Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Alishalisema hili mkutano wa Kawe akalirudia tena mkutano wa Arusha.

Alichokifanya Lissu kwenye kila kanda ameweka matatizo specific yanayoisumbua lands husika.

Leo Mtwara kakazia sana suala la gas na korosho, kanda ya Seregeti na victoria alikazia zao la pamba na uvuvi pamoja na kuligeuza jiji la Mwanza kuwa business hub ya ukanda wa maziwa makuu.
Lissu yuko very strategic and specific kama unamfatilia vyema.
 
Na hao MBUMBUMBU ndiyo matatizo makubwa sana Nchini na ndiyo wanaomvimbisha kichwa huyo asiyethamini utu wake hadi kufikia kujiita KICHAA.

Twaweza: "wanaccm walio wengi ni mbumbumbu".
Mleta mada wewe upo miongoni mwa wanaccm wachache.
 
ingawa hakuna TV inayoonyesha mikutano yake, nashangaa hadi Rais Magufuli anamjibu Lissu. Ina maana kwamba atakuwa anamuangalia Lissu kupitia YouTube, WhatsApp au Facebook.

Jalalani ni neno alilotumia Waziri Kabudi, na Lissu alimjibu Rais Magufuli kazi awape watu wake wa Jalalani, ina maana ya wakina Kabudi. Mbaya Zaidi Magufuli na timu yake wanaondolewa kwenye SGR , Stigler, Midemge na sasa ni kumjibu Lissu tu. Nadhani sasa majuto ndio mjukuu, maana tunacheza nyimbo za wapinzani.

CCM tunapata aibu kubwa sana. Agenda zetu zimeyeyuka ghafla na aibu kila kona.

Mtacheza sana . Yaani kwanza hii siku kumi zinazoisha kesho ni kama kifungua kinywa kwa lisu sasa baada ya hapo ndio wanaanza kuliamsha dude yaani.
 
Siku hizi magufuli anasikiliza lissu kaongea nini kesho yake anajibu.

Yaani meko ataita maji mma.
Hivi police unadhani hawajaumizwa na meko?
Hivi unadhani majaji hawajateswa na meko?
Hivi kwa akili yako unadhani walimu wana furaha na meko?
Alafu meko mwenyewe hajiulizi mtu kupona lisasi 16 mwilini unadhani ni jambo rahisi?
Yaani huyu mtu ni Mungu anataka kuikomboa hii tanzania [emoji1241] kuwe na total and fully freedom.
Na slogan yake haijawahi tokea .
Kwanza hana presha ya kuibiwa kura kwasababu jamaa amejiandaa kwelikweli.
 
Imefika hatua kabla ya kupanda jukwaani Mzee Pombe badala ya kupitia Ilani ya CCM anapitia video za hotuba za Lissu ndiyo anapata cha kuongea jukwaani.

Na matokeo yake ndiyo Mzee Pombe anapanda jukwaani akiwa na jazba mno maana akila akiongea anakumbuka maneno ya Lissu aliyoyaona kwenye video za mikutano ya Lissu [emoji1787]

Hatari na nusu
 
Kusema ukweli tu kampeni za CCM safari hii zinafanana kama vile mkutano wa nabii Tito yule nabii punguwani asiyeeleweka hata ni jinsia gani yaani kampeni zimepauka kampeni zimefubaa . Kampeni zinatia huruma yaani hata watafanyaje hakika maji ya shingo CCM yamewafika 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Anapiga chabo.. [emoji1][emoji1]
ingawa hakuna TV inayoonyesha mikutano yake, nashangaa hadi Rais Magufuli anamjibu Lissu. Ina maana kwamba atakuwa anamuangalia Lissu kupitia YouTube, WhatsApp au Facebook.

Jalalani ni neno alilotumia Waziri Kabudi, na Lissu alimjibu Rais Magufuli kazi awape watu wake wa Jalalani, ina maana ya wakina Kabudi. Mbaya Zaidi Magufuli na timu yake wanaondolewa kwenye SGR , Stigler, Midemge na sasa ni kumjibu Lissu tu. Nadhani sasa majuto ndio mjukuu, maana tunacheza nyimbo za wapinzani.

CCM tunapata aibu kubwa sana. Agenda zetu zimeyeyuka ghafla na aibu kila kona.
 
Kusema ukweli tu kampeni za CCM safari hii zinafanana kama vile mkutano wa nabii Tito yule nabii punguwani asiyeeleweka hata ni jinsia gani yaani kampeni zimepauka kampeni zimefubaa . Kampeni zinatia huruma yaani hata watafanyaje hakika maji ya shingo CCM yamewafika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaona leo Magufuli alivyojaza mamilion ya watu kule Mwanza.

Ccm inapendwa na vilaza wewe,
 
Back
Top Bottom