Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,000
Usiku watauza nini au ni ile biashara ya utamu?Mgombea urais wa Chadema mh Tundu Lisu ameahidi kujenga masoko makubwa ya kisasa jijini Mbeya yatakayokuwa yanatoa Huduma saa 24.
Ndio nauliza ujenzi huu tuutafsiri kama ni maendeleo ya Watu au ya Vitu kwa sisi wananchi wa kawaida?
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Maendeleo hayana vyama!