Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja
Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu
Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Mmmmmmn wapiga kura waswahili halafu mdahalo kiingereza Chadema na Lisu wenu hamna akili wajinga sanaMdahalo uwe kwa kiingereza [emoji3]
mdahalo na mwanasheriatu aliyezoea kuongea kwenye corti ni kutaka tu sijui nin.mim ni chadema ila nasema ilani yetu haielewek eleweki yaanNi kweli Lissu ana uwezo mdogo, sasa unaonaje tukiwakutanisha yeye na mzee wa PhD kwenye mdahalo ?
Maria Sarungk alishajitolea kuwa moderator wa huo mdahalo.
kuna mgombea yey kwenye kampeni anahaidi vyeo tu mara flani ntampangia kazi nyingine mara msvyeo yako mengiMwambieni Lisu aeleweke Kwanza kwa wananchi mikutanoni asisubiri midahalo kazi kubwa iko kwenye kampeni Sio midahalo
Mzee wenu hajui kiswahili vizuri kama yule punguani wa BujumburaMmmmmmn wapiga kura waswahili halafu mdahalo kiingereza Chadema na Lisu wenu hamna akili wajinga sana
Kaoshe kwanza duka lako hilomdahalo na mwanasheriatu aliyezoea kuongea kwenye corti ni kutaka tu sijui nin.mim ni chadema ila nasema ilani yetu haielewek eleweki yaan
Tundu Lissu shikilia hapo hapo baba - wameanza kulia huku, umewakamata kunako!!Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja
Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu
Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Ona mjinga huyu! Lissu ni jina la ukoo wa kiafrika linahusianaje na ukatoliki?Nimezoea majina ya kikatoliki jina la Lisu haliko kwenye majina ya watakatifu Ni la kipagani kukosea kuandika jina la kipagani Sio kosa kwa Mungu
Akili ndogo hujadili mtu, akili kubwa hujadili Sera. Kazi wanayo.Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja
Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu
Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
That's my hero GENTAMYCINE !Nitajitahidi nimjue ni Kiongozi gani wa CCM alikubali kabisa uwe ni mwana CCM hadi ukapewa na Kadi vile vile. Unakiaibisha sana Chama cha CCM.
Kama mnataka huyo mchoma nyavu asisemwe mambieni ajiondoe kwenye uchaguzi najuwa kwanini hamtaki asemwe kwakua mnamjuwa jiwe nimchafu ilikuwaonyesha huyu jiwe simtupoa lazima atajwe lakini kunakitunakisikia humu kinaitwa matusi hembutuyaangalie hayomnayoyaita matusiMitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja
Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu
Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Mdahalo kwa hoja zipi?Ni kweli Lissu ana uwezo mdogo, sasa unaonaje tukiwakutanisha yeye na mzee wa PhD kwenye mdahalo ?
Maria Sarungk alishajitolea kuwa moderator wa huo mdahalo.
Du na hiyo hoja au kioja, Mr Great Thinker?Wewe jamaa kwa ujinga umepitiliza humu JF!Huna hadhi wala sifa ya kuwa great thinker,ungeenda tu huko facebook ukawaokota wajinga wenzako!Pathetic
Sasa kutoeleweka kwake huoni kama ni point kwa magufuli?Mwambieni Lisu aeleweke Kwanza kwa wananchi mikutanoni asisubiri midahalo kazi kubwa iko kwenye kampeni Sio midahalo
Alikuwepo mwenzio humu "Kawe Alumni" kakimbia bado wewe usituletee upuuzi wako hapa.Mitaani mtu akishindwa kwenye hoja huporomosha matusi kuficha udhaifu wake wa kujenga hoja
Uwezo mdogo wa Lisu kuelezea sera za Chadema ndio unaomfanya aongelee zaidi Magufuli kuficha udhaifu
Anatumia Magufuli Kama kichaka Cha kujificha udhaifu wake wa uwezo wake mdogo wa kuelezea sera za Chadema
Kwa kukariri nakupa hongera. Ukiambiwa ufafanue kwa ushahidi usio na mashaka utabaki kuduwaaKama mnataka huyo mchoma nyavu asisemwe mambieni ajiondoe kwenye uchaguzi najuwa kwanini hamtaki asemwe kwakua mnamjuwa jiwe nimchafu ilikuwaonyesha huyu jiwe simtupoa lazima atajwe lakini kunakitunakisikia humu kinaitwa matusi hembutuyaangalie hayomnayoyaita matusi
1 Uhuru haki namaendeleo yawatu
2 katiba mpya
3 kuwalipa waliondolewa kazini bilastahiki zao
4 walio chomewa nyavu kimakosa nakubomolewa nyumbazao kimakosa nawahanga wengine serekali yake itawalipa iwapo akichaguliwa
5 kuwatoa mashehe wote waliondani ambaomisingiyakuwekwa ndani niuonezi mkubwa
Sasa hapokatukana wapi hayondomatusi kweli watanzania wenzangu?
Dada unaonaje uwe kijakazi wake uwe unamchana nywele zake kila siku...?Lissu ana uelewa mdogo sana. Ndiyo maana ata nywele achani.
Mdahalo siyo hoja ni kujibu maswaliMdahalo kwa hoja zipi?