Hayo yanapatikana katika haki uhuru namaendeleoNakusihi eeeh rais wa Tanzania Mtarajiwa Ndugu Tundu Lisu, kwenye kampeni zako gusia na Michezo, huku kuna wapiga kura wengi sana. Ningeshauri Sera yako iwe kwamba Timu yoyote itakayofuzu kwenye mashindano ya kimataifa ( Iwe timu ya Taifa au club) basi liwe ni jukumu la serikali kuihudumia timu hiyo paka mashindano yatakapoisha.
Hapo lazima ule kura za kumwaga rais wangu.
Kwakuwa amebeba ujumbe mzito wakatiba mpya inakwenda kuinufaisha Tanzania na siyeye binafsi .yote tumepata in nshaaalah tumpekura ni yeye