Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Hahahaha LUMUMBA KICHWAN NI MATOPE.

T.LISSU SIO TAJIRI , Angeendesha kampeni bila ilo ,Alijua mtasema " Anapata wapi hela??huyu anafadhiliwa na mabeberu"

Akaamua kua Muombaji msaada ili kuwapoteza maboya kama nyinyi " Mabeberu?? Mbona anaomba msaada?kwann wasimsaidie?"".

KWA LUGHA NYINGINE, KWA KUFANYA IVI, ANAENDELEA KUWAONDOLEA WANANCHI MTAZAMO MLOWAJENGEA WA ET "ANAFADHILIWA", BADALA YAKE SASA, WANANCHI WANAJIKUTA WANAENDELEA KUMUONA LISSU KAMA MTU ANAYEONEWA, KUSINGIZIWA, NDIO MAANA HATA KAMPENI WANAMCHANGIA.

Mabeberu ndio sisi wananchi Tunaochanga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sawa beberu mwenzangu, tuendelee kumchangia.
 
Kwa wazoefu wa siasa za Kitanzania tunaweza kusema kuwa watumishi wa umma kabla ya uchaguzi mkuu tarehe 28 October 2020 watakuwa washaongezewa mshahara.

Na kwasasa mamlaka ya kuongeza mshahara anayo Magufuli pekee. Akiongeza binafsi nitamshukuru ila sitampa kura yangu.

Jambo hilo nitalihesabu kama rushwa au dharau.
 
Hako kanyongeza kametolewa fungu gani, ili na sisi huku mwamanyiri tupate kujua.
 
Mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu ameahidi kujenga masoko makubwa ya kisasa jijini Mbeya yatakayokuwa yanatoa Huduma saa 24.

Ndio nauliza ujenzi huu tuutafsiri kama ni maendeleo ya Watu au ya Vitu kwa sisi wananchi wa kawaida?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Masikini mataga kwasasa wanaucheza mziki wa Lissu🤣
 
Attachments

  • tapatalk_1506009045287.jpeg
    tapatalk_1506009045287.jpeg
    36 KB · Views: 1
Mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu ameahidi kujenga masoko makubwa ya kisasa jijini Mbeya yatakayokuwa yanatoa Huduma saa 24.

Ndio nauliza ujenzi huu tuutafsiri kama ni maendeleo ya Watu au ya Vitu kwa sisi wananchi wa kawaida?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Lissu haaminiki.

Asipewe kura hata moja
 
Mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu ameahidi kujenga masoko makubwa ya kisasa jijini Mbeya yatakayokuwa yanatoa Huduma saa 24.

Ndio nauliza ujenzi huu tuutafsiri kama ni maendeleo ya Watu au ya Vitu kwa sisi wananchi wa kawaida?

Nawatakia Dominica yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
Washabi wa chadema waje waseme hapa kwamba hilo liko swa au lah?
Na kama liko sawa basi kuna haja ya kuendelea na magifuli kwa sababu CCM ISHAJEMNGA masoko ya machinga ila mengine walikataa kuingia humo kama dar?
Je yeye atawaingiza kwa nguvu?
Maana machinga anapenda kukaa sehemu anayo ona inafaa yeye kupata wateja.
 
Back
Top Bottom