Another bunch of scumbag[emoji45]
 
Sawa nimekuelewa kaka.
 
Una likes 113 hadi sasa kweli Lissu anakubalika
 
Tatizo nadhani dhana ya machinga haieleweki hata kwa serikali yenyewe.

Kwa kifupi machinga ni kama walivyo vifaranga miongoni mwa kuku, yaani unawalea ili kwa baadae wawe kuku uweze kunufaika nao kwa mayai/nyama.

Kwa hiyo machinga ni mfanyabiashara mdogo ambaye analelewa miongoni mwa wafanyabiashara wakubwa ili naye akue na baada ya muda fulani awe mfanyabiashara alipe kodi, aajiri nk.

Kwa maana hiyo utaona huyu hapaswi kulipa hizo kodi, kwa kufanya hivyo ni sawa na kumtagisha/kumchinja kifaranga ili upate mayai/nyama wakati ungemlea baadae ungepata nyama/mayai/vifaranga vingine.

Tofauti na wanavyofanywa sasa kuwa machinga ni destination yao, ingepaswa kuwa ni kipindi cha mpito kuelekea kuwa mfanyabiashara ili alipe kodi na pia kutengeneza ajira kwa wengine.

Unamkuta mtu ni machinga miaka 10+, hakui wala haongezi tija na ndio maana wanakuwa wengi na kugeuka kero.
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka...
Mdogo mdogo watamuelewa yaani anazungumzia uhalisia kupanga ni kuchagua Mungu atupe Uhai Neema chini ya Lisu yaja
 
Very true! Utasikia wengine wakisema tumewekewa flyovers, mradi uliowashinda previous presidaas! Mara kaikemea corona so hana mpibzani, etc. Elimu ya uraia inahitajika vibaya sn .
Kwa kweli investment pekee bora kwa taifa hili ni hii elimu ya magumashi ya vyeti... Ikiwa axed atleast twaweza jongea kivulini
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Naam wamwongezee muda
 
Mikakati ya kufanya haya ni hipi? Hata mimi haya naweza kuahidi!

Yani watu wapewe mkopo halafu wasirejeshe hahahaha
Kama huna ajira ama source yoyote ya income utarejeshaje kwa mfano? Mpaka leo mmeshindwa kutuambia hilo ongezeko lilikuwa la kazi gani na bado hakuna equivalent kwenye upatikanaji wa mikopo yenyewe.... Pili unaongelea utekelezaji? Unachekesha kweli[emoji1787][emoji1787] ile midege na bado mnaahidi mingine mmetupa hata kurasa moja ya utekelezaji?
 
Kweli kabisa. Watanzania wanataka mazingira bora ili wachape kazi kwa moyo mmoja. Siyo unachafuka chalk,kuandaa materials mwisho wa mwezi unaishia laki nne tena mfululizo miaka mitano hata mia haijapanda.
Ulaya siku ya mapumziko ya kazi Mzungu anakasirika mbongo sasa mapumziko siku moja ataongeza mbili anaumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…