Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
CCM hawataki masoko ya usiku wanadhani watu watakwepa kodi.. umeme ukikatika!!

CCM washachoka!! Jibu ni Lissu...
 
Huwezi kumuelewa Lissu na kamwe hutamwelewa kwa sababu akili zako zimekaa kimataga na ki Lumumba!

Lissu anasema wafanyabiashara wetu wadogo lazima wafanye biashara sehemu nzuri , zilizopangwa vizuri Sawasawa na thamani ya utu wao, sio kupanga biashara chini na sehemu chafu au barabarani kama nyie CCM mnavyowafanyia.

Lissu anavyosema hivi hamaanishi tu maendeleo ya vitu anamaanisha maendeleo ya mtu, Hii ni kwa sababu mtu akifanya biashara sehemu decent hata thamani ya utu wake inakuwepo.

Mataga nawaambieni hakika kamwe hamtomweza Lissu kwa upotoshaji wenu!!
 
Maendeleo ya watu ni yale yanayomuwezesha mtu kufanya biashara ya moja kwa moja, ndege, reli na flaiova si maendeleo ya mtu moja kwa moja.
Soko ni banda linalokuwezesha kufanya biashara kivulini na sehemu salama.
Nakuchangia kidogo kwa maendeleo ya soko na ukarabati,huduma za maji ,ulinzi,umeme hata ukuaji wa uchumi kwa eneo husika
 
Nakuchangia kidogo kwa maendeleo ya soko na ukarabati,huduma za maji ,ulinzi,umeme hata ukuaji wa uchumi kwa eneo husika
Mla mla leo mla kesho kala nini! Ili ufanyekazi unahitaji chakula, bila chakula hawezi kuwa na tija, anza na wananchi wapate angalau milo miwili kwa siku kisha jenga miundombinu. Lissu anaona aanze na wananchi wapate chakula chao kila siku ndipo ajenge miundombinu.
 
Yani hujui kama watu wakifanya biashara wataongeza kipato chao?!
 
Kwakuwa hamko tayari kufuata maelekezo ya wataalamu wa mipangomiji ili kuboresha na kulinda mazingira mmelitega bomu la wamachinga na litakuja kuwalipukieni.
Mabadiliko yoyote yanatokana na ukuwaji wa uchumi na wingi wa walaji,
Huwezi mwambia machiga aende sehem ambayo watu hakuna kisha umemjenhea soko pale wakati wateja hakuna kisha mkaelewana,
Na ndo mana Magu anawambia mzaane ili muongezeke ili huduma zisambae huko.mtakakokuwa kwa wingi wenu.
 
Mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu ameahidi kujenga masoko makubwa ya kisasa jijini Mbeya yatakayokuwa yanatoa Huduma saa 24.

Ndio nauliza ujenzi huu tuutafsiri kama ni maendeleo ya Watu au ya Vitu kwa sisi wananchi wa kawaida?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Ni mind set tu Mkuu, the current masoko ama stand za mabus zinaweza kuwa sehemu ya masoko hayo...ni kuongeza usalama kwa wafanyabiashara...badala ya mapolis kushinda kukimbizana na mara taa ya kushoto mbona haiwaki watabaki wakiwajibika kwa majukumu yao sahihi...
Masoko ya usiku mfano, Mwanjelwa pale kunaweza kuwa na masoko ya usiku pia maana kuna nafasi ya kutosha kwa yeyote mwenye kuona umuhimu atafanya. Kifupi masoko ya usiku sio ya kila mtu...
 
Kwamba Ndege,barabara na reli ni maendeleo ya vitu hayafai halafu anaahidi kujenga masoko!

Hizo bidhaa za kuuza hadi usiku Mbeya zitakuwa zinafika hapo sokoni kwa miguu?
 
Imefika hatua kabla ya kupanda jukwaani Mzee Pombe badala ya kupitia Ilani ya CCM anapitia video za hotuba za Lissu ndiyo anapata cha kuongea jukwaani.

Na matokeo yake ndiyo Mzee Pombe anapanda jukwaani akiwa na jazba mno maana akila akiongea anakumbuka maneno ya Lissu aliyoyaona kwenye video za mikutano ya Lissu 🤣
 
Muziki wa Lissu THE GREATEST ni hatari tupu!

Imefika hatua kabla ya kupanda jukwaani Mzee Pombe badala ya kupitia Ilani ya CCM anapitia video za hotuba za Lissu ndiyo anapata cha kuongea jukwaani.

Na matokeo yake ndiyo Mzee Pombe anapanda jukwaani akiwa na jazba mno maana akila akiongea anakumbuka maneno ya Lissu aliyoyaona kwenye video za mikutano ya Lissu 🤣
 
Lisu apige nyundo nyingine aseme atawalipa wale wote walioondolewa kazini kisa vyeti fake
Alishalisema hili mkutano wa Kawe akalirudia tena mkutano wa Arusha.

Alichokifanya Lissu kwenye kila kanda ameweka matatizo specific yanayoisumbua lands husika.

Leo Mtwara kakazia sana suala la gas na korosho, kanda ya Seregeti na victoria alikazia zao la pamba na uvuvi pamoja na kuligeuza jiji la Mwanza kuwa business hub ya ukanda wa maziwa makuu.
 
Miye yangu macho
Screenshot_20200906-222201_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom