MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Ndio maana ya Katiba Mpya! Hakuna namna yo yote huu ufisadi uliokubuhu (hadi kumshawishi mama first lady mstaafu kutamani kazi ya kugonga meza Dodoma) unaweza kufutiliwa mbali bila kufumua mfumo wa sasa. Kama waTz hasa vijana ambao mustakabali wa maisha yao hunahusika wangekuwa na uelewa wa kutosha wangeunga mkono ajenda ya Katiba Mpya.Kwa kifupi sana.
Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?
Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Kazi za chama hazina malipo bwashee sisi wafia chama tunajitolea bwashee!buku 7 imeshaingia lakini Comrade?
Ninacho wakubali wanasiasa watagombana ,watatofautiana kwenye maswala mengine lkn kwenye maslahi na posho zao wanakuwaga wamoja.Kwa kifupi sana.
Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?
Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
Usisahau kunichukua na mieLisu akishinda urais mm nahamia zimbabwe haki ya mungu kabisa nahama.
Naona ushamkubali kushinda uchaguzi sasa unataka kujua kama atalifanikisha hilo jambo.Kwa kifupi sana.
Je, Tundu Lissu ana ujasiri na uthubutu wa kuondoa mrundikano wa marupurupu na posho za kukaa Bungeni kwa waheshimiwa wabunge?
Eneo hili ndio limefanya kila mtanzania kuanzia wataalamu wabobezi hadi viongozi wa dini kukimbilia Bungeni.
Maendeleo hayana vyama!
nakwambia sijui kwa nin tena.na ma culture yan vagarant.ingawa mim ni Cdm ila am shameful for lisuLissu ana uelewa mdogo sana. Ndiyo maana ata nywele achani.
Hawa ndio wale Wana CCM Bashiru aliokuwa anawaongelea,mchan wanamshangalia Jiwe,usiku wanapanga mikakati ya kumwangamiza kwenye uchaguzi.Mnamdiss ila mnamkubali kiaina
Hii ni kero namba mojaDr Bill,
Chadema hawajahi kuelezea watanzania kwamba wakishinda watawafanyia nini, zaidi kila uchaguzi agenda ya wapinzani wetu wakiwemo chadema ni kuiondoa ccm madarakani kana kwamba kero ya watanzania ni ccm.
Hawaelewekiiii.
Hakuna kitu kama hiki mkuu, unalipa cash na mwenyekiti anachukua chakeUna uhakika? Maana malipo yanafanyika kwa electronically.Au wewe unajua risiti mpaka iwe karatasi?
Halafu mtasema nyinyi ni Wazalendo kwa Taifa hili? Nyinyi mnajali Chama zaidi kuliko Taifa, huwezi kufurahia kitu kama kile kwa Mtanzania mwenzako ikiwa kweli unao ubinadamu ndani yako.eti ametetea nn? nkikumbuka zile makinikia, corona! sina ata ham ya kumskia, nashangaa watu wasiojulikana kwann walienda tafaut na maelezo, najua safari hii baada ya uchaguzi hawatakosea tena
Ni kweli lakini serikali imeshindwa kuthibiti mfumuko wa bei, bei inaongezeka kila siku haswa kwa vitu muhimu. Nitakupa mfano halisi mwaka 2016 nilinunua mfuko wa Saruji kwa shilingi elf 16,000/= , leo 2020 mfuko huo huo unauzwa kwa shilingi elf 21,000/= eneo hilo hilo.Unajua kila Mwaka ukipandisha Mishahara na Mfumuko wa bei nao lazima upande, kwa hiyo maumivu yatabaki palepale, cha msimgi ni kudhibiti Mfumuko wa bei basi!!
Ndo kushindwa kwenuu kwenye ulingo wa siasaaaHii ni kero namba moja
Mmeshindwa kuongoza nchi hii, muondoke hatuwataki, kikundi fulani tu cha wapigaji nyinyi hamna lolote, haki zetu lakini mnataka tuwanyenyekee kama mnatupa bure, nyinyi ndio mnawagombanisha Polisi na wananchi, mnalindana hamna chochote, Wazalendo wa chama chenu na sio Nchi yetu Pendwa.Ndo kushindwa kwenuu kwenye ulingo wa siasaaa
Halafu mtasema nyinyi ni Wazalendo kwa Taifa hili? Nyinyi mnajali Chama zaidi kuliko Taifa, huwezi kufurahia kitu kama kile kwa Mtanzania mwenzako ikiwa kweli unao ubinadamu ndani yako.
Nyinyi mtakaa milele Kwenye hii Dunia? Ndio maana hata mkifa mnaliliwa na ndugu zenu tu na sio Taifa sababu ni viongozi msio na utu, kabisa unaamuru Binadamu mwenzako auwawe, we utaishi milele? Si mnakufa na kuacha kila kitu hapa.uliona yaliomkuta moshi lakini? huo mdomo asipojifunza kuongea sensible things tutamsaidia kuufunga mazima!
Hatuko tayari kuiachia inchi kwa mawakala wa mabeberuu. Ikulu hamtakanyaga. Haaa haaa. Mumeingia mikataba nao wawasaidie kushinda uraisi halafu muwape madinii. Sasa tutawagaragaza nyinyi na mabeberu wenuuu. Nahamtufanyi loloteee.Mmeshindwa kuongoza nchi hii, muondoke hatuwataki, kikundi fulani tu cha wapigaji nyinyi hamna lolote, haki zetu lakini mnataka tuwanyenyekee kama mnatupa bure, nyinyi ndio mnawagombanisha Polisi na wananchi, mnalindana hamna chochote, Wazalendo wa chama chenu na sio Nchi yetu Pendwa.
Hamko tayari nyinyi kama nani acheni kutulazimisha, uongozi umewashinda mmebaki kupiga madili tu, mnataka kubaki kwa lazima sababu mmefanya madudu hamtaki yaonekane! Mabeberu ni kina nani? Na hawa ambao Baba wa Taifa alikufa akiwa kwao?Hatuko tayari kuiachia inchi kwa mawakala wa mabeberuu. Ikulu hamtakanyaga. Haaa haaa. Mumeingia mikataba nao wawasaidie kushinda uraisi halafu muwape madinii. Sasa tutawagaragaza nyinyi na mabeberu wenuuu. Nahamtufanyi loloteee.
Hatuko tayariii kurudisha ukoloni mamboleo. Tutawagalagaza October asubuhii saanaa.Hamko tayari nyinyi kama nani acheni kutulazimisha, uongozi umewashinda mmebaki kupiga madili tu, mnataka kubaki kwa lazima sababu mmefanya madudu hamtaki yaonekane! Mabeberu ni kina nani? Na hawa ambao Baba wa Taifa alikufa akiwa kwao? Ni hawa ambao miradi mingi wanaifanya hapa kwetu ya ujenzi na kutoa huduma mbali mbali na zingine tunafuata wenyewe? Ni hawa ambao mnataka Tz iwe kama "Ulaya" ni hawa ambao mnakopa kwao? Ni hawa ambao mnadai mmeongeza balozi zao hapa, si mfunge basi muwaambie waondoke? Ni hawa ambao mkiugua mnakimbilia kwao toka zamani? Ni hawa ambao mliingia nao mikataba ya kuchimba madini yetu? Ni hawa ambao mindege yenu mmenunua toka kwao? Ni hawa ambao mmepeleka mabalozi kwao na wako huko mpaka leo? Ni hawa mnaodai mnawavutia waje kuwekeza na kufanya utalii nchini? Msitake kuwasingizia hao jamaa nyinyi mmeshindwa kuongoza nchi pisheni wanaoweza waongoze, ni bora hao kuliko nyinyi wakoloni weusi mnaotulazimisha mtuongoze na hatutaki.