ZENJIBARIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 674
- 1,621
Na pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.● Mfumo wa kodi zetu utajengwa juu ya Uhuru wa watu wetu, haki za watu wetu na Maendeleo ya watu wetu, kwahiyo mfumo huu utafumuliwa na kujengwa upya ili uwe rafiki kwa walipa kodi.
● Tutapandisha mishahara ya wafanyakazi kila mwaka na kuwalipa mapunjo (arrears) wafanyakazi wote ambao hawakupandishwa mshahara kwa Miaka mitano ya serikali ya hapa kazi tuu.
● Watanzania wote walionufaika na mkopo ya Elimu ya Juu,watarejesha 3%
tu ya deni lao kama mkataba wao na bodi ya mikopo unavyojieleza na siyo 15% kama wanavyokatwa sasa.
● Tutaimarisha sekta ya ujenzi ya ndani na makampuni ujenzi kwa kuzipatia tenda mbali mbali za ujenzi wa miundombinu ya serikali na umma.
● Tutatengeneza mfumo ambao utamwezesha kila mtanzania kuwa na Bima ya afya.Hivyo kuwa na uhakika wa matibabu wakati wowote
● Serikali yetu itabadili falsafa nzima ya elimu, Elimu yetu iwe wezeshi katika kutatua matatizo ya watu wetu, watu wetu waajirike na elimu itakayowafanya wawe na uwezo wa kushindani katika soko la Ajira na na kufundisha vijana stadi za maisha, ili wawese kujiajiri kwa urahisi wakiwezeshwa, siyo Elimu ya Pass mitihani tuliyonayo leo.
● Katiba mpya, tutaunda katiba mpya kuzingatia maoni ya wananchi kupitia tume ya Warioba
●ustawi wa sekta binafsi iwe injini wa uchumi wa nchi.
Hivi ni baadhi ya vipaumbele vya Tundu Lissu Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema.
Ooh Ok● Mfumo wa kodi zetu utajengwa juu ya Uhuru wa watu wetu, haki za watu wetu na Maendeleo ya watu wetu, kwahiyo mfumo huu utafumuliwa na kujengwa upya ili uwe rafiki kwa walipa kodi.
● Tutapandisha mishahara ya wafanyakazi kila mwaka na kuwalipa mapunjo (arrears) wafanyakazi wote ambao hawakupandishwa mshahara kwa Miaka mitano ya serikali ya hapa kazi tuu.
● Watanzania wote walionufaika na mkopo ya Elimu ya Juu,watarejesha 3%
tu ya deni lao kama mkataba wao na bodi ya mikopo unavyojieleza na siyo 15% kama wanavyokatwa sasa.
● Tutaimarisha sekta ya ujenzi ya ndani na makampuni ujenzi kwa kuzipatia tenda mbali mbali za ujenzi wa miundombinu ya serikali na umma.
● Tutatengeneza mfumo ambao utamwezesha kila mtanzania kuwa na Bima ya afya.Hivyo kuwa na uhakika wa matibabu wakati wowote
● Serikali yetu itabadili falsafa nzima ya elimu, Elimu yetu iwe wezeshi katika kutatua matatizo ya watu wetu, watu wetu waajirike na elimu itakayowafanya wawe na uwezo wa kushindani katika soko la Ajira na na kufundisha vijana stadi za maisha, ili wawese kujiajiri kwa urahisi wakiwezeshwa, siyo Elimu ya Pass mitihani tuliyonayo leo.
● Katiba mpya, tutaunda katiba mpya kuzingatia maoni ya wananchi kupitia tume ya Warioba
●ustawi wa sekta binafsi iwe injini wa uchumi wa nchi.
Hivi ni baadhi ya vipaumbele vya Tundu Lissu Mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema.
Sio Kipaumbele Chetu. Walioweka Rehan Mali Ya Nchi Ni wale walio sighn Makubaliano Tofaut na BarrickNa pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.
Mgombea wenu si amesema atatumia rasilimali zetu kama collateral kupata mikopo toka nje ? Si ndio rehani hiyo au ?Sio Kipaumbele Chetu. Walioweka Rehan Mali Ya Nchi Ni wale walio sighn Makubaliano Tofaut na Barrick
Na pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.
Hawezi kufafanua kwakua huu ni uchochezi.Kivipi?
Fafanua.
Mgombea wenu si amesema atatumia rasilimali zetu kama collateral kupata mikopo toka nje ? Si ndio rehani hiyo au ?
Watanzania gani au wale wa Belgium?Kutokana na sera mbovu za CCM chini ya kiongozi wao Magufuli, Nchi ilikuwa na imo katika hatari ya kugawanyika ki kabila, ki dini na kieneo.
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kutuletea mtu wa kuturejesha tena katika upendo , umoja na kuaminiana.
Tundu Lissu katika muda mfupi tu ameweza katika kampeni zake kuwaleta watu wote pamoja . Utaona watu wa dini zote , makabila na maeneo wamekuwa wakihudhuria mikutano yake wakiwa na furaha na matumaini mazuri kupitia kwake. Kila mahali anapokwenda watu wana shauku ya kumwona na kumsikiliza .
Kwa hali hii , Watanzania tusifanye makosa ya kuitupa bahati hii .
Sote kwa pamoja tumchaguwe hapo October , atuletee amani na upendo na haki nchini.
Mataga mnajifariji Sana Ila ukweli mnaujua hata nyie kote anakopita watu Wana show loveLisu anabomoa nchi ...pia ni rais wa mitandaoni especially jf😀😀
NDUGU HII NCHI TAYARI ILISHAUNGANISHWA KITAMBO SANA NA HAYATI BABA WA TAIFA, HUYO LISU NDIO MDUDU GANI?Kutokana na sera mbovu za CCM chini ya kiongozi wao Magufuli, Nchi ilikuwa na imo katika hatari ya kugawanyika ki kabila, ki dini na kieneo.
Tumshukuru Mwenyezi Mungu kutuletea mtu wa kuturejesha tena katika upendo , umoja na kuaminiana.
Tundu Lissu katika muda mfupi tu ameweza katika kampeni zake kuwaleta watu wote pamoja . Utaona watu wa dini zote , makabila na maeneo wamekuwa wakihudhuria mikutano yake wakiwa na furaha na matumaini mazuri kupitia kwake. Kila mahali anapokwenda watu wana shauku ya kumwona na kumsikiliza .
Kwa hali hii , Watanzania tusifanye makosa ya kuitupa bahati hii .
Sote kwa pamoja tumchaguwe hapo October , atuletee amani na upendo na haki nchini.
Watanzania gani au wale wa Belgium?
oktoba 28 tukamchague Mgombea wa CCM Dkt Magufuli aliyeweza kuunganisha Watanzania wote pamoja.
Hakika tuna kila sababu ya kumchagua tena MAGUFULI
. Mashabik wake hawajajiandkishaMataga mnajifariji Sana Ila ukweli mnaujua hata nyie kote anakopita watu Wana show love
Ukiona hivyo wazalendo maslahi wametoka nduki,kiasi Cha kuooteza miguu yao katika mbio.Dog whistle threads....ukiona mpaka comment ya tano,kumi,mnaongea wenyewe wenye fikra moja,you're in for a rude awakening.fanyeni kampeni no time to rest.
Sio wote. Mashabik wake hawajajiandkisha
Kutokana na sera mbovu za CCM chini ya kiongozi wao Magufuli, Nchi ilikuwa na imo katika hatari ya kugawanyika ki kabila, ki dini na kieneo.