SHIDA ZETU ZA WATZ. NI ZIKO NJE NJE HAZIHITAJI MKALIMANI AU MUELEZEAJI WA SHIDA ZIKO WAZIWAZI KAMA VILE FUNZA WA KUMTOA TENA KWA KIDOLE HAINA HAJA YA KUTUMIA HATA PINI
 
Magufuli mzee wa miundombinu
Lissu mzee wa hadithi za vifo
Rungwe mzee wa ubwabwa
 
Jinga wewe..ILANI YA CHAMA, HUJAISOMA????
 
Wananchi tunataka kujua uchunguzi juu ya asassination attempt ya LISU umefikia waaapi , cyo kutupa habari za flyover na SGR Utadhani watanzania wote tunaishi Dar.
 
Hivi lisu bado anaongelea habari za kupigwa risasi???????????????????????
 
Huoni alioyafanya mhe Magufuli!!? ama basi tu akili zimegeuka kama za ngolombwe
Nimeyaona.....
Amejenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato.
Amebeba wanyama toka Serengeti na kuanzisha hifadhi Chato.
Ameuwa watu Sana.
Ameteka watu Sana.
Amejeruhi watu kwa risasi Sana.
Amepora watu fedha zao Sana.

Kwa uchache haya ndiyo naweza kukutajia aliyoyafanya.
 
Kuna watu hawajui hata kampeni ni kitu gani! Huyu mtu kila anachoaambiwa yeye anaitikia risasi 16. Sijui anadhani wapiga kura wanahitaji sana kujua juu ya hizo risasi? Kichwa kibovu hakikuwahi kujifunza lolote nje ya sheria. Akiulizwa uchumi yeye anasema sheria. totally lost service!
 
Ahadi kama hizo zinatofauti gani na ubwabwa wa Hashim Rungwe? au ile ahadi ya kuleta maji ya bahari Dodoma? Just alike rubbish.
 
jamaa anawavuruga mpaka mmechanganyikiwa
 
jamaa anawavuruga mpaka mmechanganyikiwa
Huwa ninafurahia ninapowavuruga wengine, lakini sishangilii binadamu mwenzagu kuwavuruga wengine. Najiamini uwezo wangu badala ya kumpogeza mwingine. Msaidieni apate akili.
 
Muulize hayo maswali anaesema kazi ya urais ni ngumu sana ila bado yuko ikulu,anakula n kulala bure
 


Kama hujui asilimia 70% ya Watanzania wanapenda kumjuwa MHUSIKA MKUU WA SHAMBULIO LA RISASI KWA (TAL) RAIS MTARAJIWA.

SABABU ZA KUTAKA KUMJUWA NI AKIMALIZA KWETU ANAKUJA KWENU.
 
CCM haina mvuto kwakweli bila wasanii mtu utafuta kitu gani?
Babu ushindi unatafutwa kwa mbinu na sio Mazoea Tu endeleeni kusema Wasaniiii Diamond ana followers zaid 20m nchi nzima kuna watu watampigia KURA kisa Diamond ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…