtindo wenu wa wagombea kujitungia vitu watakavyofanya bila kutumia ilani tumewachoka