Lissu ni tumaini lenye nguvu.
Tumani la wasioelewa uhalisia kuwa Magu is Untouchable in ballot Box jifurahishen kila kasema atawafundisha adabu kwa kushindwa kwa Asilina 90%
 
Nmeuliza wafanyakazi wa umaa hapa nchinu ni % ngapi?
Nadhani ni zaidi ya laki 5 kwa serikali pekee ila kwa mfumo wa maisha ya kibongo ya mjomba, shangazi, bibi, babu etc wanagusa watu wengi sana.

Ukifanya kila mfanyakazi ana network ya watu 6 tu unazungumzia watu 3m+ ni zaidi ya 5% ya watanzania wote.
 
Sasa si nitafanya ujasiriamali.

Sio ulazima wa kulipa mkopo ambao silazimishwi kulipa, ambao kulipa ni mpaka niwe na ajira.
Wakiamua kukutrace through TIN number huchomoki mkuu labda uishie umachinga tu.
 
Walianguka kwenye mtego wa CCM. Tena lengo la CCM ni kuwachanganya hadi mjitoe kwenye uchaguzi kama ilivyokuwa kweye serikali za mitaa. Don't fall in their net.
Umeaona eeh! Hata mie hili niliongea Jana. Na laiti kama jana kwenye hotuba ya ufunguzi angeunganisha na sera alizomwaga leo nakwambia leo Dar es Salaam nzima ingesimama kawe. Kwakeli katugusa Watanzania.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
nadhan watu wameshikilia zaidi alichokua anasema miezi iliopita , itakua ngumu sana mtu kumwelewa ata akisema ataleta 100K kwa kila mtu nyumbani kwake , inshort mjipange tu upya! ingawa sitakaa nimchague
 
Lissu kasema, ili kulipa mkopo ni mpaka uwe na ajira.
Nadhani hapo amezungumzia kwa upande wa watakao kuwa hawana kipato kabisa ila ukijiajiri/biashara unapaswa ulipe pia.
 
Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Kumbe pumzi zinakata mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…