Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili nakupinga mkuu! Sikubali hii riba kubwa, 15% ambayo itabidi aliye pewa alipe, ni mzigo mzito kwa Mtu anaye anza maisha.Nitahakikisha sipati ajira ili nisilipe mkopo.
Kama Lissu atapita kwenye uraisiKwa hili nakupinga mkuu! Sikubali hii riba kubwa, 15% ambayo itabidi aliye pewa alipe, ni mzigo mzito kwa Mtu anaye anza maisha.
Lakini ni vizuri kuitumia hiyo pressure siyo tu kulenga kulipa mkopo, lakini pia kujiendeleza. Ukijua unafukuzwa na simba, utaongeza mwendo! Inawezekana simba asikukute, lakini pia anaweza kukusaidia kufika mapema!! Kwa hiyo At Calvary, kubali kulipa huo mkopo, iwe kwa kuajiriwa au kujiajiri, lakini utumie kama pressure ya kujiendeleza kiuchumi na discipline ya matumizi! (Nje ya mada lakini somo la muhimu!)
Yuko busu dom wiki hii kauza sana mzutii,yani hali yake sioElitwege atapinga haya
Asante sana kwa uchambuzi mzuri natumaini Lissu na CDM watafanyia kazi ushauri huu. Watanzania tunahitaji kufunguka akili zetu na kulinda vyama vya upinzani kwani ni muhimu sana katika kubalance mambo la sivyo tutatawaliwa kimabavu.LISU LEO UMEFURAHISHA WALIOWENGI, HONGERA SANA
Na, Robert Heriel
Siku ya Leo imeisha vizuri kwa waliowengi, hasa walioisikiliza Hotuba fupi ya Tundu Lisu. Ilikuwa Hotuba iliyobeba matumaini makubwa sana kwa kila mwenye akili.
Lisu amezungumzia mambo makuu yafuatayo;
1. Katiba Mpya
2. Maslahi ya Wafanyakazi
3. Elimu, kubadilisha falsafa katika elimu yetu..
Wale waliongeliwa wamerejeshwa au ameona aibuLissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.
- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao. Big point here Baba.
In General leo sasa umeongea kama Rais.
Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.
Mnamuogopa jamaaa hahahaaaa.Kabisa Ni aibu Basi tuombe Mbowe awakilishe sera na ilani ya Chadema Kama mwenyekiti taifa huyu mgombea wake hataki kuiwakilisha kwa wananchi .Tunaomba Mbowe fanya hiyo kazi tafadhali
Kaongea utumbo tu,ataongeza ndege kutimiza ufisadi wakeUpande wa pili kaongea Nini huko
Leo umeandika dhahabu. Verified user huwa in waoga!Karibu sana
Hahahaaaaa. Mbona mnasemaga hii nchi ni tajiri!! Leo unauliza bajeti ipi!Kwa bajeti ipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa hajielewi kabisa yupo yupo tu hajui hata nchi inataka nini.Nasikia magufuli kipaumbele chake tena ni ndege
Kumbe uko vzr mkuu, ubarikiwe sana!Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.
- Bima ya afya kwa Watanzania wote.
- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.
- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu...
Acha kuuliza maswali ya kitoto... Kwa miaka mitano hii awamu imeboost vipi suala la ajira? Mfano mwepesi ni walimu wa sanaa kwa miaka mitano wapo bench... Kwa taarifa zako ni awamu pekee ambayo hata sekta binafsi zimeshindwa kuajiri kwa level nzuri.Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.
Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
Fanya calculation: watu laki tano na kila mtu anategemewa na watu si chini ya watano waliojiandikisha kupiga kura. Hizo ni kura zaidi ya milioni mbili unusu.Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.
Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?