Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Tutasomesha wengine kwa kodi zetu na sio kwa kulipa deni la mkopo. Kama ambavyo wao walisomeshwa na hawalipi mkopo, iweje sisi ndio tulipe?
Nyakati hubadilika. Kipindi wao wanasoma walikuwa wachache vyuo vilikuwa viwili tu.
 
Tulipata maumivu wakati wa wakoloni, Nyerere nk, ni maendeleo gani tumeyapata, mbona bado sisi ni masikini sana?
So Hakuna Tofauti Tangu waloni Walipoondoka mpka Leo Akiiingia Tundu Lissu ndio ataleta Utajiri VIJANA WAKITANZANI EBU JIONGEZENI BASI ACHENI KUWA NA AKILI TEGEMEZI WANAWAKE WANAVUA NA KUUZA DAGAA MPKA WANAJENGA WANAUZA MATUNDA WANAUZA MAMA NTILIE WANAPATA MAENDELEO ILA VIJANA MNASUBILI SERIKALI IWATAFUTIE AJILA HOPELESS HUMAN BEING
 
Nyakati hubadilika. Kipindi wao wanasoma walikuwa wachache vyuo vilikuwa viwili tu.
Na resources zilikuwa chache, walisomeshwa kwa pamba, kahawa, katani, tumbaku na almasi kidogo. Leo ilipaswa hali iwe bora zaidi kiliko hapo mwanzo. Kwa sasa hawana sababu yoyote ya kutulipisha deni la elimu.
 
Lissu niseme wazi leo umegusa maisha ya Watanzania walio wengi.

- Bima ya afya kwa Watanzania wote.

- Hakuna tena kuibia wafanyabiashara maskini kwa kuwatoa elfu ishirini kila mwaka.

- Hakuna tena kukatwa asilimia 15 kisa mkopo. Tutakatwa asilimia tatu tu.

- Elimu ya maarifa, kubadili kabisa falsafa ya Elimu. Elimu ya kutatua matatizo ya maisha yao. Big point here Baba.

In General leo sasa umeongea kama Rais.

Viva Lissu, Viva Tanzania yenye Uhuru, haki na maendeleo ya watu.

====
Safi sana ,JIKONO JANDAMA yeye anazidi kutoa ahadi ya kununua midege mingine wakati zilizoppo zote hizipigi mzigo na zinatia hasara sana.
 
Hizo ni hesabu hewa.

Hapo unaingelea watu 5 wanaojitambua kwamba wamekaa tu wanamtegemea mtu 1 awaletee chakula?
Huku kwetu kuna mtu (mtumishi wa serikali) ana wake watatu, na hawara wanne. Ana watoto jumla kumi na sita. Kati ya hao watoto, watoto kumi wameshafikisha umri wa kupiga kura na wamejiandikisha kupiga kura, na ni watii kufuata maelekezo ya baba yao. Hao wake na hawara ni watii kwa mume/bwana wao. Hizo ni kura tupu mkuu!
 
Kwahiyo watapiga kura kwakufuata maelekezo ya baba?

Hao watoto ni mataahira na hao wanawake?
 
Sio mataahira. Wanaambiwa huu ugumu wa maisha mnaouona umesababishwa na kutokupandishwa kwa mshahara miaka mitano, kwa vyovyote vile wataamini. Hata hivyo jamii yetu tunayoishi imefundishwa kuwasikiliza na kuwatii wazazi/waume.

Matahira ni wale wanaopakizwa kwenye malori kama mifugo ili kupelekwa kwenye mikutano. Wasingekuwa ni mataahira wangepakizwa japo kwenye mabasi angalau, ...
 
Ukitaka kujua ugumu wa maisha rejea mwaka 2015 mwezi wa kumi bei za vitu muhimu katika maisha yako ya kila siku kisha weka mshahara wa wakati huo kisha rejea mwaka huu 2020 niambie mshahara ule ule ila gharama za maisha vimepanda je upo tayari kumchagua kuendelea na magu ama kumbadili?
Jiwe atoke tu
 
Amani iwe nanyi wadau!

kama nilivyosema hapo juu mwaka 2015 sikumpigia kura Lowassa kwa sababu kadhaa ikiwemo kuwa sikuamini kama yeye ndo mtu sahihi anayebeba maono ya Tanzania. Nilimuona kama opportunist aliyekosa nafasi CCM basi akaenda chadema ili atimize ndoto zake. Miaka 5 sasa nimejilidhisha kuwa Lowasa niliyegoma kumpa kura 2015 yupo vilevile kama nilivyomuona mwaka ule. Sasa amerudi CCM na anakula meza moja na CCM.

Mwaka huu 2020 nimejilidhisha vya kutosha, na bila shaka yeyote nasema rasmi nitampa kura yangu Tundu Lissu na nitawaelimisha watanzania wengine wampe kura zao Tundu Lissu. Sababu zangu za kumpa kura Tundu Lissu mwaka huu ni hizi

1. Tanzania inahitaji Katiba Mpya haraka iwekezanavyo. Na sioni Magufuli kama anaweza kutupa iyo katiba mpya ambayo ni ya wananchi.

Kwenye hili Ni kweli kuwa katika miaka 5 ya serikali ya Awamu ya Tano ndo kipindi ambacho nimeona umuhimu wa katiba mpya. Katiba inayopunguza nguvu za Raisi na kuweka Uhuru wa Mahakama, Bunge na vyombo vingine .
Mambo nikiyoyaona kwenye Awamu hii hasa bunge kutunga sheria za hovyo, Mahakama kushindwa kusimamia wajibu wake wa kulinda haki za wananchi huku watu wakionewa mchana kweupe na taasisi mbalimbali vikiwemo vyombo vya Habari kinyanyaswa vibaya sana ni dhahili kuwa Ni sasa na si vinginevyo, Tanzania tunaitaji katiba Mpya. Na kwa sababu Magufuli hawezi kutupa katiba mpya ya wananchi basi lazima nimchague Tundu Lissu.

2. Mfumo wa Tanzania wa Elimu kuhitaji mabadiriko ya haraka ili kulinusuru Taifa.

Wandugu, tuseme tu ukweli , Elimu ya Tanzania ni ya hovyo kupindukia. Ni elimu inayohimiza mtu kuwa na uwezo wa kukariri huku akiwa hawezi kudeliver kwenye kazi. Ni elimu iliyopitwa na wakati ambayo haimuandai mtu kuweza kushindana kwenye soko la ajira sio ndani ya nchi Bali hata nje ya nchi. Nimeshihudia hata kwenye makampuni yetu makubwa ya ndani yanayofanya vizuri, wakuu wa haya makampuni hata kama amesoma tanzania basi huwa wengi wamesoma vyuo ya nje au shule la nje. Huu ni uthibitisho tosha kuwa elimu yetu iko sehemu mbaya sana.

Ni mara chache sana kukuta Mtanzania Ameshika nafasi kubwa nchi za wenzetu( na hao wachache huwa wanechanganya elimu ya nje ya Tanzania pia) lakini ni mara nyingi watu wa nje unawakuta kwenye nafasi kubwa katika makampuni ya ndani yanayofanya vizuri.
Kwa sababu hii nakubaliana na Lissu kuwa mfumo wetu wa elimu lazima ubadilishwe, hivyo nitamchagua Lissu mwaka huu!!

3. CCM imetengeneza madaraja makubwa katika raia na kuwafanya wengi wa watanzania kuona kama umaskini ni haki yao.

Katika suala la uchumi, napenda kukiri kuwa CCM haijafanya kazi kubwa katika kuwatengeneza watanzania kiuchumi. Na kuwa fanya watanzania kuwa aggresive kwenye kutengeneza maisha bora kwa ajili yao na vizazi vyao.

Kati ya nchi nilizotembea ni Tanzania tu ambayo nimeona watu wanaridhika kukaa mazingira ya hovyo na hawana namna ya kufanya. Mtu anaridhika kukaa kwenye eneo chafu ambalo halihapimwa na anaona hiyo ndo stahili yake. Leo hii Kuna maneno Kama wakishua, ushuani, uswahilini kwa sababu CCM imetengeneza madaraja na mbaya zaidi kuwafanya wananchi kuridhika na madaraja hayo na kuwa proud kuwa kwenye mfumo huo wa madaraja ya kiuchumi. Watu hadi wamefungwa akili na kufanywa mtu ndoto yake kubwa iwe kununua gari!! Tumekuwa na nchi hadi wahubiri wanahuburi watu kununua magari ndo ionekane kama maendeleo makubwa mtu anaweza kufanya, huku akiwa anakaa kwenye eneo chafu ambalo halijapimwa wala kupangiliwa vizuri!!

4. Chadema na Lissu kuja na Sera ya kukuza uchumi kwa kutegemea sekta Binafsi.
Napenda kusema wazi katika tafiti nikizofanya maeneo mbalimbali , sijaona nchi wala taifa lililopiga hatua kubwa kimaendeleo bila sekta binafsi kuchukua sehemu kubwa kwenye uchumi. Na hili ndo lilifanya hata China, nchi tunaowaiga kila siku kupiga hatua kubwa kimaendeleo.

Hapa Tanzania serikali ya Awamu ya Tano tunaona inarudisha nyuma sana sekta binafsi, sasaivi Tunaona kandarasi za ujenzi wakipewa majeshi, shughuli za kufanywa na sekta binafsi zikifanywa na serikali Mf biashara ya kuuza mafuta.

Hili Ni bomu ambalo hatujui ukubwa wake utakuwaje. Duniani pore, sekta binafsi ndo walipa kodi wakubwa, ndo waajiri wakubwa. Hakuna namna vijana wetu wote wataajiliwa serikalini kwa sababu kamwe serikali haijawai na haitowai kuwa na huo uwezo. Hivyo kwa sababu Chadema wamekuja na Sera ya kuendesha Uchumi wa nchi kwa kutegemea sekta binafsi, hivyo nasema wazi, kura yangu mwaka huu nampa Tundu Lissu.

5. Haki ya Mlipa Kodi!!
Baada ya magufuli kuingia madarakani na TRA kuanza kuwabana wafanyabiashara, niliwai kutana na mfanyabiashara ambayo aliniambia, vyovyote vile Tanzania itakuwa nchi ya wachuuzi na sio wafanyabiashara.

Na huu ndo ukweli niliouona. Ndani ya miaka 5 biashara nyingi zimefungwa kutokana na ubabe na uonevu wa Tra. Wengi wameona bora watumie wamachinga na kuwapa bidhaa wakapange barabarani. Hili limefanya taifa kama taifa kukosa kodi kwa kiwango kikubwa. Hii ni kwa sababu mchuuzi halipi kodi. Ila mfanyabiashara Mwenye TIN no na sehemu rasmi ya kufanyia biashara ni lazima atalipa kodi.

Kwenye hili Lissu amesema atakuja na haki ya mlipakodi. Kusema kweli kwa hili lazima nimchague Lissu!!!

Napenda kumaliza kwa kusema, Lissu amenishawishi, na nitampa kura yangu na kumuombea awe raisi wa Tanzania 2020- 2025
 
Amani iwe nanyi wadau!

kama nilivyosema hapo juu mwaka 2015 sikumpigia kura Lowassa kwa sababu kadhaa ikiwemo kuwa sikuamini kama yeye ndo mtu sahihi anayebeba maono ya Tanzania. Nilimuona kama opportunist aliyekosa nafasi CCM basi akaenda chadema ili atimize ndoto zake. Miaka 5 sasa nimejilidhisha kuwa Lowasa niliyegoma kumpa kura 2015 yupo vilevile kama nilivyomuona mwaka ule. Sasa amerudi CCM na anakula meza moja na CCM.

Mwaka huu 2020 nimejilidhisha vya kutosha, na bila shaka yeyote nasema rasmi nitampa kura yangu Tundu Lissu na nitawaelimisha watanzania wengine wampe kura zao Tundu Lissu. Sababu zangu za kumpa kura Tundu Lissu mwaka huu ni hizi

1. Tanzania inahitaji Katiba Mpya haraka iwekezanavyo. Na sioni Magufuli kama anaweza kutupa iyo kati a mpya ambayo ni ya wananchi.

Kwenye hili Ni kweli kuwa katika miaka 5 ya serikali ya Awamu ya Tano ndo kipindi ambacho nimeona umuhimu wa katiba mpya. Katiba inayopunguza nguvu za Raisi na kuweka Uhuru wa Mahakama, Bunge na vyombo vingine .
Mambo nikiyoyaona kwenye Awamu hii hasa bunge kutunga sheria za hovyo, Mahakama kushindwa kusimamia wajibu wake wa kulinda haki za wananchi huku watu wakionewa mchana kweupe na taasisi mbalimbali vikiwemo vyombo vya Habari kinyanyaswa vibaya sana ni dhahili kuwa Ni sasa na si vinginevyo, Tanzania tunaitaji katiba Mpya. Na kwa sababu Magufuli hawezi kutupa katiba mpya ya wananchi basi lazima nimchague Tundu Lissu.

2. Mfumo wa Tanzania wa Elimu kuhitaji mabadiriko ya haraka ili kulinusuru Taifa.

Wandugu, tuseme tu ukweli , Elimu ya Tanzania ni ya hovyo kupindukia. Ni elimu inayohimiza mtu kuwa na uwezo wa kukariri huku akiwa hawezi kudeliver kwenye kazi. Ni elimu iliyopitwa na wakati ambayo haimuandai mtu kuweza kushindana kwenye soko la ajira sio ndani ya nchi Bali hata nje ya nchi. Nimeshihudia hata kwenye makampuni yetu makubwa ya ndani yanayofanya vizuri, wakuu wa haya makampuni hata kama amesoma tanzania basi huwa wengi wamesoma vyuo ya nje au shule la nje. Huu ni uthibitisho tosha kuwa elimu yetu iko sehemu mbaya sana.

Ni mara Chacha sana kukuta Mtanzania Ameshika nafasi kubwa nchi za wenzetu( na hao wachache huwa wanechanganya elimu ya nje ya Tanzania pia) lakini ni mara nyingi watu wa nje unawakuta kwenye nafasi kubwa katika makampuni ya ndani yanayofanya vizuri.
Kwa sababu hii nakubaliana na Lissu kuwa mfumo wetu wa elimu lazima ubadilishwe, hivyo nitamchagua Lissu mwaka huu!!

3. CCM imetengeneza madaraja makubwa katika raia na kuwafanya wengi wa watanzania kuona kama umaskini ni haki yao.

Katika suala la uchumi, napenda kukiri kuwa CCM haijafanya kazi kubwa katika kuwatengeneza watanzania kiuchumi. Na kuwa fanya watanzania kuwa aggresive kwenye kutengeneza maisha bora kwa ajili yao na vizazi vyao.

Kati ya nchi nilizotembea ni Tanzania tu ambayo nimeona watu wanaridhika kukaa mazingira ya hovyo na hawana namna ya kufanya. Mtu anaridhika kukaa kwenye eneo chafu ambalo halihapimwa na anaona hiyo ndo stahili yake. Leo hii Kuna maneno Kama wakishua, ushuani, uswahilini kwa sababu CCM imetengeneza madaraja na mbaya zaidi kuwafanya wananchi kuridhika na madaraja hayo na kuwa proud kuwa kwenye mfumo huo wa madaraja ya kiuchumi. Watu hadi wamefungwa akili na kufanywa mtu ndoto yake kubwa iwe kununua gari!! Tumekuwa na nchi hadi wahubiri wanahuburi watu kununua magari ndo ionekane kama maendeleo makubwa mtu anaweza kufanya huku akiwa anakaa kwenye eneo chafu ambalo halijapimwa wala kupangiliwa vizuri!!

Screenshot_20200831-175206.jpg
 
Mbona sasa kama unajichanganya mwenyewe? Aliyemleta Lowasa chadema ni huyo huyo Tundu Lisu ambaye wewe leo hii unaona anafaa kuliko Lowasa, isitoshe Lowasa alileta kura zaidi ya milioni 6 chadema record haijawahi kufikiwa na Upinzani Tanzania pamoja na Wabunge wengi na madiwani, Lowasa aliisimamisha Dar, Tundu Lisu &Co. wameshindwa na hawatakiwi Dar, hata leo hii bado chadema inatembelea na kujivunia mchango wa Lowasa, ...
 
Amani iwe nanyi wadau!

kama nilivyosema hapo juu mwaka 2015 sikumpigia kura Lowassa kwa sababu kadhaa ikiwemo kuwa sikuamini kama yeye ndo mtu sahihi anayebeba maono ya Tanzania. Nilimuona kama opportunist aliyekosa nafasi CCM basi akaenda chadema ili atimize ndoto zake. Miaka 5 sasa nimejilidhisha kuwa Lowasa niliyegoma kumpa kura 2015 yupo vilevile kama nilivyomuona mwaka ule. Sasa amerudi CCM na anakula meza moja na CCM.

Mwaka huu 2020 nimejilidhisha vya kutosha, na bila shaka yeyote nasema rasmi nitampa kura yangu Tundu Lissu na nitawaelimisha watanzania wengine wampe kura zao Tundu Lissu. Sababu zangu za kumpa kura Tundu Lissu mwaka huu ni hizi

1. Tanzania inahitaji Katiba Mpya haraka iwekezanavyo. Na sioni Magufuli kama anaweza kutupa iyo katiba mpya ambayo ni ya wananchi.

Kwenye hili Ni kweli kuwa katika miaka 5 ya serikali ya Awamu ya Tano ndo kipindi ambacho nimeona umuhimu wa katiba mpya. Katiba inayopunguza nguvu za Raisi na kuweka Uhuru wa Mahakama, Bunge na vyombo vingine .
Mambo nikiyoyaona kwenye Awamu hii hasa bunge kutunga sheria za hovyo, Mahakama kushindwa kusimamia wajibu wake wa kulinda haki za wananchi huku watu wakionewa mchana kweupe na taasisi mbalimbali vikiwemo vyombo vya Habari kinyanyaswa vibaya sana ni dhahili kuwa Ni sasa na si vinginevyo, Tanzania tunaitaji katiba Mpya. Na kwa sababu Magufuli hawezi kutupa katiba mpya ya wananchi basi lazima nimchague Tundu Lissu.

2. Mfumo wa Tanzania wa Elimu kuhitaji mabadiriko ya haraka ili kulinusuru Taifa.

Wandugu, tuseme tu ukweli , Elimu ya Tanzania ni ya hovyo kupindukia. Ni elimu inayohimiza mtu kuwa na uwezo wa kukariri huku akiwa hawezi kudeliver kwenye kazi. Ni elimu iliyopitwa na wakati ambayo haimuandai mtu kuweza kushindana kwenye soko la ajira sio ndani ya nchi Bali hata nje ya nchi. Nimeshihudia hata kwenye makampuni yetu makubwa ya ndani yanayofanya vizuri, wakuu wa haya makampuni hata kama amesoma tanzania basi huwa wengi wamesoma vyuo ya nje au shule la nje. Huu ni uthibitisho tosha kuwa elimu yetu iko sehemu mbaya sana.

Ni mara Chacha sana kukuta Mtanzania Ameshika nafasi kubwa nchi za wenzetu( na hao wachache huwa wanechanganya elimu ya nje ya Tanzania pia) lakini ni mara nyingi watu wa nje unawakuta kwenye nafasi kubwa katika makampuni ya ndani yanayofanya vizuri.
Kwa sababu hii nakubaliana na Lissu kuwa mfumo wetu wa elimu lazima ubadilishwe, hivyo nitamchagua Lissu mwaka huu!!

3. CCM imetengeneza madaraja makubwa katika raia na kuwafanya wengi wa watanzania kuona kama umaskini ni haki yao.

Katika suala la uchumi, napenda kukiri kuwa CCM haijafanya kazi kubwa katika kuwatengeneza watanzania kiuchumi. Na kuwa fanya watanzania kuwa aggresive kwenye kutengeneza maisha bora kwa ajili yao na vizazi vyao.

Kati ya nchi nilizotembea ni Tanzania tu ambayo nimeona watu wanaridhika kukaa mazingira ya hovyo na hawana namna ya kufanya. Mtu anaridhika kukaa kwenye eneo chafu ambalo halihapimwa na anaona hiyo ndo stahili yake. Leo hii Kuna maneno Kama wakishua, ushuani, uswahilini kwa sababu CCM imetengeneza madaraja na mbaya zaidi kuwafanya wananchi kuridhika na madaraja hayo na kuwa proud kuwa kwenye mfumo huo wa madaraja ya kiuchumi. Watu hadi wamefungwa akili na kufanywa mtu ndoto yake kubwa iwe kununua gari!! Tumekuwa na nchi hadi wahubiri wanahuburi watu kununua magari ndo ionekane kama maendeleo makubwa mtu anaweza kufanya huku akiwa anakaa kwenye eneo chafu ambalo halijapimwa wala kupangiliwa vizuri!!

4. Chadema na Lissu kuja na Sera ya kukuza uchumi kwa kutegemea sekta Binafsi.
Napenda kusema wazi katika tafiti nikizofanya maeneo mbalimbali , sijaona nchi wala taifa lililopiga hatua kubwa kimaendeleo bila sekta binafsi kuchukua sehemu kubwa kwenye uchumi. Na hili ndo lilifanya hata China, nchi tunaowaiga kila siku kupiga hatua kubwa kimaendeleo.

Hapa Tanzania serikali ya Awamu ya Tano tunaona inarudisha nyuma sana sekta binafsi, sasaivi Tunaona kandarasi za ujenzi wakipewa majeshi, shughuli za kufanywa na sekta binafsi zikifanywa na serikali Mf biashara ya kuuza mafuta.
Hili Ni bomu ambalo hatujui ukubwa wake utakuwaje. Duniani pore, sekta binafsi ndo walipa kodi wakubwa, ndo waajiri wakubwa. Hakuna namna vijana wetu wote wataajiliwa serikalini kwa sababu kamwe serikali haijawai na haitowai kuwa na huo uwezo. Hivyo kwa sababu Chadema wamekuja na Sera ya kuendesha Uchumi wa nchi kwa kutegemea sekta binafsi, hivyo nasema wazi, kura yangu mwaka huu nampa Tundu Lissu.

5. Haki ya Mlipa Kodi!!
Baada ya magufuli kuingia madarakani na TRA kuanza kuwabana wafanyabiashara, niliwai kutana na mfanyabiashara ambayo aliniambia, vyovyote vile Tanzania itakuwa nchi ya wachuuzi na sio wafanyabiashara.

Na huu ndo ukweli niliouona. Ndani ya miaka 5 biashara nyingi zimefungwa kutokana na ubabe na uonevu wa Tra. Wengi wameona bora watumie wamachinga na kuwapa bidhaa wakapange barabarani. Hili limefanya taifa kama taifa kukosa kodi kwa kiwango kikubwa. Hii ni kwa sababu mchuuzi halipi kodi. Ila mfanyabiashara Mwenye TIN no na sehemu rasmi ya kufanyia biashara ni lazima atalipa kodi.

Kwenye hili Lissu amesema atakuja na haki ya mlipakodi. Kusema kweli kwa hili lazima nimchague Lissu!!!

Napenda kumaliza kwa kusema, Lissu amenishawishi, na nitampa kura yangu na kumuombea awe raisi wa Tanzania 2020- 2025

"Ukhanithi sasa basi" Maalim Seif.
 
Back
Top Bottom