Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Kweli ww ni zygot... hujakua.... huelewi... wewe ni mbwimbwisa.... empty head... bure kabisa kwa kuwa umeamua kujitoa ufahamu..... ukitaka yote hayo endelea kumfuatilia kwenye mikutani yako then uje tena kujaza seva za max...
Nawe tofautisha zygot na zygote! Mi nilishaiona, wewe je?
 
Mkuu unadanganya kana kwamba sekondari ulisoma peke yako duh..huwezi fananisha uwezo was lissu na magu kamwe. Lissu yuko vizuri sana
Kwani wewe ulisoma nini? niambie. MMi nawajua wote waliosoma wanachokiita 'art' ni kwa sababu moja tu, sayansi iligoma.
 
Msidokoe dokoe maneno kama kunguni. Kama serikali ya Lissu ikiamua kuruhusu baadhi ya mapori tengefu wakulima /wafugaji kulisha mifugo yao kuna dhambi?
Tuna mapori tengefu lukuki
 
Wewe utapata Jimbo kweli au unaondoka na upepo wa Lissu

Amesema wakati wa ukame wafugaji wataruhusiwa kwenda kuchunga kwenye hifadhi.

Kwani Kuna dhambi gani? Kama Ni uharibifu wa mazingira je ujenzi wa bwawa uliokata miti million 1 sio uhalibifu wa mazingira?
 
Ndugu zangu,

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Lissu hadi anaendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka.View attachment 1556855
Mbona Ngorongoro wanafanya shughuli za ufugaji kwenye hifadhi cha ajabu nini hapo? Kama ng'ombe anakula majani, twiga anakula majani tena shida iko wapi? Tena wakikutana wanyama wengi wa porini na wa kufugwa ni marafiki.
 
Yaan ukisha kuwa mshabiki wa serikali hii ya mgombea uwaziri wa malaika mbinguni, Basi hata kichwa chako kinatumia makamasi kufikiri badara ya ubongo.

Yaan leo hii una shangaa lisu kusema ataweka utaratibu wa kuchungia kwenye hifadhi hasa wakati wa ukame. Ila unamuamini jiwe anaye sema ataigeuza TZ kuwa kama ulaya ndani ya miaka mitano kitu ambacho hakiwezekani hata miaka 1000 ijayo.

Dah wafuasi wa ccm hasa hawamu hii mmejaa upumbavu tena upumbavu wa kiwango cha juu.
 
Hifadhi ya wanyama wa kufugwa wa nyumbani kama ngombe mbuzi kondoo bata nk. Wakihifadhiwa kwenye malisho maalumu ni Lunch ana hifadhi kwa kiswahili.

Kwahiyo lissu anahamasisha ufugaji wa ng'ombe kwa njia ya Lunch, ufugaji wa kisasa.

Usikarili.
Ndugu zangu,

Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Lissu hadi anaendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka.View attachment 1556855
[/QUOTE
 
Hifadhi ya wanyama wa kufugwa wa nyumbani kama ngombe mbuzi kondoo bata nk. Wakihifadhiwa kwenye malisho maalumu ni Lunch ana hifadhi kwa kiswahili.

Kwahiyo lissu anahamasisha ufugaji wa ng'ombe kwa njia ya Lunch, ufugaji wa kisasa.

Usikarili.
Umemsikiliza mgombea kwamba anaongelea ranch au unamlisha maneno.

Mgombea anazungumzia kipindi cha ukame wafugaji watakua wanaruhusiwa kuchungia mifugo yao kwenye hifadhi ili mifugo isife kwa njaa wewe unazungumzia ranch.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hifadhi ya wanyama wa kufugwa wa nyumbani kama ngombe mbuzi kondoo bata nk. Wakihifadhiwa kwenye malisho maalumu ni Lunch ana hifadhi kwa kiswahili.

Kwahiyo lissu anahamasisha ufugaji wa ng'ombe kwa njia ya Lunch, ufugaji wa kisasa.......

Usikarili.
Lunch=×
Runch=✓
 
Nimeskia akiuliza kwamba, Jeshi la Akiba ni nini?? Kiukweli nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]. Yani unataka upewe uamiri jeshi mkuu huku hujui maana ya majeshi yko!!!
 
Hifadhi ya wanyama wa kufugwa wa nyumbani kama ngombe mbuzi kondoo bata nk. Wakihifadhiwa kwenye malisho maalumu ni Lunch ana hifadhi kwa kiswahili.

Kwahiyo lissu anahamasisha ufugaji wa ng'ombe kwa njia ya Lunch, ufugaji wa kisasa.......

Usikarili.
Lunch! Lunch! Lunch kweli?

Member
Join date Aug 31
 
Back
Top Bottom