Hoja hapa kwa kuwa JPM anabana matumizi na hataki makandarasi kujenga majengo au kandarasi za umma, kwa nini asitumie forced account kujenga uwanja wa chato?
 
Kwa nini uwanja wa Chato usijengwe na serikali kubana matumizi,ikapewa kampuni ya Mayanga? Bil 43 zote zikatumika,kama ingejenga serikali tungetumia bil 16 tu.
 
Mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo amejitahidi kugusa makundi yote yaliyoumizwa na utawala wa Magufuli na kwa kiasi kikubwa amefanikiwa sana katika kampeni zake.

Lipo kundi moja ambalo pia limeumizwa na utawala wa Magufuri, likiwa ni lile watumishi walio ondolewa kwenye utumishi wa umma kutokana na vyeti feki.

Kwa kuwa yeye ni mjenzi nzuri wa hoja anaweza akalijengea hoja vizuri suala hilo na likampa credibility kwa jamaa. Mfano tu kwamba ni nani aliyewaajiri si serikali ya CCM
 
Jiwe ni Rais wa hovyo sana, twende na Lissu. Jogoo oyeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mimi pamoja na wenzangu hapa hatujafunga maduka yetu bado yanasonga tu.
 
Hizi ndizo sera?
 
Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.

Uko sahihi watu kama
Kinana walivyodhalilushwa kamwe hawawezi kumuunga mkono jiwe
Watu kama makamba
Na wengine makada nguli hawawezi kumpenda abadani

Sasa jamaa amemtoboatoboa mkuu imebakia sasa kulinda kura na kuhakikisha anatangazwa.

Yaani mwaka huu iwe mvua liwe jua lazima mabadiliko yawepo
 
Hivi unajua watu wangapi wamekufa kwa kutibiwa na madaktari wakufoji? unajua maofisa wangapi wa serikali wamekufa kwenye ajali kwa kuendeshwa na madereva wasiokuwa na sifa? unajua watoto wangapi wamefeli kwa kufundishwa na watu wasiokuwa na taaluma ya ualimu? hao wahanga nani atawafuta machozi?
 

Hoja yako ni ya kijinga sana. Lissu amekuwa maarufu hata kabla ya kupigwa risasi.
LISSU ameshambuliwa kwa risasi kutokana na threat aliyo nayo kwa watawala. Maana alikuwa anatetea nchi na kupinga udikteta wakati wote.
LISSU amethibitisha kwa vitendo tangu akiwa bungeni akitetea UHURU, HAKI, NA MAENDELEO YA WATU
 
Hoja hapa ni kutokuwa na masikini? Au hoja ni kuwa hali ya uchumi sio nzuri hakuna mzunguko wa pesa. Au unadandia mada hujui inahusu nini?
Bora umenza kuwa na akili sijaona umejidhalilisha kwa kutuoa tusi sasa tunaweza kujadili masuala ya kitaifa maana umepevuka siyo kurusha matusi tu. Matusi hayabadirishi mtu. Mhh njoo na hoja yako sasa mkuu.
 
Bora umenza kuwa na akili sijaona umejidhalilisha kwa kutuoa tusi sasa tunaweza kujadili masuala ya kitaifa maana umepevuka siyo kurusha matusi tu. Matusi hayabadirishi mtu. Mhh njoo na hoja yako sasa mkuu.
Nenda kauze duka lako,sina muda wa kujadili na wapumbavu kama wewe.
 
Nenda kauze duka lako,sina muda wa kujadili na wapumbavu kama wewe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umeishiwa, Mpumbavu huwa anajiona mwelevu sana anapoongea pumba na kushangiliwa ndipo hujitutumua kuona wenzake wajinga ilihali welevu hadji u chochote. Karibu sana nkihudumie Mkuu maana wewe ni Mfalme Juha.
 
WEWE NDIO MPOTOSHAJI..UNATAKA KUPOTOSHA UKWEL WA HABAR YA BBC- Ukitaka kupruvu kuwa bbc ni waongo Simple wambie xxm wapeleke mikataba na sheria zote bungen kwa wananch wazione, kwasababu sheria iliyopitishwa kwa zarura juz inataka mikataba na sheria za raslimal ziletwe bungen.&&&&&&&& alaf miswaada yote isiyohusu raslimal hupelekwa bungen bila hati ya dharua kwann miswaada inayohusu raslimali za nch ni dharura tu ???kuanzia awam 3,4 na ya 5 kwann jaman???tunakuwa tunaharaka tumechelewa?au tunafunika kombe mwanaharam apite? yaan sielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…