Tunatumia rasilimali zetu indirectly ! Kukopesheka kwa nchi kuna mengi yanayo angaliwa ikiwemo uhimilivu wa deni la taifa ! Debt to GDP ratio ! Economic performance ya nchi yaani Balance of trade (import- export ratio), historia ya ulipaji madeni (credibility in honouring loan terms) ukusanyaji wa kodi (internal tax revenues), Gold reserve deposited in International financial institutions (IBRD, IMF), recoverable country assets like fleet of aircraft, operating ships in oceans + resource worthiness of a country as a last resort in case of persistent default !
Mgombea Lisu anataka kuweka rehani country resources directly ! Na anataka "kufuta kodi " kwa wafanya biashara ! Hii ni hatari sana kwa nchi ! Sio kosa lake lakini, ni vile hajui uchumi na hana au hataki washauri kwenye fani hiyo akiamini ugwiji wake wa sheria watosha kuendesha kila fani. Na hapo ndio western countries na hata China hupatumia kuangamiza nchi changa zenye mali asili. Just refer the cases of Pakistan, Bangladesh, Kenya, Zambia....