Kazi kweli kweli.
Atokee Mwanasiasa Wa Chama Chochote Kwenye Hii Mikutano Ya Kampeni,Asimame Jukwaani Kisha Aseme

WANANCHI WOTE MLIOKO HAPA UWANJANI, HEBU KILA MMOJA WENU ATOE SHILINGI ELFU 5 TU AIONYESHE JUU!

Kuna Uwezekano Wakawa Nayo Wachache Mno!

Hicho Ni Kipimo Tosha Cha Hali Zetu Ngumu

Anatokea mjinga mmoja anatumbia serikali ya awamu ya 5 imeimarisha hali za maisha ya watu
 
Magufuli anatosha, hizi zingine mbwembwe tu
Mmh! Ndugu unajua kwamba Kuna ndugu zetu -
wamefilisiwa kwa hila?
wamefungwa kwa uonevu?
wametekwa na hawajulikani waliko?
wameuawa wakawekwa kwenye viroba?
wamepigwa risasi kikatili?
n.k
Unamtaka wa nn huyu john?
 
Hizi Sera ndio za kumwondolea Mtanzania umaskini na kumpa haki zake za kiraia sio kuongea Mindege wakati iliyopo inaleta hasara tu,huku wafanyakazi,wafanyabisahara na wakulima wakiteseka
 

Wengi wa hao wanaojifanya kutokuelewa usidhani kuwa hawaelewi bali ni wachumia tumbo tu.

Waonavyoona ngoma inachanganya wao wanaona buku 7 hizo zinayoyoma.

Wasitupe taabu buku 7 mkuu. Wasuke au wanyoe, cha msingi ni kuwa "their days are numbered."

Tunahitaji kwa wastani kura 500,000 tu kwa kila mkoa kuwatia adabu vilivyo, majahili hawa. "This is achievable."
 
Hizi ndizo nondo ambazo Watanzania wanataka kuzisikia. Zinagusa maisha ya mtu mmoja mmoja na wala siyo upendeleo wa kimkoa, kikanda ama kikada. Ni sera angavu ambazo zinatuunganisha kama taifa moja lenye misingi imara.

Hatutaki tena kuona sera za sumu zenye kumomonyoa misingi ya utaifa wetu kutoka watawala wa sasa mufilisi wa kimaono na kifikra, watawala wa kiimla ambao wemetupa majeraha mioyoni mwetu kama taifa, maovu mabaya sana ambayo hajawahi kutokea ktk historia ya nchi yetu.

Walijaribu kuficha maouvu yao mengi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, kupitia sheria na kanuni nyingi zenye hila ovu ndani yake. Lkn sasa uovu wao upo hadharani.
 
Lissu aliyoyaongea hapo ambayo umeyaorodhesha, tukikadiria kwa base ya kura (ushawishi wa kupigiwa kura) utaona Lissu ataambulia kura chache sana!
Mfano: Ni wangapi watampa kura Lissu kwa sababu ya 14 - uhuru wa vyombo vya habari! Je hili ni issue inayoweza kumpa Lissu kura ngapi kitaifa.
Ukichambua vipengele vyote utaona Lissu analenga umati mdogo na huo hawezi kuupata kwa 100%! In summary - Lissu bado anaokoteza kura tu. Mikopo ya wanafunzi - akipata zaidi ni wanafunzi wachache kama 40%
 
Hayo lissu hawezi kuyazungumzia. Lissu zake ni tutakinukisha, patachimbika, sasa basi, tutaingia barabarani.
Sera nzuri na zinazo tekelezeka zipo ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…