Hayo yanapatikana katika haki uhuru namaendeleo
Kwakuwa amebeba ujumbe mzito wakatiba mpya inakwenda kuinufaisha Tanzania na siyeye binafsi .yote tumepata in nshaaalah tumpekura ni yeye
 
Nani atamtafutita kura, mtandao mnao ? Au kama kawaida yenu, kujifariji club
 
Tupe statistics za kutosha kuwa ,ndugu huyu anaungwa mkono na wengi?
Usibishe ukweli kilakitu nikubisha jana mzee kaweka mikutano 2 pamoja na fiesta yake lakini bado jamakakusanya mkoa mzima unaona nikasi yamchezo
 
Huendi kwa majaribio kwani waliotangulia walisomea wapi nafasi hiyo, magu ulim entervie wewe mpka aka corify?
 
Mbali na kupigwa risasi Lisu Ni mtu mwenye akili sana.Nzalendo wa kweli Ni msomi na mpenda watu,anafaa na anastahili kuwa Rais.
 
Hebu tuache kudanganyana jamani,lissu hana ubavu wakupata hata nusu ya kura aluzopata Lowassa 2015
 
Nakubaliana na wewe lakini Tume zitawatangaza Jiwe na Mwinyi kuwa Marais. Tujitayarishe tu kutetea ushindi wetu na Lissu. Tume haitomtangaza Lissu. Tuwe tayari kuonyesha nguvu ya umma.
 
Mbona kuna taahira lilijaribu lakini tunaona limeweza? Seuse huyu mwenye akili timamu?
 
Mkuu una akili nyingi kuliko redio ,naunga mkono hoja ,japo najua litafika mda wake litazungumziwa lissu na Tim yake wako makini Sana mkuu ,maana mpaka Sasa inapigwa kampeni ya kisayansi never seen before so subiri hatua ya mwisho ya kampeni itakua shida, shikamoo mh mbowe ,siku moja tafadhali andika kitabu juu ya maisha yako ya siasa kitasaidia vizazi na vizazi mkuu
 
LISSU kaka wa taifa kashachaguliwa, chamsingi CDM iwafanyie training mawakala watakaosimamia uchaguzi, namna watakavyolinda kura wakishirikiana na sisi wananchi.
Hapo ndio akazie maana CCM hawana njia nyingine ya kushinda zaidi ya kuiba kura na kutegemea tume iliyojazwa vipenyo , wameanza kununua shahada , kuongeza idadi ya wapiga kura kwenye database za tume .
 
Kwanza nilisukumizwa kugombea urais!
Kazi hii ni ngumu sana!
Najuta kuchukua fomu!
Bila mzee Mkapa nisingekua Rais!
 
hapo kweny fao la kujitoa apo nina interest napo ..... namuombea sana ashinde najua haitakuwa ndan miezi michache but atleast atakua kwenye kuweka mambo sawa nikachukue kamchele kangu uko LAPF....... Magufuli has nothing to offer me zaid ya kupitisha ile ya mpka ufike miaka 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…