kashakambajile
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 219
- 214
Maneno haya si ya mtu mwenye pepo.Ukweli Ni kwamba anatufaa hata anapoongea anaongea kutoka moyoni,Ni mkweli na kwa ukweli wake huo ndio maana waliamua kumnyamazisha mazima,lakini Mungu akazuia.
Tunatumia rasilimali zetu indirectly ! Kukopesheka kwa nchi kuna mengi yanayo angaliwa ikiwemo uhimilivu wa deni la taifa ! Debt to GDP ratio ! Economic performance ya nchi yaani Balance of trade (import- export ratio), historia ya ulipaji madeni (credibility in honouring loan terms) ukusanyaji wa kodi (internal tax revenues), Gold reserve deposited in International financial institutions (IBRD, IMF), recoverable country assets like fleet of aircraft, operating ships in oceans + resource worthiness of a country as a last resort in case of persistent default !Wakati huu tunaweka collateral gani kupata mikopo toka nje?
Ccm wao wamewapa wazungu bure wasombe watakavyo kwa jina la makinikia. Bure kabisa cccmNa pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.
Tunatumia rasilimali zetu indirectly ! Kukopesheka kwa nchi kuna mengi yanayo angaliwa ikiwemo uhimilivu wa deni la taifa ! Debt to GDP ratio ! Economic performance ya nchi yaani Balance of trade (import- export ratio), historia ya ulipaji madeni (credibility in honouring loan terms) ukusanyaji wa kodi (internal tax revenues), Gold reserve deposited in International financial institutions (IBRD, IMF), recoverable country assets like fleet of aircraft, operating ships in oceans + resource worthiness of a country as a last resort in case of persistent default !
Mgombea Lisu anataka kuweka rehani country resources directly ! Na anataka "kufuta kodi " kwa wafanya biashara ! Hii ni hatari sana kwa nchi ! Sio kosa lake lakini, ni vile hajui uchumi na hana au hataki washauri kwenye fani hiyo akiamini ugwiji wake wa sheria watosha kuendesha kila fani. Na hapo ndio western countries na hata China hupatumia kuangamiza nchi changa zenye mali asili. Just refer the cases of Pakistan, Bangladesh, Kenya, Zambia....
Wewe una bawasiri....nenda hospitaliNa pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.
Wala hata hajui unazungumzia makubaliano gani kati ya 2017 na 2019. Makubaliano ya hovyo barrick wanachukua 84% sisi 16%, utopolo huo.Sio Kipaumbele Chetu. Walioweka Rehan Mali Ya Nchi Ni wale walio sighn Makubaliano Tofaut na Barrick
Mwambie yule aliye tamka sio mimi !Wewe una bawasiri....nenda hospitali
Usiyoyajua Kama usiku wa Giza ,kwanini,mfumo huru was kupata taarifa haupo,kwanini Sheria nyingi kandamizi,Tena kwa hati za dharura,yote kulinda maslahi ya makundi ya wachache.Na pia kuweka rehani kwa wazungu mali asili za nchi.
Ilani ya Chadema inatamka wazi Hilo kuwa ardhi ya madini yetu itawekwa tukikopa rehani ili tukishindwa kulipa waichukue hiyo ardhi maana yake Ni kuwakabidhi nchi maana ardhi Ni nchi kea hiyo tukishindwa kulipa wao kuchukua nchi ni halali yaoMgombea wenu si amesema atatumia rasilimali zetu kama collateral kupata mikopo toka nje ? Si ndio rehani hiyo au ?
Porojo Mara nyingi hazijengi taifa letu,tuwe wazalendo was kweli.Ikani ya Chadema inatamka wazi Hilo kuwa madini ardhi ya madini yetu itawekwa rehani ili tukishindwa kulipa waichukue hiyo ardhi maana yake Ni kuwakabidhi nchi maana ardhi Ni nchi kea hiyo tukishindwa kulipa wao kuchukua nchi ni halali yao
Kifupi Chadema wanachosema Ni kuwa tuiuze nchi kwa mkopo
Hata ulaya na marekani hizo sheria zipo tena kali sana ! Classified Information, waulize akina Edward Snowden na Julian Assange! Weeee !Usiyoyajua Kama usiku wa Giza ,kwanini,mfumo huru was kupata taarifa haupo,kwanini Sheria nyingi kandamizi,Tena kwa hati za dharura,yote kulinda maslahi ya makundi ya wachache.
Ilani ya Chadema inatamka wazi Hilo kuwa ardhi ya madini yetu itawekwa tukikopa rehani ili tukishindwa kulipa waichukue hiyo ardhi maana yake Ni kuwakabidhi nchi maana ardhi Ni nchi kea hiyo tukishindwa kulipa wao kuchukua nchi ni halali yao
Kifupi Chadema wanachosema Ni kuwa tuiuze nchi kwa mkopo
Mimi hapa ni mmoja wapo ninaye muunga mkono.Tupe statistics za kutosha kuwa ,ndugu huyu anaungwa mkono na wengi??