Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Ilani ya CHADEMA imelenga service delivery

Ilani ya ACT imelenga economic growth

Ilani ya CCM imelenga infrastructures

Tatizo lenu vichwa vyenu mmejaza mavi ndiyo maana mnahoji hata vitu obvious tu
Nafikiri chako kimejaa utoko!

Ustawi wa biashara bila miundombinu/usafirishaji umewahi kuuona wapi?
 
Nafikiri chako kimejaa utoko!

Ustawi wa biashara bila miundombinu/usafirishaji umewahi kuuona wapi?
Kuna sehemu nimesema ustawi wa biashara?

Kichwa chako kimejaza mavi tu ndiyo maana hujaelewa hata nilichokiandika
 
Kuna sehemu nimesema ustawi wa biashara?

Kichwa chako kimejaza mavi tu ndiyo maana hujaelewa hata nilichokiandika
Wewe ni mpumbavu tu.

Rudi kasome tena comment yangu ya awali uliyokurupuka kui-quote.

Rubbish.
 
Naomba sasa hicho kiherehere cha kukimbilia kuni-quote ujinga kwenye kila thread kiishie hapa.
Ungekuwa unamaanisha usingeniquote.

Kifupi you have no balls kusimamia unachokiamini
 
Kwa mara nyingine, namshauri Lissu atoe ahadi ya kurudisha Bunge Live katika mikutano yake ya kampeni.

Hili jambo linagusa Wananchi wengi ila sijui kwanini wapinzani hawalipi uzito.

Mlio karibu na Lissu mshaurini kuhusu jambo hili kwani litamuongezea kura za ushindi.

NB: Bila kushinda, huwezi pata uhalali wa kudai kutangazwa mshindi na ukishinda kwa kura nyingi, unajiweka katika mazingira mazuri zaidi ya kuuthibitishia ulimwengu kuwa umeshinda uchaguzi.
 
Hivi bado kuna wanaopenda ahadi za uongo?😲😲😲

Kulirusha live, itabidi wabadili sheria. Kubadili sheria inahitaji majority bungeni. Sasa majority atatoa wapi hata upinzani wote ukiungana?.

Binafsi ningemshauri achukuwe topics chaache sana zinazowagusa majority ya wapiga kura, alafu aimbe hayo mambo mpaka wananchi wenyewe wachanganyikiwe.

Kuzungumzia maslahi ya wafanyakazi mbele ya hadhara ya wajasiriamali au wakulima kwa mfano, ni kupoteza muda. Pia hahitaji kutumia nguvu kupata kura za wafanyakazi, hizo anazo. Atafute jinsi ya kuwafikia wananchi wa kawaida kabisa, ambao hawako mitandaoni na hawapendi kufokewa.
 
Nyie ndo mnamtengenezea ilani kutka JF?
Kwa hiyo ilani yenu ni humu kwa hiyo haina mkataba na wanachi🤣🤣🤣🤣
 
Heshima zote ziwafikie popote mlipo,

Kwakuwa mgombea wa CCM Dkt. Magufuli amekuwa akifuatilia ahadi zako kwa Watanzania na kuzichukua na kuzifanya zake.

Nakuomba kwa heshma na taadhima tupia jicho sheria ya barabarani zinazolazimisha madereva kutembea mwendo usiozidi 50 KM. Sheria hii ya karne ya 20 ambayo bado tunaitumia mpaka leo imepitwa na wakati kwa vigezo vya technology ya magari na hata barabara za kisasa.

Magari ya zamani yakikimbizwa zaidi ya 80 KM kulisimamisha ni mtihani mkubwa sana, chukulia mfano Land Rover Series 1 80' ya mwaka 1950 wakati sheria hiyo ilipotungwa technology ilikuwa ya zamani sana.Magari ya sasa yana technology ya juu sana ABS brakes pia yana brake booster. Magari ya kisasa yana uwezo mkubwa wa kudhibiti mwendo kasi na inapotokea gari likashindwa kusimama utakuta ni uzembe wa dereva na si matatizo ya gari.

Sheria ya 50 KM imepitwa na wakati magari yaruhusiwe kutembea hadi 80km.
 
Sasa hivi ukiwa na usafiri wako ni laana kubwa, polisi wa usalama barabarani wamekuwa wamiliki wenza wa magari yote Tanzania.
 
Kila kitu Lisu sa hivi ila issue ya FAO LA KUJITOA naunga mkono hoja.
 
Ngoja Kwanza tuangalie Afya za hawa Wasanii waliopata Ajali mbaya leo zinaendeleaje, Israeli akiwataka tutafanya akiwasamehe wala hatutofanya.
 
Back
Top Bottom